SamiaFacts retweeted
Tanzania Kinara wa uzalishaji wa Kahawa iliyothibitishwa Barani Afrika clickhabari.com/tanzania-kin…
Awamu ya sita ni awamu ya wakulima
Tanzania yaendelea kuongoza soko la Parachichi India clickhabari.com/tanzania-yae…
5
Alleged leak: Claims emerge of a $2.3m Ford Foundation grant linked to anti-Tanzania narrative campaigns.
1
17
SamiaFacts retweeted
Ni dhahiri kuna pesa zinatolewa kuhakikisha wanaharakati uchwara wanaichafua nchi yetu sasa wanafanya kila kitu ili waendelee kupata hela.
SamiaFacts retweeted
“Maandamano, vurugu, uvunjifu wa amani husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yeyote yule. Niwasihi Watanzania tuchague hekima badala ya ghadhabu, busara badala ya mihemko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala ya vinyongo, umoja badala ya mgawanyiko na amani badala ya virugu.” - Mheshimwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan























