
God First~Matt 6:33 || Mom's Daughter๐ซถ๐ซถ || @SWEBE_10's Favourite๐ซ๐ซ || Profession-TBI
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2020
- Tweets146
- Following3
- Followers11
- Likes94
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Ni kweli Mungu alijua kama shetani angehasi kutokana na mistari ifuatayo;
Zaburi 139:1โ4 โ Mungu anajua mawazo yetu hata kabla hatujasema neno.
Isaya 46:9โ10 โ Mungu anatangaza mwisho tangu mwanzo.
1 Yohana 3:20 โ Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu na anajua yote.
๐๐๐
Ni kweli Mungu alijua kama shetani angehasi kutokana na mistari ifuatayo;
Zaburi 139:1โ4 โ Mungu anajua mawazo yetu hata kabla hatujasema neno.
Isaya 46:9โ10 โ Mungu anatangaza mwisho tangu mwanzo.
1 Yohana 3:20 โ Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu na anajua yote.
๐๐๐
Mwanzo 1:31
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana.
KIUFUPI NI KWAMBA; KWELI MUNGU ANATUJUA KABLA HATUJAZALIWA HADI KUAFA KWETU, ANAJUA MABAYA NA MAZURI TUTAKAYO PITIA KUTOKANA NA VILE TUTAKAVYOCHAGUA NJIA YA KUPITA MAISHANI MWETU.
NA SI KWAMBA๐๐
1
6
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
"Trust in the LORD with all thine heart; And lean not unto thine own understanding. In all thy ways acknowledge him, And he shall direct thy paths."
Proverbs 3:5-6
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Yesu anavokufa msalabani, aliitoa roho yake na si mwili wake.
Hivyo basi kutokana na hayo maelezo hapana shaka kuwa katika process ya kifo ni pale ambapo ROHO INAACHACHA MWILI NA SI VINGINEVYO. [Luka 23:46, Yohana 10:17-18 (pichani)]
Bado??!๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Wacha nikusogezee hii๐๐
Katika uumbaji Mungu aliumba mwili kisha akapulizia pumzi ikawa nqfsi uhai (Mwili + Pumzi = Uhai). [Mwanzo 2:7]~Frame 1
Katika process ya kufa Roho/Pumzi hutoka na kuacha nwili (Mwili-Pumzi = Kifo).[Muhubiri 12:7],[Yakobo 2:26 ]~frame-2&3
Mfano;๐๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Replying to @Uherry14
๐
๐
๐
๐ญ๐ญ
Uhai = Mwili + Pumzi
Kifo = Mwili - Pumzi
Ukisema kipi kinaanza kufa sielewi hapo๐
๐
NB: Kifo ni process ya pumzi kuacha mwili; kati ya pumzi na mwili kinachoanza mtoka mwenzie ni pumzi๐
Bado??๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
X madaktariii hivi kinacho anzaga kufa ni nini katika mwili wa Binadamu ?
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Replying to @kipepe123 @spana_Konki
Hey naitwa Sipendeki Mahavile, sorry unaeza geuza hiyo mukono niangalie vizuri๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
SIYO KILA USHUHUDA NI WA MUNGU.
-KABLA YA KUPINGA AU KUKUBALI USHUHUDA PIMA KWANZA KWA MWANGA WA NENO
"1 Yohana 4:1: Msiamini kila roho, bali jaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wametokea duniani."
โJE TUNAPIMAJE USHUHUDA??
๐๐๐




















