Mtabe retweeted
Utalaumu mfumo mpaka lini?
Dunia hii ya utandawazi hili ni swali jepesi mno.
Shule binafsi zipo
Mitandao ya kijamii ipo
Unaweza kufungua tuition centre
Unaijua @MtabeApp ?
Unaweza kuwa mwalimu binafsi (private tutoring)
Kikubwa kuwa mbunifu na uonyeshe uwezo wako pesa itakujia
Replying to @Jasusiwetu
samahani mh,mtu aliyesoma ualimu mfano physics ,serikali hisipomuajili nani atamuajili,zingatia mfumo uliotumika kumuaandaa uyo mwalimu,haumfanyi kujitegemea baada ya masomo.
Mtabe retweeted
Given Edward, the visionary Founder of MTABE, leveraging emerging technologies to revolutionize learning experiences and empower students. He will pitch his innovative solutions this Demo Day!
#EdTechInnovation
#DemoDay
#StartupPitching
Mtabe retweeted
Replying to @MtabeApp
@MtabeApp na CROWN MEDIA tumeanzisha ushirikiano mpya unaolenga kuimarisha elimu na kuwainua vijana na waalimu nchini Tanzania.
Ushirikiano huu utatoa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la @MtabeApp na matangazo ya TV na redio za CROWN MEDIA, inayofikia watazamaji katika Afrika Mashariki.
Kupitia ushirikiano huu, waalimu wataweza kupata kipato kwa kushiriki ujuzi wao na wanafunzi kupata rasilimali bora za kitaaluma.
CEO wa CROWN MEDIA @AidanCharlie ambaye aliwakilishwa na Chief Operations Officer Bw. Apollo Temu (aliyevaa miwani) , na Mtendaji Mkuu wa Mtabe, @GIVENALITY , wana matumaini makubwa kuwa ushirikiano huu utasaidia vijana kugundua na kukuza ujuzi wao kwa mafanikio.
MTABE HAPA NI NYUMBANI #HapaNiNyumbani #MtabeXCrownMedia
Mtabe retweeted
Excited for today as we have the Skilling For Better Jobs event, an occasion by the World Bank Tanzania (@WBTanzania) to reflect on how far we still have to go in our pursuit of sustainable growth and poverty eradication.
It will be live. Follow it here wrld.bg/ccjh50PUEQ5
Mtabe retweeted
@MtabeApp is using its innovative online platform to unlock the doors to education!
They are revolutionizing learning for secondary school students by connecting them with tutors and creating employment opportunities for qualified teachers.
Mtabe retweeted
Exciting News😊! Kuna mtu mwema amelipia fee ya Warembo 10 ambao wangependa kujifunza jinsi ya kupaka makeup, vipodozi na maswala ya urembo kupitia my online course @MtabeApp. Reply chini kama ungependa👇🏼
Wakizidi, nitaangalia likes na uhitaji❤️
#JifunzeUrembonaMinah
Mtabe retweeted
Mtabe imeshiriki wiki ya ubunifu iliyoandaliwa na wizara ya elimu na teknolojia mkoani Dodoma. Mtabe chini ya mpango wa @Funguo_Tz imeweza kukuza na kuvumbua bidhaa za kibunifu zinazosaidia jamii hasa vijana. Tembelea Mtabe.co kwa taarifa zaidi.
Mtabe retweeted
Replying to @bensonsangaa
Mtabe retweeted
Replying to @barbaramlata
Plzz join us🥰 Barbara xitter.cf/mtabeapp/status/164863…
Je, upo tayari kung'arisha muonekano wako, wa rafiki yako au ndugu yako?💄 Kutana na Amina Lweno, mtalaamu wa make-up ambaye atakuwa akifundisha darasa maalumu la make-up kwa TSH 10,000 tu kupitia Mtabe Plus! Usikose fursa hii na nyingine nyingi. #pakuaMtabePlus @queeen_minah
Mtabe retweeted
Okay so I cooked this piece🌚🔥…..I love working on @MtabeApp products😊
#uidesign #webdesigner #Webdesign
Mtabe retweeted
We have built an AI tool for those who want to save time reading documents - Mtabe Docs.
It’s a tool for you to upload a document and ask it questions.
Works with Swahili too, though still needs work.
Link 👉🏼docs.mtabe.co
Mtabe retweeted
Elimu nafuu kabisa...swafii!!!
Karibu mtabe.co/courses kujifunza kozi mbalimbali tena kwa kiswahili !
Mtabe retweeted
#SpotlightMonday
In promoting access to education for all, our investee @MtabeApp is providing an eLearning platform that uses SMS technology to deliver learning content to secondary school students in Africa who don't have access to books & internet
@EUinTZ @undptz @UKinTanzania
Mtabe retweeted
👇🏼 we have rooms already running in the app. You can join today and start learning from the experts.
Kilimo ndio chanzo kinachochangia pato kubwa zaidi ya uchumi wa Tanzania.
Jiunge na jukwaa la mkufunzi Iddi Harrid uanze kufanya kilimo kwa ubora zaidi.
📲Download Mtabe hapa: play.google.com/store/apps/d…
Mtabe retweeted
Mambo ya @MtabeApp ni 🔥🔥
↪️Maswali na Majibu
↪️Kozi Mtandaoni
↪️Fursa
↪️Majukwaa
Mambo makuu 4 tuliyoyaweka kwenye app mpya ya Mtabe (@MtabeApp):
Link ya kudownload: play.google.com/store/apps/d…
Mtabe retweeted
New course videos uploaded 👇🏼
Kozi mpya imeenda hewani leo!
Jifunze kutumia Microsoft Word kuandika barua, kuandika proposal, kutengeneza PDF, makala na shughuli mbalimbali kwenye elimu au ofisini!
Link: mtabe.co/c/word/
Mtabe retweeted
Hatimaye videos za excel zimepandishwa. Sasa unaweza kuanza kusoma ✅
Nenda mtabe.co/c/excel
TAYARI! Anza hii kujifunza excel kwa shilingi elfu 10 tu kozi nzima👨🏽💻👩🏽💻
Tembelea mtabe.co/c/excel 📲 uanze kusoma
Mtabe retweeted
Replying to @Mohamme84023079 @MtabeApp @GIVENALITY @tzDiscovery @MabalaMakengeza @NkumbiJoram @MarekaMalili
Bonyeza mtabe.co/english/ utakutana na ukurasa huu, bonyeza *Anza Kusoma 🔔*.
- Kama una akaunti tiyari itakupeleka kwenye ukurasa wa malipo. Utalipia. Uta anza kutizama kozi yako. Kama hauna utafungua akaunti ya kawaida.
- Kwa msaada zaidi naomba maswasiliano yako.
Mtabe retweeted
👨🏫ENGLISH COURSE MASTER CLASS.
Jifunze kuandika na kusoma kiingereza kutoka kwa mttaalamu wa lugha ya kiingereza. Ujipatie na *Cheti* cha Lugha ya Kiingereza. @MtabeApp
TZS 10,000/= ~ 14++ Videos. 📚
🔗mtabe.co/english/ – at Dar es Salaam, Tanzania
Mtabe retweeted
Incase haupo Daslam au unashindwa kwenda kwa Ras Simba physically, unaweza kujipolish ngeli in the comfort of your own home kupitia @MtabeApp 👇🏾👇🏾🔥














































