💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus) header
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus) profile picture

| DAD | Nyumbani kwetu Singida ☺️| Sina Elimu YOYOTE | Napenda Mabasi na kulima

Singida, Tanzania
Joined September 2024
Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)Photo by 💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 (@Mushi_plus)
Hivi ni kweli kuwa sisi waafrika nchi maskini hasa watanzania tunaamini kweli utajiri tutaupatia kwenye mataifa yalioendelea ? Ni kivipi maana nchi zilizoendelea hasa wachina wanakuja kwenye hizi nchi zetu na wanatengeneza pesa ya kutosha kweli kwanini😁🧨
3
2
1
11
379
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
💨 Baada ya post ya juzi ya Trump kuwashauri NVIDIA wamrudishe CEO na Muanzilishi wa hii Kampuni. Leo hii NVIDIA imemrudisha Jensen Huang kwenye nafasi yake ya CEO. Jamaa ni Mmarekani mwenye asili ya Taiwan alipewa skendo ya kutembea na Jasusi kimada wa China kitu kilichokuwa kinahatarisha teknolojia na usalama wa Marekani dhidi ya China.
8
23
1
290
13,025
Huuu mkoa wa arusha 📍 🇹🇿 kutoa zenji unafata huuu Kwa kujingeka Kwa kasi🙌🙌
13
10
2
96
7,241
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Wa hivi niwauzie bei gani? Jipangieni bei 😆
11
46
2
133
5,736
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Natamani kufanya kitu kikubwa ambacho kitaacha alama hata nikiondoka duniani niache watu wakinufaika ila sasa mchawi mkubwa ni hela mniombee.
4
10
135
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hivi SGR ikianza kwenda Mwanza ile Station ya Posta itatosha kweli? 😆😁😁😁
49
30
8
592
30,300
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Baada ya Kampuni ya NVIDIA kumrudisha tena kazini Jensen Huang, aliyekuwa mwanzilishi, CEO na Rais wa Kampuni hiyo, hisa zimepanda kwa 30%. Itakumbukwa kuwa bodi ya kampuni hiyo ilimfukuza kazi sababu alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na mwanamke aliyetuhumiwa kuwa jasusi wa China
4
9
336
6,501
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Respect to hawa watu. Ndio wanaofanya Watalii kuzidi kuitembelea Tanzania 🙌
26
206
7
2,156
102,093
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hawa watu watatu wanauwezo wa kuamua dunia iende kwa namna wanavyotaka wao na kweli ikaenda. Viongozi wakubwa watatu wa dunia, wamekutana leo.
35
31
3
738
20,558
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
💨 Putin mpaka leo bado hajaacha tabia ya kuwa mtu wa mwisho kuingia kwenye vikao. Kuna kipindi aliwakalisha viongozi wa Ulaya lisaa 1. Wanasema huwa anafanya hivyo kuwavuruga kisaikolojia akili zinakuwa zimechoka na kuwa rahisi mawazo yake kukubaliwa.
11
13
302
14,369
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Kadri umri unavyosogea na uzoefu wa maisha kuongezeka. Unagundua kuna njia ambazo ni za wewe kwenda peke yako bila ndugu, marafiki wala mwenza. Ni wewe na Mungu wako tu.
5
51
268
5,523
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Broo Unapokua na Hela Fanya Matumizi Yako Kwa Uangalifu sana.. Ni ngumu sana Kupata Msaada Ukiwa Hauna hela. Kuwa makini.🤔
13
23
187
2,829
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Katika safari ya utafutaji wa Maisha Bro Make sure hausindikizwi na Mwanamke mwenyetamaa.!!
8
33
205
8,744
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Sababu kubwa za Yesu kutuambia tuwaombee adui zetu na kuwapenda wanaotuchukia ni kwamba,,mara nyingi wanaotuchukia na maadui ni ndugu zetu wa damu, marafiki wa karibu na watu tunaoshirikiana nao. Tuendelee kuwapenda ndugu zetu, marafiki na watu wetu wa karibu.
1
3
26
550
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Ukiwa kazini unaweza pata mkopo kirahisi kabisa Mkopo : 20,000,000/= Riba: 17% kwa mwaka Muda : Miaka 10 Malipo ya mwezi : 346,700/= Jumla ya rejesho Tsh 41, 711,436/= Riba pekee tsh 21, 711,436/=. Swali ni moja hii hela ukiichukua inaleta faida kuliko riba unayolipa!?
10
20
1
230
20,744
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hii bongo itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, imagine mpangaji mwenzetu amehama akaondoka na kamba ya kuanikia nguo.
53
39
6
479
16,169
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
New cattle shed coming up.
5
9
1
151
3,562
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Oa mwanamke anayetaka kuwa mke, sio mwanamke anayetaka kuwa na mume. Soma Tena.
3
21
112
2,385
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Hizi Timu tumepangiwa YANGA ni ngumu tujipange Haswaa.!!
11
11
1
158
6,108
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
BASHE YUPO NA MITIKASI YAKE MINGINE BHANA!
44
62
15
721
97,688
💐🪴Yote Maisha Mpenzi wangu🪴💐 retweeted
Huu wimbo umeliza sana watu💔
12
29
308
12,467