Ambassador of MAT, lake zone. G.S assistant. #Philosophy BA. #TunduLissuism

lake zone,Tz.
Joined March 2026
#DearNyerere, TUNDU ANTIPAS LISSU tunamhitaji kwasasa kuliponya Taifa kuliko kiumbe yeyote baada ya Chama chako kuua na kuharibu nchi . #freeTunduLissu
1
5
48
1,065
Modland retweeted
JIBUNI HOJA ZANGU, SI HISTORIA YANGU! Na Rev. Peter Simon Msigwa Hoja zangu ziko wazi kabisa, na sijawahi kuzificha. Hoja ya kwanza: Nimehoji kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama kuonekana kulinda usalama wa watawala na kuendelea kwao kubaki madarakani badala ya kulinda usalama wa Taifa na haki za wananchi wote. Hoja ya pili: Nimehoji kuhusu madai ya vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi kwa maslahi ya kisiasa ya CCM badala ya kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hoja ya tatu: Nimehoji kuhusu mauaji ya wananchi, hususan matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na umuhimu wa uchunguzi huru, ukweli, haki na uwajibikaji. Hoja ya nne: Nimehoji kuhusu matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na vitendo vya ukatili, na wajibu wa vyombo vya dola kuhakikisha usalama wa kila Mtanzania bila kujali itikadi yake ya kisiasa. HIZI NDIZO HOJA ZANGU! Sasa badala ya kujibu hoja hizi, kuna wanaosema kwamba Peter Msigwa anazungumza haya kwa sababu hakupata uwaziri, ukuu wa mkoa au ukuu wa wilaya! Hebu niulize: Kutokuwa Waziri kunajibu vipi hoja ya watu kuuawa? Kutokuwa Mkuu wa Mkoa kunajibu vipi hoja ya wananchi kutekwa? Kutokuwa Mkuu wa Wilaya kunajibu vipi hoja ya vyombo vya ulinzi na usalama kutuhumiwa kufanya kazi kwa maslahi ya CCM? Na kukosa uteuzi kunajibu vipi swali la msingi kuhusu tofauti kati ya kulinda watawala na kulinda Taifa? Katika taaluma ya mantiki, hii inaitwa Ad Hominem Fallacy — kumshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja yake. Pia ni kuhamisha mjadala kutoka kwenye maswali yanayohitaji majibu kwenda kwenye maisha binafsi ya anayeyauliza. Hata kama ningekuwa Waziri jana, Mkuu wa Mkoa leo na Mkuu wa Wilaya kesho, bado maswali haya yangehitaji majibu. Ukweli wa hoja hauamuliwi na cheo cha anayeitoa. Unaamuliwa na ushahidi unaoiunga mkono. Mimi sihoji kwa sababu ninahitaji cheo. Ninahoji wajibu wa mamlaka kwa wananchi. Kama kuna ushahidi kwamba hoja zangu si za kweli, uwekwe mezani. Kama vyombo vya ulinzi na usalama vinatenda kwa usawa, tujadili ushahidi huo. Kama kuna uchunguzi wa mauaji na utekaji, wananchi waelezwe hatua zilizochukuliwa na matokeo yake. Hayo ndiyo majibu yanayohitajika. Taifa haliwezi kujenga utamaduni wa uwajibikaji ikiwa kila anayouliza swali kuhusu haki za wananchi anajibiwa kwa kushambuliwa maisha yake binafsi. Mimi nimeuliza kuhusu usalama wa Watanzania. Wengine wanazungumzia uteuzi wangu. Nimeuliza kuhusu Katiba. Wengine wanazungumzia vyeo. Nimeuliza kuhusu mauaji na utekaji. Wengine wanazungumzia uwaziri. Sasa hebu turudi kwenye hoja. Kwa sababu hata kama Peter Msigwa asingekuwepo katika siasa za Tanzania, maswali kuhusu mauaji, utekaji, matumizi ya mamlaka na wajibu wa vyombo vya dola yangekuwa bado yanahitaji majibu. KUKOSOA MTOA HOJA SI KUJIBU HOJA. NA KUMSHAMBULIA ANAYEULIZA SWALI SI KULIFANYA SWALI LIPOTEE.
2
7
1
37
970
📍👏👏👏
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
56
Modland retweeted
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.🙏🏽
259
334
62
2,048
59,427
I am a police officer, , frankly speaking,the mentioned act is intolerable and unacceptable,, please help to provide her address so that I can get on her handcuff for legal procedures 🤔
This quoted post is unavailable.
10
NDUGU WANANCHI. Huu UTAWALA wa DAMU wa Samia unataka ONDOA wote WaTanganyika Wenye Akili timamu na WASOMI tulobakiwa nao ambao Ndo Wapo mstari wa mbele Kuongelea Haki na Kupambania TAIFA ili kuwaangamiza💔 Mfano mzuri Ni Kama vile ni Kama walivyowafanyia MH WAKILI MSOMI TUNDU LISSU, Mwana Diplomasia Balozi HAMPHREY POLEPOLE na Sasa wanawanyemelea Kina Mh WAKILI MSOMI BONIFACE MWABUKUSI @advocatemwabukusi2025 . @Mwabuk2Boniface , Mh @HecheJohn WATANGANYIKA TUSIKUBALI HUU UKATILI. AMKA Mtanganyika 💪
5
78
287
10,257
Modland retweeted
Mapenzi ya Mungu hayasemi watu wauwawe Watu watekwe Watu wasingiziwe Inahitaji kutii kile Mungu anasema kwa mawazo Kutoa mapenzi ya Mungu na kukubali kupambana na wanaokataa inahitaji kujikana nafsi .tunapoweka kando matamanio yetu NI kwa sababu yenu Tunapoona shida inayokuja tunajikana nafsi na kuamka upya . Kubalini katika nyakati hizi ngumu tujitoe sote kwa pamoja msituachie kazi hii wachache Kama huna nguvu ya kusafiri changia mageuzi iepushe CHADEMA kuwa chama cha mfukoni ishikilie wewe kwa namna unavyoweza kama tunavyounga neno la Bwana mkono liende mbele kutuokoa nafsi zetu basi tupunguze sehemu nyingine sasa tuweke kwenye upiganiaji Haki NI wakati mgumu ...tujitoe sote twende sambamba ...mtu mmoja aseme sambamba na HAKI sambamba na HAKI ...
10
114
2
501
9,494
Let’s effin’ go…… Wauwaji wanahangaika kujaza UVCCM airport ila wananchi huku wanadai haki… Hii ni leo Moshi Mjini…. Kwa wanaharakati mnaotaka kuwakatia tamaa watu milioni 70 sababu ya upumbavu wa watu ambao idadi yao haifiki hata wananchi elfu 10 tena machawa wa UVCCM na mabodaboda ya kulipwa nawaomba msi entertain that thought. Seriously kuna mtu kahesabu hata watu elfu 6 kwenye upumbavu wao leo uliosimamiwa na kuratibiwa na serikali haram? Sasa kumbuka Dar es Salaam ina wananchi milioni 8. Sasa wanaharakati tuwasuse wananchi milioni 8 kisa machawa elfu 5??? Watanzania wameamka na watapambana, hata wauwaji na machawa wao wenye platform kubwa kwenye social medial wafanye nini ili kuwatoa wananchi kwenye reli ila TANZANIA ITAKOMBOLEWA one way or the other… USHINDI UNAKUJA CHA MSINGI HAKUNA KUKATA TAMAAA…
18
235
3
1,555
50,430
Thank you @EPPGroup Tundu Lissu deserves the Sakharov Prize 🙏🏽 #FreeTunduLissu
21
202
4
721
19,391
Kumbe jamaa anatuwakilisha vizuri huko nje 😂😂🔥
The most funniest comedy of the year🙌🏽😂😂😂😂💀💀💀🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️😶‍🌫️😶‍🌫️
18
Kizazi hiki kinachopigania ukombozi wa pili wa kisiasa na kidemokrasia kutoka kwa wakoloni weusi hakiwezi kutishwa kwa kuitwa magaidi/wahaini. Ni majina CCM na dola yake wameamua kuyabandika kwa CHADEMA, lakini lebo hizo haziwezi kufuta uhalali wa madai ya demokrasia, uhuru na haki. CCM imeshindwa kufanya siasa za kidemokrasia na sasa imeacha siasa zake ziafnywe na dola na dola. Ndiyo maana tunaona matumizi ya nguvu tu. Historia inatufundisha, hata African National Congress (ANC) ya Afrika Kusini ilitangazwa kuwa harakati ya kigaidi na watawala (Makaburu). Hata hivyo, ANC iliendelea na mapambano yake na hatimaye ikaingia madarakani mwaka 1994, miaka 82 baada ya kuanzishwa kwake mwaka 1912. Mapambano ya ukombozi wa kisiasa ni safari ya kizazi hadi kizazi. Yanahitaji ujasiri, uvumilivu, mshikamano, nidhamu na dhamira thabiti. Hakuna dola inayodumu milele kwa kutegemea vitisho, propaganda na ukandamizaji. Wakandamizaji wa haki za watu leo, zamu yao itafika tu. Siku itafika mfumo wa utawala unaokandamiza haki za wananchi walio wengi utashindwa kuhimili nguvu ya madai ya mabadiliko. Udhalimu utashindwa. Watanzania watapata fursa ya kujenga upya taifa lao kwa misingi ya katiba bora, utawala bora unaofuata sheria, uwajibikaji, demokrasia na uhuru wa kweli. Ukombozi unahitaji dhamira thabiti, mshikamano usiotetereka na mapambano ya amani yakiyojengwa katika misingi ya haki, uhuru na demokrasia. Kwa hiyo, wapigania mabadiliko na uhuru wa kweli; msiogope, msikate tamaa wala msichoke. TUSIOGOPE. TUSICHOKE. TUTASHINDA. #FreeTunduLissu #FreePoliticalPrisoners
11
120
2
536
19,826
😂😂🤣
Part - 2 , #Tesla In INDIA 😳😂🔥 #teslaRoadster Escaped the electric wires, only to be trapped by Modi's "space-tech" roads 🛣️😭
20
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Tesla In INDIA 😳😂🔥 #tesla #teslaroadster
12
Waiba ndala Msikitini 😅😅😅🤣
Kwa jinsi wanafunzi wa chuo nilivyo broke unaweza ukasema wana course ya umasikini vyuoni
1
1
13
Haya magari ya Elon musk ya kupaa aliozindua Jana ,, yakishuka bei ya TOYO nitalinunua🤗😊😊
12
Modland retweeted
Nyerere 1995: Ni makosa kuzuia mgombea binafsi Moja ya ukosoaji ambao Mwalimu Nyerere aliufanya kuelekea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, baada ya kurudishwa kwa vyama vingi nchini ni zuio la mgombea binafsi. "Sheria hiyo ndivyo ilivyotungwa, ndivyo ilivyo; huwezi kuanzisha chama kukiuka upande huo wa sheria. Lakini mimi nadhani wamekosea. Wamekosea kuzuia wagombea binafsi; sheria imekosea kuzuia wagombea binafsi, na ninataka nieleze sababu. Nadhani kukosea huku ni kukosea kwa msingi, si kukosea kwa juu juu," alieleza Nyerere akizungumzia juu ya Sheria ya Uchaguzi. "Ni la msingi kwa nini? Haki yangu, na yako, na yako, na yako, ya kupiga kura Tanzania ni haki ya uraia. Pili, haki ya kuomba upigiwe kura ni haki ya uraia. Madhali wewe ni raia wa Tanzania, kisiasa una haki ya kuomba uwe Rais wa Tanzania, yeyote yule, ukiwa katika chama au hauko katika chama. Unayo haki inayotokana na uraia wako, kwa sababu wewe ni raia wa Tanzania. Haki ya kupiga kura na haki ya kupigiwa kura ni haki ya uraia. Haiwezi kudaiwa na mtu ambaye si raia wa Tanzania, na raia wa Tanzania hawezi akanyang’anywa," aliongeza Nyerere. Katika hotuba yake Nyerere alieleza kuwa wakati mfumo wa vyama vingi ukiwepo kabla ya kuingia mfumo wa chama kimoja, haki hiyo ya mgombea binafsi ilikuwa ikiruhusiwa. "Nikikataa kuingia katika chama... mnasema sasa hivi viko kumi na vitatu; sijui kama vimechukua Watanzania wote. Mimi nadhani bado havijachukua Watanzania wote. Watanzania wengine hawakuingia chochote; hawamo CCM, hawapo popote, hawana chama chochote. Kutoingia katika chama hakuninyang’anyi haki yangu, ama ya kupiga kura au ya kupigiwa kura. Ninayo tu," aliendelea kueleza Nyerere. Nyerere pia alitumia muda kuunga mkono hatua ya kiongozi mmoja wa upinzani aliyepeleka kesi Mahakamani na kushinda. Mwaka 1993, mwanasiasa wa upinzani,  Mchungaji Christopher Mtikila alipeleka maombi Mahakamani kutaka sheria iruhusu mgombea binafsi,  ambapo alishinda. Hata hivyo serikali ilifanya mabadiliko ya Katiba mwaka 1994, yaliyozuia jambo hilo lililoamuliwa Mahakamani, jambo lililomfanya Nyerere alizungumzie pia katika hotuba yake hiyo ya 1995. "Sheria ilipita, mnawanyima raia wa Tanzania haki hiyo. Mtu mmoja akaenda Kortini akasema sheria hii si ya haki. Jaji mmoja akahukumu, akasema, “Naam, si ya haki.” Mimi ninakubaliana na maamuzi hayo ya Jaji kabisa, kabisa. Jaji alikuwa sahihi; huwezi kuinyima haki hii. Sasa serikali wamefanyaje? Serikali, badala ya kukubali uamuzi wa Jaji, kwa kweli walichofanya ni kuifuta [haki]. Hamuwezi kufuta haki za raia; hamna uwezo wa kufuta haki za raia. Mimi nilidhani tunarudisha vyama vingi, tunarudisha na haki zote zile zilizokuwapo za raia [kwenye vyama vingi]: si [tu] unayo haki ya kuunda vyama, [bali] pamoja na haki ya mgombea binafsi," alieleza zaidi Nyerere. Mwaka 2005, Mtikila alirudi mahakamani na kuitaka mahakama itamke kuwa vifungu vya katiba vinavyozuia mgombea binafsi kwamba haviendani na misingi ya haki na demokrasia, Mahakama Kuu ilikubali tena, na kumpa ushindi. Mwaka 2009, serikali ikaamua kukata rufaa juu ya shauri hilo, ambapo Mahakama ya rufaa ilikubaliana na serikali na kueleza kuwa Bunge ndilo linalotakiwa kuamua jambo hilo. Baada ya kumaliza mahakama zote [za] Tanzania Mtikila alifungua shauri katika Mahakama ya Afrika Mashariki. Mnamo Juni 14, 2013 mahakama hiyo ilitoa uamuzi na kuitaka Serikali ya Tanzania kuruhusu mgombea binafsi katika uchaguzi wa urais, ubunge na udiwani. Hata hivyo uamuzi huu mpaka leo bado hujatekelezwa. Hii ni hoja pia iliyopendekezwa katika rasimu ya Katiba, kufuatia maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba.
3
33
2
99
2,874
#DearNyerere 'WHO ARE YOU ''? 😎😃
33
Sehemu ya Hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya Machi 14, 1995 ambapo alisisitiza umuhimu viongozi kusimamia na kutetea Katiba ya nchi. Ikumbukwe leo Oktoba 14, Tanzania inaadhimisha miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, aliyefariki mwaka 1999. Zaidi jamii.app/NyerereDay2026 #JamiiForums #Governance #Accountability #NyerereDay2026
4
50
4
197
7,410
Hii nadhani ndio #DearNyerere ya kupigiwa mstari na lamination.. ipewe tuzo 📌📌 hapa ni swala Uhai wa watu kabisa
#DearNyerere Ukipandishwa Land cruiser nyeupe ni kama umepandishwa kwenye Jeneza yani ni Haleluya tutaonana 🕊️
39
#DearNyerere Taifa lako sasahivi ajira kubwa ni bodaboda,, yaani vijana ni kusoma na kupata shahada ya chuo kikuu na baada ya hapo ni kuendesha Pikipiki kusaka buku buku mtaani kama vile anadaiwa Figo ili maisha yake yaendelee 🙌. Tofauti na wakati wa utawala wako !
49