Rachel Zacharia retweeted
SERIKALI kuendelea kusogeza huduma za matibabu ya figo kwa kupokea jumla ya mashine 62 za kusafishia damu kwa wagonjwa wa figo zenye thamani ya shilingi Bilion 1.55, kutoka kwa kituo cha King Salman Humanitarian Aid and Relief kutoka nchi ya Saudi Arabia. β at Dar es Salaam, Tanzania
Rachel Zacharia retweeted
Wikiendi iliyopita, kikundi cha malezi cha wanaume katika kata ya Kibakwe, wilayani Mpwampwa mjini wametoa mafunzo ya kuelimisha jamii dhdi ya ukatili wa wanawake na watoto kwa kutumia filamu ya Fatuma na kujua madhara yake katika ngazi ya familia. #ZuiaUkatili #EndVAWC
Rachel Zacharia retweeted
This year's theme for International #DayofAfricanChild is "Mtoto ni Msingi wa Taifa Endelevu: Tumlinde, Tumtunze, na Kumuendeleza"
Investing in children is crucial to the well-being & sustainability of any society.
#UNTZ
Rachel Zacharia retweeted
Mdahalo wa Watoto katika kuhitimisha #SikuYaMtoto
Swali 5: Je, asasi zisizo za kiserikali zinatoa mchango wowote katika kuzuia ukatili dhidi ya watoto?
#JFLeo
Jamii nzima ikishirikiana kupinga ukatili inawezekana ukatili kuisha kabisa #chukuahatua
Replying to @ElimikaWikiendi
"Niwaase watoto wenzangu kuwa ikitokea tumefanyiwa vitendo vya kikatili popote, basi tusifanye siri, tutoe taarifa. Aidha, ni muhimu tuhakikishe kuwa ushahidi wa vitendo tunavyofanyiwa unakuwa wazi. Mfano, usioge endapo umefanyiwa kitendo mwilini"~M/kiti wa watoto |#SikuYaMtoto|
Rachel Zacharia retweeted
"Niwaase watoto wenzangu kuwa ikitokea tumefanyiwa vitendo vya kikatili popote, basi tusifanye siri, tutoe taarifa. Aidha, ni muhimu tuhakikishe kuwa ushahidi wa vitendo tunavyofanyiwa unakuwa wazi. Mfano, usioge endapo umefanyiwa kitendo mwilini"~M/kiti wa watoto |#SikuYaMtoto|
Rachel Zacharia retweeted
#GlobalPeaceWomenTanzania Mungu aliumba mtu na kusudi lake, kila mmoja ana kipaji ama uwezo wa kipekee unaomtambulisha ama kumfanya awe wa msaada kwake na jamii inayomzunguka. Kwa mantiki hiyo kila mtu ana umuhimu wake bila ya kujali jinsia, ukoo, ulemavu nk
Rachel Zacharia retweeted
When women earn an income, they re-invest 90% in their families and communities"
This is spoken by the Canadian High Commisioner, Pamel O'Donnel during the BAHATI play.
#wd2019 #girlsgetequal
Rachel Zacharia retweeted
Ripoti vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika dawati la jinsia (Kituo cha Polisi), ofisi ya ustawi wa jamii au piga namba 116 bila malipo. #ZuiaUkatili #EndVAWC
Rachel Zacharia retweeted
Elimu Ni mtaji mkubwa kwa taifa Ni biashara kubwa kuliko zote itakayoweza kutokomeza umasikini kwenye jamii zetu #CHukuaHatua
Ni picha ya pamoja baada ya kikao cha mrejesho kwa viongozi wa kata kilichofanywa na waraghbishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe kinachohusu maswala ya haki za binadamu #chukuahatua
HAKI ni jambo ambalo linatakiwa kufanywa kufuatia sheria za nchi. #chukuahatua
Rachel Zacharia retweeted
Tumia Muda kujua usalama wa mwanao anapoenda na kurudi shule.
#ChukuaHatua
Rachel Zacharia retweeted
ushilikiano huu .wanawake wameweza kusaidia wanawake kupata elimu ya kujisimamia nahapa wako dodoma walipo kutana nawaraghabishi kutoka mikoa minne asante oxfam.#ChukuaHatua @OxfamTz
Rachel Zacharia retweeted
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri amesema kuwa suala la waganga wa Jadi na Tiba Asili kutumika katika kutekeleza vitendo vya mauaji haikubaliki hata kidogo katika Wilaya ya Njombe.
Ameyasema hayo leo Wilayani Njombe alipokutana na Waganga hao
Rachel Zacharia retweeted
'Kuna haja ya kuongeza jitihada zaidi hasa katika kuelimisha jamii kuchukua jukumu la kutunza mazingira na kupambana na uchafuzi wa plastiki' - @ALVARO_UNTZ at the @theflipflopi event in #Zanzibar yesterday.
@UNEnvironment #Zanzibar #ClimateAction #UNTZ #CleanSeas
Rachel Zacharia retweeted
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) atoa ufafanuzi kuhusu kuanzishwa kwa Wakala ya Maji Vijijini
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb): Ufafanuzi kuanzishwa kwa Wak... youtu.be/_oJak_9bWPs via @YouTube
Rachel Zacharia retweeted
Kwa sasa kisukari #Diabetes imekuwa ugonjwa tishio kuliko hata #Ukimwi watu wasichojua ni kisukari inakinga tuboreshe #Afya zetu kwa kula lishe bora tufanye mazoezi sana na tukumbuke huu ugonjwa hauna umri hata mtoto mdogo anaweza kukumbwa na maradhi haya #ChukuaHatua






































