Mtabe retweeted
Utalaumu mfumo mpaka lini?
Dunia hii ya utandawazi hili ni swali jepesi mno.
Shule binafsi zipo
Mitandao ya kijamii ipo
Unaweza kufungua tuition centre
Unaijua @MtabeApp ?
Unaweza kuwa mwalimu binafsi (private tutoring)
Kikubwa kuwa mbunifu na uonyeshe uwezo wako pesa itakujia
Replying to @Jasusiwetu
samahani mh,mtu aliyesoma ualimu mfano physics ,serikali hisipomuajili nani atamuajili,zingatia mfumo uliotumika kumuaandaa uyo mwalimu,haumfanyi kujitegemea baada ya masomo.
Mtabe retweeted
Given Edward, the visionary Founder of MTABE, leveraging emerging technologies to revolutionize learning experiences and empower students. He will pitch his innovative solutions this Demo Day!
#EdTechInnovation
#DemoDay
#StartupPitching
Mtabe retweeted
Replying to @MtabeApp
@MtabeApp na CROWN MEDIA tumeanzisha ushirikiano mpya unaolenga kuimarisha elimu na kuwainua vijana na waalimu nchini Tanzania.
Ushirikiano huu utatoa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la @MtabeApp na matangazo ya TV na redio za CROWN MEDIA, inayofikia watazamaji katika Afrika Mashariki.
Kupitia ushirikiano huu, waalimu wataweza kupata kipato kwa kushiriki ujuzi wao na wanafunzi kupata rasilimali bora za kitaaluma.
CEO wa CROWN MEDIA @AidanCharlie ambaye aliwakilishwa na Chief Operations Officer Bw. Apollo Temu (aliyevaa miwani) , na Mtendaji Mkuu wa Mtabe, @GIVENALITY , wana matumaini makubwa kuwa ushirikiano huu utasaidia vijana kugundua na kukuza ujuzi wao kwa mafanikio.
MTABE HAPA NI NYUMBANI #HapaNiNyumbani #MtabeXCrownMedia
Tumefurahi kutembelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa kwenye eneo letu ndani ya JNICC katika Tanzania Annual ICT Conference.
Tunashukuru kwa maoni yake na muongozo aliotoa kuhusu huduma za Mtabe 📚
In commemoration of Nyerere Day, we reflect on his view on the importance of education in the development and growth of a society.
Happy Nyerere Day 🇹🇿
Jinsi ya Kucopy Kwenye Microsoft Word.
📹📚Kozi nzima ya Microsoft inapatikana kupitia mtabe.co/c/word. Ni vipindi 15 vya video, na vyote ni 10,000 TZS
Fursa ya kufundisha na Mtabe.
🔗 Link ya kujisajili: forms.gle/9gxbU4QkGTwtreqN8
Tumerahisisha pia upatikanaji wa cheti. Sasa utaweza kupata cheti papo hapo kwa kubonyeza “Pata Cheti” pindi utakapomaliza masomo.
Kwa masaa 12 yajayo, Mtabe ina ofa kwa ajili yako:
Kozi utakazoweza kununua kwa bei hii ya leo ni:
⁃Jifunze Kiingereza - nenda mtabe.co/c/english
⁃Microsoft Excel - nenda mtabe.co/c/excel
⁃Microsoft Word - nenda mtabe.co/c/word
Karibu 🚀
Umeshapata cheti chako ya Microsoft Excel? 🔥
Tembelea mtabe.co/c/excel uanze kusoma kusoma Excel kwa mfumo wa video ukifundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Kozi nzima ni shilingi elfu 10 TU. Baada ya hapo, kozi ni yako milele.
Today we’ve setup a WhatsApp Channel for Mtabe, where you can get educational content straight to your inbox:
🔗Link:
whatsapp.com/channel/0029VaN…
Karibu.
Update mpya sasa iko live Google Playstore 🚀🚀
Tumerahisisha njia ya kupata kozi na kusoma kwa video 👏🏼
Link: play.google.com/store/apps/d…
Njia kadhaa za kumalizia ujumbe wako unapoandika email.
🔗Kozi nzima ya kiingereza inapatikana kupitia mtabe.co/c/english
Kozi yote ni 10,000, ina videos 15 na imeandaliwa kwa ajili ya mtu anayeanza kujifunza kiingereza mwanzo kabisa.
📲Tembelea mtabe.co/c/english usome kozi ya English mtandaoni popote ulipo.
Umekuwa ukihitaji kujifunza kiingereza lakini hela au huna muda?
Kozi ina video 15 zinazokutoa kutoka mtu asiyejua kiingereza hata kidogo mpaka kuweza kuongea, kuandika bila shida. Tembelea mtabe.co/c/english unaweza kusoma popote muda wowote kwenye simu yako. Ni 10,000 TU.




















