KAKA FURE (@FrankaneBest) header
KAKA FURE (@FrankaneBest) profile picture

Security Systems, ICT & Fire Detections

Globe, AZ
Joined October 2017
leo nimemuambia my bro @AfricanMkenda hatifiki '28 tutakuwa na naibu waziri mkuu
29
au @MarekaMalili ndo kamuweka mgosi pale wizarani ili mambo yake yaende vizuri, Humu ToT tunachukuliana poa sana aisee
1
1
22
pitch ambayo iko busy haina nyasi
Do men prefer shaved pussies or hairy pussies?
30
kuna notion kuwa DCs ni wana access na TISS wilaya pengine akiwa na bahati Taifa, Kwamba dullah hakuweza kunusa kutekwa kwa ndugu yake?
Hivi Twaha Mwaipaya wa chadema na Abdalla mwaipaya aliyekuwa mtangazaji wa ITV now ni Mkuu wa wilaya ni Ndugu??
1
1
72
Simu ya kwanza kupokea kila siku ni mama Frank, kwake me kachalii flani kanahitaji uangalizi kila siku
Ukishakuwa mkubwa hakuna mtu atakutafuta kujua hali yako ila wengi watakutafuta kuona kama unaweza kuwasaidia.
9
Sheikh wako, Mchungaji wako, Paroko wako, Kuna ambao wanaingia kupotia hawa watumishi wa Mungu( Sijasema mitume wa makanisa ya Mabati)
Tutoane ushamba naomba kuuliza utaratibu wa kujiunga usalama wa taifa upoje sijawahi ona matangazo yao kama yale ya kujiunga na jeshi
1
1
164
KAKA FURE retweeted
Replying to @FrankaneBest
Sangara na wagonjwa wa kansa na damu damu
1
220
samaki huwa hazisaidii kumuweka sawa mtu aliyekua na saratani?
Sending Love and Hugs You are a strong person ❤️
1
2
262
kyela moja janja? hukua bishoo ulikua mvaa midosho
Nimeishi maisha ya ujana nikiwa mdogo sana😄. Nilikuwa bishooo shule halafu best student yani nafaulu darasani halafu ni tozi balaa😂. Kama sasa hivi tu siwezi kuwa chawa wala sina sifa za uchawa ila kwasababu namkubali Rais Samia na kumuunga mkono inabidi mniite tu chawa hata kama sina sifa hizo😁 ila kazi nzuri ya serikali ya Rais Samia lazima niwaambie tu #TBT
25
huu ujinga wewe na wasenge wenzio ndo mmesababisha ndugu zetu wengi wamepigwa shaba last year, mnawajaza watu sumu mkidhani mnawakebehi
CHIBA KAA UKIJUA UKO PEKE YAKO NA IMEISHA HIYO YAANI NIMEFUATILIA kwa karibu sana nini kitatokea baada ya kufungwa kwa Chiba lakini nina howeza kusema ni kuwa watu wameendelea na mambo yao na tukio la kufungwa kwa Chiba wamelichukulia kama la kawaida tu na kama hakuna kitu kimetokea yaani. WENGI walijidanganya kuwa jaribio lolote la kumfunga jela Chiba lingeleta vurugu na maandamano kutoka kwa wafuasi na wanachama wao laki 4 nchi nzima lakini ukweli ni kwamba hawa watu hawanaga nguvu na uwingi wanaojidanganya kuwa wako nao. CHIBA kafungwa na hakuna kitu wamefanya au kufanyika na watu wanaendelea na maisha yao huku nje wakati naye Chiba anaanza maisha yake ya ufungwani akiamka saa 11 asubuhi na kulala saa 9 mchana kila siku kwa miaka minne ijayo kuanzia 6 Novemba 2026. CHIBA angekuwa na wafuasi na hiyo wanayoita nguvu ya umma basi mida huu Tanzania ingekuwa haikaliki kabisa yaaani. Muda huu nchi ingekuwa inawaka moto na kufuka moshi mtupu lakini kwa kweli nchi iko baridiiiiiiiiii na huko nje ya Tanzania ambako wanaharakati wachache wamejificha na wanapiga kelele na kufanya mambo yao kwa bluetooth. Yaaani wanaandamana kwenye simu zao na midomoni tu lakini kiuhalisia watu hawana habari kabisa yaaani.! TUKIO hili ni fundisho kubwa sana kwa wanaharakati uchwara wakiongozwa na Maria ambaye ni kinara wa kuharibiaga watu maisha yao na mambo yao . Alimfanya hivi yule mama wakili akajikuta kapoteza leseni yake ya uwakili , kapoteza nafasi yake na uwekezaji wake kwenye kampuni yao ya uwakili na mbali zaidi akamzababishia kuharibu kabisa familia yake ikiwamo kuharibu ndoa yake na kuachika na mumewe!. Yote hii ni kazi ya mikono ya Maria na harakati zake za kishetani. Mama wa watu akaja kugundua hilo kwa kuchelewa sana lakini haikumsaidia na maji yameshamwagika na ni ngumu kuyazoa!. Ikafika zamu ya Mwambukusi wa TLS naye akapitishwa kwenye njia ile ile na Maria na harakati zake za kishetani mwisho wa siku Mwambukusi kajikuta anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi na uchochezi yako yanachemka muda wowote ataungana na wenzake akina Pamnalu huko Segere!. Baada ya kugundua hilo Mwambukusi amelowana kweli kweli sasa hivi na ni kama hayupo . Sijui kama ameshatoa tamko lolote baada ya Chiba kufungwa lakini anajua kilichopo mbele yake na kapata ganzi kweli kweli yaaani!..Hana hamu kabisa na hata mbwembwe za ooh TLS chapta Four blah blah zimeyeyuka. CHIBA alichelewa sana kujua kuwa hawa mashetani wanamtumia vibaya na wanatumia chama chame kutaka kupenyeza ajenda zao na kutaka kuangusha serikali. Wakatumia chama chai ku radicalize vijana matokeo yake leo akina Mdude, Soka ,Mpambazi ,Kipanya na wengine wamekuwa historia. Hawajafutika kwa bahati mbaya hapana, hawa ni kazi ya mikono ya Maria na kundi lake na bado akawa anawasafirisha akina Colletha, Doris, Gwamaka kwenda Nairobi kuwapa mafunzo ya ugaidi lakini sasa hawa wote wametiwa nguvuni na wanakabiliwa na makosa ya ugaidi! KUBWA zaidi ni kufanikiwa kukiendesha chama chao kwa remote akiwa mafichoni. Maria kakimbia Nairobi na kakimbilia Ulaya na akiwa huko anaendeleza mambo yake ya kuchochea vurugu na uasi na akafanikiwa kuwazuia CHADEMA kushiriki uchaguzi akidhani kwamba uchaguzi hautafanyika. Na alipoona haiwezekani wakaingiza wahalifu na criminals barabarani na wakachoma moto nchi mwaka jana! Kila mtu anajua matokea ya vurugu zile. Lei hii huwezi kusikia wanaongelea hasara ya kupotea na kuharibiwa kwa mali za watu. Wanaongelea tu mambo ya sijui watu kuuliwa. Hawa watu ni vibaka sijui wakitaka wafanyweje zaidi ya kuuliwa kwa uhalifu wakiofanya! Haya yote yanatokea Maria na kundi lake wako nje ya Tanzania na hawajaguswa na athari hizi na madhara haya. KWA UJUMLA ni kuwa mnakaa mnajidanganya eti mna nguvu ya umma lakini kiuhalisia hakuna lolote na ndiyo maana chiba kapigwa mvua juzi na watu wameendelea na mambo yao na maisha yao kama hakuna kitu kimetokea MNADANGANYA watu eti mnashughulikia rufaa na dhamana. Yaani dhamani kivipi? Huyu ni mfungwa akae jela atulie yaani #KigogoMediaUpdates
14
waseme kwanza tunaridhiana kuhusu nini,?
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema maridhiano nchini yanawezekana hata bila kushirikisha baadhi ya watu, akisisitiza kuwa mchakato huo haupaswi kufungwa ndani ya vyama vya siasa bali kuwa ajenda ya jamii nzima ya Watanzania. Kupitia kipindi cha asubuhi cha CloudsTv leo Jumamosi, Nape amesema maridhiano anayoyaamini yeye pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan si maridhiano ya CCM na vyama vya upinzani, bali ni maridhiano ya kijamii yanayolenga kujenga umoja, mshikamano na kuondoa tofauti zinazoweza kugawa wananchi. Amesema wanasiasa wanapaswa kuepuka kuhodhi ajenda ya maridhiano kwa maslahi ya kisiasa, akieleza kuwa maridhiano yakibaki kuwa suala la wanasiasa yanaweza kugeuka kuwa mazungumzo ya kugawana nafasi za uongozi badala ya kujenga umoja wa kitaifa. “Maridhiano yanawezekana bila hata baadhi ya watu. Haya siyo maridhiano ya vyama, ni maridhiano ya jamii. Naomba wanasiasa tusipore maridhiano, yawe jambo la Watanzania, lisiwe jambo la wanasiasa wala vyama vya siasa,” amesema Nape. Katika kuelezea nafasi ya upinzani, Nape amesema upinzani haupaswi kuchukuliwa kama uadui, bali ni sehemu ya ushindani wa hoja na mawazo katika kujenga taifa, akitoa mfano wa kipindi ambacho viongozi wa vyama tofauti waliweza kukaa pamoja na kushirikiana bila kuchukuliana kama maadui. Ameeleza kuwa kukosoa ni rahisi kuliko kujenga, hivyo wanasiasa wanapaswa kujikita katika ushindani wa hoja badala ya kuchukiana. Aidha, Nape ameeleza kuwa Tanzania ina tume ya uchaguzi anayoitaja kuwa bora na huru, huku akikiri kuwa kunaweza kuwa na mapungufu katika baadhi ya maeneo ambayo, kwa maoni yake, hayapaswi kutumiwa kupuuza mfumo mzima wa uchaguzi. Amesema mfumo huo unasimamiwa kwa mujibu wa sheria zilizopitishwa na Bunge, na si mfumo uliotengenezwa na CCM.
9
ile Story ya chumba cha jinsi ni Reli kumamae
13
Mkoloni mweupe alimpa JK wa kwanza kifungo au/na Faini Mkoloni mweusi anampa TAL kifungo tuu bila faini tena kwa kosa ambalo hajawahi shitakiwa nalo
9
Bado kitambo kidogo, Tutafika hata kwa kuchelewa #justiceforTAL
18
KAKA FURE retweeted
💔💔
1
5
60
3,020
Haina noma✊🏼
2
10
94
2,299
KAKA FURE retweeted
Yana mwisho haya.
2
12
58
1,719
siku simba wakisifia mabeki wa nyanga, ujue yanga wana hali ngumu sana
Mkikosoa muwe na adabu zenu kama MMM. Huyu ndiye mpinzani ninayempenda sasa, ukosoaji wake una staha, unaoma kabisa hapa kaongea ukweli, bila matusi bila kuchochea vurugu. Hasemi chomeni shule, chomeni kituo cha polisi, chomeni nyuma za CCM wala vituo vya mafuta. Hamtosikia MMM amekamatwa sijui haonekani, sijui anafuatiliwa, yeye ni mtu anayejua kucheza vizuri siasa bila rafu. Atadumu sana uraiani.
1
29