The 6th Estate (@Oraibtz) header
The 6th Estate (@Oraibtz) profile picture

Muumini wa Haki . Usawa . Maendeleo ya Watu na Democrasia. Tutaipigania leo kesho hadi Democrasia Kamili ipatikane

Tanzania
Joined August 2016
Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)Photo by The 6th Estate (@Oraibtz)
BILA LISSU, TANZANIA BADO INAWEZA KUFIKIA MUAFAKA John Heche anaweza kuweka masharti ya CHADEMA kushiriki mazungumzo. Lakini masharti ya chama kimoja hayawezi kuamua lini taifa zima lianze kujadili mustakabali wake. Kwa maoni yangu, msimamo mkali wa Lissu unaweza kukwamisha mazungumzo. Hata pendekezo analoliunga mkono leo anaweza kulipinga kesho akitofautiana na namna lilivyopitishwa. Ndiyo maana kuweka ushiriki wake kama sharti la kuanza mazungumzo kunampa mtu mmoja uwezo wa kuchelewesha mageuzi yanayowahusu Watanzania wote. Vipaumbele vya sasa viko wazi. Tuharakishe mchakato wa kupata Katiba mpya, turekebishe sheria zinazokwamisha ushindani wa haki, na tuwe na tume ya uchaguzi yenye uhuru wa kweli katika uteuzi wa wajumbe wake, bajeti yake na maamuzi yake. Mazungumzo yawe wazi kwa CHADEMA, vyama vingine, asasi za kiraia na wananchi. Lissu akishiriki, atoe hoja zake. Asiposhiriki, mchakato uendelee. Kipimo cha maridhiano kiwe makubaliano ya wazi kuhusu mageuzi hayo, ratiba ya kuyatekeleza na uwajibikaji kwa umma.
36
TUNDU LISSU SI MANDELA, NA SI RAWLINGS Mandela aliposimama kizimbani katika kesi ya Rivonia, hakutumia muda wake kuomba huruma. Alieleza alichokiamini, alichokifanya, kwa nini alifanya hivyo na kwa nini alikuwa tayari kufa kwa ajili ya msimamo wake. Jerry Rawlings alipokabiliwa na court-martial kwa uhaini, alitaka kueleza kwa nini aliamua kuasi mfumo aliouona umejaa ufisadi, dhuluma na unyonyaji wa wananchi. Hakukwepa kueleza dhamira yake. Ndiyo maana historia inawakumbuka kwa namna tofauti. Ujasiri wa kiongozi haupimwi kwa maneno ya mikutano pekee. Unapofika wakati wa kukabiliana na mamlaka, hukumu na hatari ya maisha, ndipo msimamo wa mtu unapojaribiwa. Kwa mtazamo wangu, Tundu Lissu hakutoa picha ile ya kiongozi anayesimama mbele ya mahakama na kutangaza kwa ujasiri falsafa, dhamira na responsibility ya mapambano yake. Badala yake, niliona kujitetea na kujitenga na tuhuma. Mandela hakujifanya kwamba hakuwa na msimamo. Rawlings hakuficha dhamira yake. Kiongozi wa mapambano anapaswa kuwa tayari kutetea msimamo wake kwa ujasiri, si kutafuta tu kuondoka kizimbani akiwa hana hatia. Hatuwezi kuwalinganisha viongozi wa kihistoria kwa majina tu. Ujasiri, conviction na sacrifice lazima viwe sehemu ya kipimo.
13
1
2
8
3,089
Is Uganda a family estate ?
1
1
167
Nani analinda wezi kutumia simu? Bila ya shaka ni @ConsumerCcc Kampuni za simu na @tanpol Na Serikali. Leo tunazindua @NIDA_Tanzania ID mpya tumambia hizi ni smart card ya Data zetu. Lakini matapeli wanaongezeka . Kukiwa na uwajibikaji hakuna haya matapeli. Mfano namba yoyote itayosajiliwa bila NIDA hio mobile company inatozwa faini ya 50m . Hakuna hata kampuni moja itaruhusu.
90
Kutoka mdomo wa Muzungu.
1
3
316
Eee ndio hivo Mwinyi kaajiri ndugu zake na kupewa vyeo wazaliwa Wazanzibari wapo nje wanazururaa madakari wanafikia 20 wapo bench wamefukuzwa huu ndio ukoloni wa siku hizi
1
1
4
521
Revolutionaries Declaration. "Homeland or Death" Declared first by by Che Guevara in 1962 at UN speech. Later Thomas Sankara used it and now Ibrahim Traore affirm it with addition of slogan " We shall overcome"
1
1
70
Hukumu inaweza kukosewa na kufutwa na uamuzi mwengine . MADELEKA, UCHOCHEZI NA UHAINI HAWANA UHUSIANO? JAMANI, SHERIA ISOMEWE KWA MAKINI! 😂 Section 39(2) ya Penal Code inataja wazi maneno instigate, persuade, counsel or advise katika kueleza nia inayoweza kuunda kosa la uhaini. Kwa hiyo, uchochezi unaweza kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na vitendo vinavyounda uhaini. Angalia pia precedents: - Robert Ndecho v R (1951) 18 EACA 171. - Elmi bin Yusufu v Rex, TLR 269. - Richard Estomih Kimei v Republic (2018) TZCA 210. - Charles Ambrosi v Republic (2023) TZCA 174. - Shamnsaheb M. Multtani v State of Karnataka (2001) 2 SCC 577, India. Ndiyo, kosa dogo lazima liwe cognate na kosa kubwa. Lakini swali ni kama viambato vya makosa hayo vina uhusiano wa kisheria katika mazingira ya kesi husika. Kusema hakuna uhusiano wowote kati ya uchochezi na uhaini ni hitimisho linalohitaji kutetewa kisheria, si kutangazwa tu. Tujadili sheria, si uchawi! 😂
MAJAJI WANOJIELEWA 👇: Tanzania tuna MAJAJI WANAOJIELEWA SANA 👇 ambao WALISEMA kosa dogo (COGNATE OFFENCE) ni lazima LIWE NA UHUSIANO NA KOSA KUBWA). Sasa, kwani UHAINI una uhusiano wowote na UCHOCHEZI? Jamani, UCHAWI UPO.😂
7
1
3
3,567
Hawa wa chadema na propaganda zao
200
TAL, Habibi! 😂 You demanded No Reform, No Election! Now reforms are taking their own sweet time. Don't worry, habibi, keep the slogan alive maybe the reforms will arrive before the 2030 elections. Even reforms need a little political freedom!
97
LISSU'S APPEAL: A DOUBLE-EDGED SWORD – OPPORTUNITY OR RISK? COMPARATIVE CASE LAW: ACQUITTAL ON A MAJOR CHARGE, CONVICTION ON A LESSER OFFENCE (1/7) The legal principle is known as Conviction for a Lesser-Included or Minor and Cognate Offence. Commonwealth jurisdictions recognise that a court may acquit an accused of a major charge but convict on a lesser offence, provided the law permits it. However, a court cannot simply substitute any offence it considers appropriate. The key question under Section 319 of Tanzania's Criminal Procedure Act is whether the substituted offence is legally a minor and cognate offence of the original charge. Let's examine precedents from India, Kenya, South Africa, the UK and Australia.
1
1
2
2
1,175
COMPARATIVE CASE LAW (2/7): INDIA – PRIVY COUNCIL 1. Kishan Singh v. Emperor (1928) Privy Council, 55 IA 390. The accused was charged with murder but convicted of culpable homicide not amounting to murder under Section 304. The Privy Council recognised that conviction for the lesser offence could stand without a separate charge, under the applicable criminal procedure provisions. The lesser conviction legally amounted to acquittal on the murder charge. 2. State of H.P. v. Padma Devi (2023) Himachal Pradesh High Court, 20 December 2023. The court discussed the Kishan Singh principle and the limits on attempts to upgrade a lesser conviction through an appeal on sentence. Lesson: A lesser conviction can stand, but the prosecution and accused remain subject to the applicable appellate procedures.
1
1
1
103
Mwabukusi, kazi yako ni kuhakikisha Lissu anapata haki ya rufaa na dhamana. Lakini swali ni hili Akirudi uraiani na kuanza tena mikutano na kauli za “Tutakinukisha” na “Tutaitisha uasi”, akajikuta tena Mahakama ya Kisutu, utarudi tena kumtetea? Au TLS itakuwa na jukumu la kumfundisha pia kwamba uhuru unaambatana na uwajibikaji? Tusije tukawa na mchezo wa kuachiwa, kuchochea, kukamatwa, kutetewa na kuanza tena kampeni ya #FreeLissu!
VIDEO: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuacha kuwapa sakramenti watu wanaojihusisha na ukandamizaji na badala yake waanze kuwafukuza kanisani na misikitini. Mwabukusi ametoa wito huo leo mkoani Singida alipokuwa akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa Alute Mughwai Lissu. Ameeleza kuwa kanisa limekuwa mwepesi kuwahukumu watu wanaotenda dhambi zingine kama vile uzinzi, lakini wanaowakandamiza wenzao wamekuwa wakiachwa wakiendelea kupata huduma za kiroho bila kukemewa. Katika hatua nyingine, Mwambukusi amesema chama hicho kinashirikiana na mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kuzingatia maelekezo ya Lissu mwenyewe ili kushughulikia kwa haraka maombi yake ya dhamana na usikilizaji wa rufaa dhidi ya hukumu yake. "Sisi kama TLS tutaendelea kuwasiliana na familia yake kwenye hatua zingine zinazofuata lakini vilevile tutashirikiana na mawakili kwa kuzingatia maelekezo ya Tundu Lissu mwenyewe. Sisi Baraza la Uongozi na mawakili wake Tundu Lissu kushughulikia swala la rufaa kwa haraka lakini vilevile maombi yake ya dhamana huku tukisubiri usikilizwaji wa rufaa," ameeleza.
3
1
1
913
Usijiaminishe kuwa unachochea dhoruba halafu wewe utabaki salama ufukweni. Wakati mwingine, anayewasha moto ndiye wa kwanza kuungua.
2
2
7
321
Kwa ustawi Usalama na amani ya Tanganyika ni vema Tundu Lissu akabaki ndani. Hata rufaa ikianza asipewe dhsmana. Ikiwezekana kifungo kiongezwa wakati wa hukumu ya rufaa. Sio kwa chuki bali Tundu Lissu ameamua kuwa njia pekee ni kusababisha machafuko. Haamini kwenye mazungumzo. Ameamua tayari kuwa liwalo na liwe. Na akipewa dhamana atarudi tena Dhani. Huo ndio msimamo wale. Amekua sacrificed lamb. Mke wake yupo nje Watoto raia wa US . He is dead brain Don't care . Akae tu ndani.
Kifungo kwa Tundu Lissu ni ukiukwaji wa haki ya kujulishwa kosa na kujitetea kwa upande mmoja na kukiukwa kwa haki ya kushitakiwa kwa kosa ambalo lipo kisheria. Kwa ujumla anatumikia adhabu kwa kosa lisilokuwepo.
10
1
7
2,746
MARIA SARUNGI, USIJIFANYE MTAKATIFU . WEWE NI SHETANI. Maria Sarungi, unapowatuhumu kina Abdul kwa uchafu wa madawa ya kulevya, ni vizuri ukakumbuka kwamba wewe si malaika uliyeshuka kutoka mbinguni. Tunakufahamu. Tunajua historia yako katika biashara ya urembo na Miss Universe Tanzania. Tunajua maswali yanayozunguka kuhusu uhusiano wa biashara hiyo na matajiri wazungu waliokuwa wakitafuta wanawake vijana. wwngi waliharibiwa migongo. wakiwemo wa Tanzania Na katika dunia ambayo Jeffrey Epstein alijenga mtandao wa kingono wa wanawake na wasichana, hakuna kinga kwako kwa sababu tu amevaa koti la mwanaharakati. Maria, kabla hujawa mwendesha mashtaka wa maadili ya wengine, jiandae pia kujibu maswali kuhusu historia yako mwenyewe ya sex trafficking. Unapowataja kina Abdul kwa chuki, usidhani Watanzania wote wamesahau. Huwezi kujifanya mtetezi wa utu wa wanawake huku ukikwepa maswali kuhusu biashara ya urembo na mazingira ambayo wasichana wetu waliingizwa katika mahusiano na matajiri wazungu. Kama una ushahidi kuhusu madawa ya kulevya, uweke wazi. Lakini usitumie tuhuma kama silaha ya chuki. Kila mtu ana historia. Na historia ya mtu haifutwi kwa kuishambulia historia ya mwingine. Maria, usidhani kila mtu ni hawker kama wewe. Wengine tunajua tofauti kati ya utu, biashara na unafiki. Usijifanye msafi kwa kumchafua mwingine. wakati ulishirikii kuuza K za wengine...
6
2
5
1,613
KIFUNGO CHA LISU: FURSA YA KUACHA HISTORIA IANDIKE Tundu Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa na mtetezi wa haki za binadamu. Tukiweka pembeni tofauti zetu za kisiasa na misimamo yetu kuhusu CHADEMA, Lissu ni Mtanzania ambaye amekuwa sehemu muhimu ya historia ya kisiasa ya nchi yetu. Ametumia sehemu kubwa ya maisha yake katika mapambano ya kisheria, kisiasa na kudai haki. Amepitia mengi, amekutana na changamoto nyingi, na ameshuhudia matukio ambayo wengi wetu tumeyasikia kwa mbali. Ushauri wangu kwake ni mmoja: Atumie muda huu wa kifungo kuandika kitabu kuhusu maisha yake, safari yake ya kisheria, harakati zake za kisiasa, mapambano yake ya kutetea haki za binadamu na matukio yote aliyopitia hadi sasa. Aeleze historia kwa mtazamo wake. Aeleze alichokiona, alichokiamini, alichopigania na alichojifunza. Aeleze pia safari yake ndani ya CHADEMA, mapambano ya Katiba Mpya, tukio la kushambuliwa mwaka 2017, na safari yake hadi kufikia hukumu hii ya miaka minne. Lissu anayo mengi ya kusimulia. Kitabu hicho kinaweza kuwa ushuhuda muhimu wa historia ya Tanzania, si kwa wafuasi wake pekee, bali kwa Watanzania wote, watafiti, wanahistoria na vizazi vijavyo. Wakati mwingine, kifungo kinaweza kuzuia uhuru wa mwili, lakini hakiwezi kuzuia uhuru wa mawazo. Na historia inapokuwa imeandikwa, hakuna anayeweza kuifuta kwa urahisi. Huenda miaka minne ya kifungo ikawa mwanzo wa kitabu kitakachosomwa kwa miaka mingi ijayo.
2
4
401
LISSU NA KESI YAKE YA NETFLIX: SEASON +500 days . EPISODE YA MWISHO MIAKA 4! Hatimaye pazia limefungwa. Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka 4 kwa kosa la uchochezi, huku akiachiliwa huru kwa shtaka la uhaini. Lakini ukitazama mwenendo wa kesi hii, kuna jambo moja linajitokeza: Lissu alionekana kuchukulia kesi hii kama mkutano wa kisiasa, wakati upande wa mashtaka uliichukulia kama kesi ya jinai. Alianza kwa mapingamizi karibu sita. Kila hatua ilikuwa na hoja, kila hoja ikawa mjadala, kila mjadala ukawa fursa ya siasa. Kesi ikasogezwa mbele. Siku zikapita. Miezi ikapita. Leo anasema amekaa ndani siku 500! Lakini nani alikuwa anataka kesi iendelee kwa kila aina ya mapingamizi Je, kuchelewesha kesi kulikuwa ni mkakati wa kisheria au mkakati wa kisiasa wa kujenga sympathy? Inawezekana alidhani kadiri kesi inavyoendelea, ndivyo sympathy inavyoongezeka. Lakini kuna tatizo moja: Mahakama haiwezi kutoa hukumu kwa kupima idadi ya watu wanaokuonea huruma. Jopo la mawakili 15, lakini Lissu anataka kuwa kila kitu! CHADEMA ikatangaza jopo la mawakili zaidi ya 15 kumtetea. Mawakili 15! Jopo zima! Wanasheria wenye uwezo wa kuchambua ushahidi, sheria na kila kipengele cha mashtaka. Lakini Lissu akaamua kujitetea mwenyewe. Kina Kibatala wakaamua kukaa pembeni ! Hapo ndipo siasa zilipoonekana kushinda nafasi ya mkakati wa kisheria. Badala ya kutumia nguvu ya jopo hilo kujenga utetezi madhubuti, akaamua kuwa wakili, mwanasiasa, msemaji na mtoa propaganda kwa wakati mmoja. Inawezekana aliona kesi hii ni fursa ya kuonyesha uwezo wake wa kisiasa. Lakini mahakama si jukwaa la mikutano ya CHADEMA. Mashahidi wa upande wa mashtaka Kila kitu ni siasa! Mahakama ilipoamua kuwa sasa kila upande ulete mashahidi wake, upande wa mashtaka ukaleta mashahidi wa wazi na wa siri. Badala ya kuzingatia ushahidi wao, mjadala ukahamia kwenye nyuso zilizofichwa. “Ooh! Kwa nini mashahidi wamefichwa sura?” “Ooh! Hii ni haki kweli?” Kila hatua ikawa malalamiko. Kila utaratibu ukawa propaganda. Lakini swali la msingi lilikuwa rahisi Je, ushahidi uliotolewa ulikuwa na mashiko kisheria? Hilo ndilo lililopaswa kuwa jambo la msingi. Mashahidi wa utetezi: Rais Samia, IGP, CDF na mkuu wa usalama! Hapa ndipo sarakasi zilipofikia kilele. Badala ya kuleta mashahidi ambao wangeweza kusaidia kujibu hoja za mashtaka na kupangua ushahidi uliotolewa, utetezi ukaonekana kutaka kuwafanya viongozi wakuu wa nchi kuwa sehemu ya jukwaa la kesi na propaganda. Rais Samia. IGP. CDF. Mkuu wa Usalama. Kwa kweli, kama kesi ilikuwa ya kuthibitisha kutokuwa na hatia, mtu angejiuliza: ushahidi wa hawa viongozi ungejibu hoja gani hasa za mashtaka? Au ilikuwa ni kutafuta headlines? Kesi ya jinai ikageuka kuwa orodha ya viongozi wanaotakiwa kufika mahakamani. Lakini mahakama haihukumu kwa ukubwa wa jina la shahidi. Inahukumu kwa ushahidi na sheria. Na mwisho wa yote? Lissu ameachiliwa kwa shtaka la uhaini. Tena kwa kumuonea huruma tu ! Lakini anayo hatia. Lakini amehukumiwa kifungo cha miaka 4 kwa kosa la uchochezi. Hapo ndipo kejeli ya kisiasa inapoanzia. Mtu anaweza kutumia miaka mingi kupigana na mfumo, kuzungumza kwa sauti kubwa, kujenga hoja za kisiasa na kutafuta sympathy ya umma. Lakini mwisho wa siku, mahakama inaangalia mashtaka yaliyopo mbele yake. Unaweza kushinda vita ya propaganda, lakini ukashindwa kesi ya mahakamani. Lissu alionekana kuamini kuwa kesi hii ni jukwaa la kisiasa na propaganda . Lakini leo amegundua kuwa mahakama si Twitter, si mkutano wa CHADEMA, wala si jukwaa la kampeni. Ni mahakama. Na hukumu imetoka. Miaka 4. Siasa zinaweza kuleta sympathy. Lakini sympathy si ushahidi wa kutokuwa na hatia. Na hapa ndipo tunapaswa kujiuliza: Je, Lissu alicheza siasa nyingi kuliko alivyocheza kesi yake? Too much know mpaka dakika za mwisho
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
1
1
1
767
LISSU NA KESI YAKE YA NETFLIX: SEASON +500 days . EPISODE YA MWISHO MIAKA 4! Hatimaye pazia limefungwa. Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka 4 kwa kosa la uchochezi, huku akiachiliwa huru kwa shtaka la uhaini. Lakini ukitazama mwenendo wa kesi hii, kuna jambo moja linajitokeza: Lissu alionekana kuchukulia kesi hii kama mkutano wa kisiasa, wakati upande wa mashtaka uliichukulia kama kesi ya jinai. Alianza kwa mapingamizi karibu sita. Kila hatua ilikuwa na hoja, kila hoja ikawa mjadala, kila mjadala ukawa fursa ya siasa. Kesi ikasogezwa mbele. Siku zikapita. Miezi ikapita. Leo anasema amekaa ndani siku 500! Lakini nani alikuwa anataka kesi iendelee kwa kila aina ya mapingamizi Je, kuchelewesha kesi kulikuwa ni mkakati wa kisheria au mkakati wa kisiasa wa kujenga sympathy? Inawezekana alidhani kadiri kesi inavyoendelea, ndivyo sympathy inavyoongezeka. Lakini kuna tatizo moja: Mahakama haiwezi kutoa hukumu kwa kupima idadi ya watu wanaokuonea huruma. Jopo la mawakili 15, lakini Lissu anataka kuwa kila kitu! CHADEMA ikatangaza jopo la mawakili zaidi ya 15 kumtetea. Mawakili 15! Jopo zima! Wanasheria wenye uwezo wa kuchambua ushahidi, sheria na kila kipengele cha mashtaka. Lakini Lissu akaamua kujitetea mwenyewe. Kina Kibatala wakaamua kukaa pembeni ! Hapo ndipo siasa zilipoonekana kushinda nafasi ya mkakati wa kisheria. Badala ya kutumia nguvu ya jopo hilo kujenga utetezi madhubuti, akaamua kuwa wakili, mwanasiasa, msemaji na mtoa propaganda kwa wakati mmoja. Inawezekana aliona kesi hii ni fursa ya kuonyesha uwezo wake wa kisiasa. Lakini mahakama si jukwaa la mikutano ya CHADEMA. Mashahidi wa upande wa mashtaka Kila kitu ni siasa! Mahakama ilipoamua kuwa sasa kila upande ulete mashahidi wake, upande wa mashtaka ukaleta mashahidi wa wazi na wa siri. Badala ya kuzingatia ushahidi wao, mjadala ukahamia kwenye nyuso zilizofichwa. “Ooh! Kwa nini mashahidi wamefichwa sura?” “Ooh! Hii ni haki kweli?” Kila hatua ikawa malalamiko. Kila utaratibu ukawa propaganda. Lakini swali la msingi lilikuwa rahisi Je, ushahidi uliotolewa ulikuwa na mashiko kisheria? Hilo ndilo lililopaswa kuwa jambo la msingi. Mashahidi wa utetezi: Rais Samia, IGP, CDF na mkuu wa usalama! Hapa ndipo sarakasi zilipofikia kilele. Badala ya kuleta mashahidi ambao wangeweza kusaidia kujibu hoja za mashtaka na kupangua ushahidi uliotolewa, utetezi ukaonekana kutaka kuwafanya viongozi wakuu wa nchi kuwa sehemu ya jukwaa la kesi na propaganda. Rais Samia. IGP. CDF. Mkuu wa Usalama. Kwa kweli, kama kesi ilikuwa ya kuthibitisha kutokuwa na hatia, mtu angejiuliza: ushahidi wa hawa viongozi ungejibu hoja gani hasa za mashtaka? Au ilikuwa ni kutafuta headlines? Kesi ya jinai ikageuka kuwa orodha ya viongozi wanaotakiwa kufika mahakamani. Lakini mahakama haihukumu kwa ukubwa wa jina la shahidi. Inahukumu kwa ushahidi na sheria. Na mwisho wa yote? Lissu ameachiliwa kwa shtaka la uhaini. Tena kwa kumuonea huruma tu ! Lakini anayo hatia. Lakini amehukumiwa kifungo cha miaka 4 kwa kosa la uchochezi. Hapo ndipo kejeli ya kisiasa inapoanzia. Mtu anaweza kutumia miaka mingi kupigana na mfumo, kuzungumza kwa sauti kubwa, kujenga hoja za kisiasa na kutafuta sympathy ya umma. Lakini mwisho wa siku, mahakama inaangalia mashtaka yaliyopo mbele yake. Unaweza kushinda vita ya propaganda, lakini ukashindwa kesi ya mahakamani. Lissu alionekana kuamini kuwa kesi hii ni jukwaa la kisiasa na propaganda . Lakini leo amegundua kuwa mahakama si Twitter, si mkutano wa CHADEMA, wala si jukwaa la kampeni. Ni mahakama. Na hukumu imetoka. Miaka 4. Siasa zinaweza kuleta sympathy. Lakini sympathy si ushahidi wa kutokuwa na hatia. Na hapa ndipo tunapaswa kujiuliza: Je, Lissu alicheza siasa nyingi kuliko alivyocheza kesi yake?**
1
2
197
Dear Ambassador William Trachman, A gentle reminder: the rule of law is not only about protecting the rights of the accused. It is also about ensuring that those who commit crimes are held accountable through lawful procedures. You speak of freedom of expression and due process in Tanzania. These are indeed fundamental principles. However, before lecturing other nations, perhaps it is worth examining the contradictions within your own country. In the United States, the FBI actively investigates criminals, dismantles gangs, and works to reduce crime. That is the rule of law in action. But the rule of law must also mean that no one, including the President, is above the Constitution. Under Donald Trump, we have witnessed alarming attempts to use immigration enforcement and citizenship-related measures against political opponents and vulnerable communities. The cases involving Ilhan Omar and other individuals have raised serious questions about political intimidation, racial discrimination, and the weaponisation of state power. The treatment of Africans , Mexicans, Muslims, and Somali communities under the banner of immigration enforcement has also exposed troubling contradictions between America's proclaimed commitment to human rights and its political practices. The rule of law cannot be a principle that America invokes abroad while treating it as optional at home. Tanzania has its own constitutional institutions, courts, and legal processes. Let our courts do their work. If there are legitimate concerns about due process, they should be addressed through evidence, law, and respect for judicial independence not through political pressure or selective moral lectures. Ambassador, with all due respect, Tanzania is a sovereign nation. We welcome diplomatic relations based on mutual respect, not the assumption that one country has a monopoly on justice, democracy, or human freedom. So, Ambassador, stay in peace in Tanzania, enjoy our hospitality, and appreciate the beautiful life our country has to offer. And remember: before teaching others the rule of law, make sure your own house is in order. Karibu Tanzania.
1
2
6
4,122
Kutoka anaweza kutoka kwani mahakama zinafanya kazi kwa haki. Ila uhaini unaweza kabisa kufanywa na mtu mmoja. Yeye slikua mastermind wakamuwahi. Tuiachie mahakama . Kuna uwezekano akaachiwa na kukamatwa tena au yakaisha. Akitiwa hatiani anawza kukata rufaa.
Anatoka leo. Sijui mtaficha wapi maandiko yenu haya. Hakunaga uhaini wa mtu mmoja. Hili hata vyombo vyetu vya dola vinajua. Mahakama inajua pia.
205
Siwezi kuiacha nchi yangu kuongozwa na "dogs" ...Nyerere 1995.
1
1
285