
Mimi na Rais ni kitabu cha kipekee kinachozungumzia uongozi bora, uwajibikaji, diplomasia na usaliti kilichoandikwa na @LelloMmassy. Kununua 📞📨0717947818
Stanza
Joined May 2019
- Tweets170
- Following68
- Followers521
- Likes73
The President And I retweeted
Bado nakala ngumu za riwaya hii ya @MimiNaRais zinapatikana nchi nzima.Wasiliana 0717947818
Kusoma nakala laini bofya >>>play.google.com/store/apps/d…
The President And I retweeted
TANGA
Sasa nakala za kitabu cha @MimiNaRais
zinapatikana maduka haya:
1. NASI Elimu supplies.
Lipo barabara ya Euckenford.
2.Saifee stationary.
Lipo barabara ya Sokoni.
Au wasiliana 0717947818.
The President And I retweeted
Namna pekee ya kupambana na mtawala ni ama iwe kinyume na sheria kwa maana ya nje ya mifumo ya utoaji haki vilivyopo nje ya serikali na uombe Mungu sana asikugundue, jambo ambalo ni gumu hasa kwa mifumo yetu ya nchi za ulimwengu wa 3..🤔
#MimiNaRaisi📖
The President And I retweeted
"In the midst of your pressing issues, you can always find time to hang out with your bae, can't you Mr. President?"
.............Ketina...........
#MimiNaRaisi📖
The President And I retweeted
Kama umesoma Simulizi Ya @MimiNaRais basi umefanikiwa kusoma maneno 102,932 kwa wakati mmoja.👏👏
The President And I retweeted
Riwaya ya @MimiNaRais iliyoandikwa na Mwandishi @LelloMmassy iliingia katika tatu bora ya Vitabu vinavyowania tuzo za Mabati-Cornell
kwa mwaka 2019. Heri ya kuzaliwa Kaka! Bado tutategemea mazuri kutoka kwako! Mungu abariki kazi ya mikono yako 🙏🎉🎊
The President And I retweeted
💨 Happy birthday mheshimiwa @LelloMmassy wa Kitabu cha @MimiNaRais.
✴ Ishi miaka mingi kiongozi.
The President And I retweeted
"Mambo mengi kwenye siasa hupangwa na watu ambao ni nadra sana kuwajua mara nyingi watu huwajua wale watekelezaji na sio wapangaji"- uk.396 #MimiNaRais @LelloMmassy @MimiNaRais
The President And I retweeted
Simulizi hii niliiandika "just by the way" na niliiandika muda mmoja na ile ya @MimiNaRais mwaka jana. Lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikiniletea mjadala mkubwa kwenye simu yangu kwa wale walioisoma kupitia App.
Labda niseme hivi READ IT AT YOUR OWN RISK🤣🤣🤣
The President And I retweeted
This May Mosi.
@itmtanzania with @SerengetiBytes wataanza kukupa maujuzi ya Social Media na Digitalization.
This is proudly powered by ITM Tanzania.
#ITMELearning
#ITMTraining
#NipeDili
We will feature @KennedyMmari & Michael Mallya from @SerengetiBytes on the coming Webinar session this Friday-May 1st.
TOPIC: MASTERING SOCIAL MEDIA MARKETING
TIME: 3-4 PM (EAT)
VENUE: GoToMeeting
SIGN UP PAGE: itmtanzania.lpages.co/itm-tz…
It’s Free of charge.
#WeAreITM
The President And I retweeted
"I remember reading that book, with a cover illustration of a silhouetted man looking into the distance, in just one evening..." @BBCAfrica Basillioh Mutahi remembers "King" of Swahili writing Ken Walibora and reflects on his iconic novel, Siku Njema buff.ly/3aLiDjA
The President And I retweeted
Kutoka Jamhuri ya Watu wa #Stanza, tungependa kutambulisha bendera rasmi.
Hivi Karibuni, tutaleta utaratibu rasmi wa jinsi ya kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Uraia, Kitambulisho cha Utaifa na Uchaguzi.
Fuata ukurasa wa @MimiNaRais.
Mimi nishabonyeza follow button 🤗
The President And I retweeted
The book, @MimiNaRais has won a prestigious award in East Africa, The Mabati-Cornell Kiswahili Prize for African Literature.
Prof. Clara Momanyi said that the book won because “it is a modern novel that looks into the current political reality in many African countries..."
The President And I retweeted
Ni kitu gani cha kwanza kinakuja kichwani kwako kila unapokutana na hii @MimiNaRais ?
Mimi: Harufu ya nakala ngumu ya kwanza kabisa kutengenezwa
The President And I retweeted
ile @MimiNaRais ni 🙌🙌🙌 @LelloMmassy umetisha sana mkuu
The President And I retweeted
Ila @LelloMmassy anajua mpaka siku yangu ya kufa nahisi. Kama Stanza ameipatia hivi basi yapo mengi atakuwa anayajua. Plz naomba copy yangu.
The President And I retweeted
Jipatie Nakala Yako,Hakika Hutajuta!
@LelloMmassy Bro wew Ni Mwandishi na Nusu,




























