Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) header
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. (@a_madembwe) profile picture

Dentist. Healthy smiles start here 🦷, Walk in , Book your appointment Today πŸ“ž+255658950085

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
Mtu mzima ana meno 32 mtoto 20.. ukichukua hayo meno 32 yaliyotoboka tunaziba yenye ugaga tunasafisha , yanayouma sana tunaondoa uhai, yenye mapengo tunaweka ya bandia. Unakuwa mtu mwenye Afya Kinywa Na Meno 🦷 SMILECURE Karibuni sana Before πŸ‘‡ After πŸ˜πŸ‘‡ – at Dar es Salaam, Tanzania
87
106
2
539
76,363
Mkeo kila siku anaamka mapema kuwahi kazini , Gafla anasahau Hotpot la chakula chake cha mchana kazini ....Unaamua kumpelekea chakula kazini kwake kufika unaambiwa mkeo yupo likizo ni wiki ya tatu sasa ...mambo ya ndoa hayo πŸ™Œ ungekuwa wewe ungechukua uamuzi gani?
2
6
245
Hakuna kiungo bora zaidi Duniani kwa sasa zaidi ya Jude Bellingham.
1
136
Nguo zilizojaa kwenye kabati lako la nguo ambazo huzivai ni moja ya ushahidi kwamba akili yako inabadilika kwa haraka sana na hupaswi kuiachia baadhi ya maamuzi ya kudumu ya maisha yako!.
1
13
275
Hakuna tena haya ya kuficha tabasamu lako. Tunarejesha meno yako kwa ustadi mkubwa Utajiamini na muonekano mzurikama meno ya asili , utatafuna chakula vizuriπŸ¦·βœ…οΈ Jinsi ya kufika kliniki kwetu Link hiyo itakuongoza share.google/xDAmxaiTixbJ4lI… Weka miadi yako πŸ“ž0658 950 085
71
Toka motivation speaker waseme kuwa kilimo cha parachichi kinalipa mche mmoja wa parachichi umepanda bei kutoka Tsh 2000/= mpaka tsh 8,000 hadi Tsh 10,000/=. Lakini kuna kuna kundi kubwa la watu kutelekeza mashamba sababu ya huduma Duni
118
Miaka ya 2011 maeneo ya mwendapole na K/ mfipa kulikuwa na Genge kubwa la Vibaka likiongozwa na Fabi ( huyu baba yake alikuwa mjeshi)....ikifika saa moja huwezi kuta duka lipo wazi na hakuna mtu barabarani...Madereva wa magari ya mizigo waliibiwa sana mizigo sahizi kuko Safi.
103
Huwa najiuliza kwa nini watu wengi hawajali kuhusu uchafu unaojikusanya chini ya meno yao.
4
1
6
778
Hakuna Maji , Mafuta ,udongo wala chumvi
1
3
163
A smile is the powerful thing , we help people to find their. Book your appointment this November -December with us πŸ¦·βœ…οΈ We are located at Temeke- Dar es salaam , Kibaha -Coast Region πŸ“ž0658950085 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
74
Luis Enrique, Fabian HΓΌrzeler, Julian Nagelsmann, Antonio Conte Pamoja na Carlo Ancelotti mmoja wao anatakiwa kurithi mikoba ya Xabi Alonso pale Chelsea
3
217
Mbagala - Mafinga Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
2
172
Ohoo umri unaenda wenzako wadogo wamejenga , na wewe unatakiwa ujenge ....yani mimi niache kula nikanunue mchanga ..!? πŸ˜‚πŸ˜‚
1
157
Mbeya City Council Football club ( wana koma kumwanya ) 2013/14 ilinigombanisha sana na wazazi ilifika kipindi mzee akaninunulia Radio niwe natembea nayo shambani...Umemewakumbuka wachezaji gani!?.
64
Kule TikTok Kila baada ya Scroll mbili unakutana na video za Uhuru Muigai Kenyatta πŸ™Œ
203
Kuna bro mmoja humu alipost kuwa anahitaji mbuzi wa nyama Dume kuanzia 200/= kwa wiki namtafuta
2
1
11
366
Achraf Hakimi ni Rasmi sasa amefika level Sawa na Cafu, Carvajal, Reece James , Philip Lahm na Dani Alves...!? Kama RB bora kabisa waliowahi kutokea kwenye Kizazi cha Soka!.
289
Kuna NSSF/PSSF + PAYE+HESLB +TAX + House Rent + Wi-Fi +Transport cost +Food and recreation + Family + Relatives + Girlfriend ( mngoni, Mchaga, Mpare, au mrangi ) Lazima ukute mtu anatembea anaongea mwenyewe...ongeza kingine hapo ..!πŸ˜‚πŸ˜‚
1
145
Zirconium 🦷 πŸ’‰πŸ’ŠοΈ. retweeted
Kupoteza jino hakumaanishi kuacha kucheka kwa furaha. Teknolojia ya kisasa ya meno bandia ya kudumu inakurudishia sura yako ya asili na uwezo kamili wa kutafuna, Kujiamini na Kulinda meno mengine yasiharibike πŸ“Dar es salaam , Pwani Weka miadi yako πŸ“ž 0658 950 085 πŸ¦·βœ…οΈ – at Pwani, Tanzania
3
2
711
Wateja wako watakuamini zaidi sababu ya kazi unafanya au uliwahi kufanya vizuri na kufanikiwa , kuliko story za kwamba hii kazi naiweza ...Ukitaka kujua kuwa huaminiki,Utaulizwa Kwani office zenu ziko wapi ?, mbona bei sana?, nitakuletea wateja wengi ( wewe ni beginner),
118
Sema mtibwa Sugar FC hawaji kuwa na timu bora kuzidi ile ya 2016 ilikuwa ya moto sana ( Kichuya, Mzamiru, Mo Ibrahim, Javu, Bahanuzi, Baba Ubaya , Kasiani Ponela,Kusi , Dickson Daudi , Salim mbonde bila kumsahau mkongwe Joseph Shindika...walikamilka kila idara πŸ™Œ
53