Goldeneye👁️ (@Ntwhali) header
Goldeneye👁️ (@Ntwhali) profile picture

Nolite iudicare, ut non iudicemini |Arsenal Fan|Reader|Movieholic|Taurus ♉ | I love science..... E=mc² ✍🏽

African Gene
Joined February 2011
Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)Photo by Goldeneye👁️ (@Ntwhali)
Mara Bashite amekuwa Waziri Mkuu
31
My fav 🙌🏿
Kwa misosi mitamu na mizuri Tanzania ,Tabora shikamoo🙌🏾 Wana hiyo mboga inaitwa nsansa oyaaa
31
👇🏿
Every empire eventually reaches a point where propaganda becomes more important than progress. That's usually when the decline becomes irreversible.
10
Mbona Amani ni patupu🤔
19
😂😂
Single people Dey always get anger issues 😂😂
13
Kweli Kennar ni crazy
PRESIDENTIAL ESCORT IN OTHER COUNTRIES VS IN AFRICA😂😂😂😂
21
Kwanini Rwanda si wana nchi walizotoka?
Mataifa ya EU Germany, Denmark na wengine yamefufua mpango wa kupeleka wahamiaji haramu kutoka AFrica/Asia etc wanaoingia EU watapelekwa Rwanda ili kukabiliana na ongezeko la wahamiaji Ufaransa imeripoti kuwa wahamiaji 2200 wamaingia within two weeks Tunakubwa na nini?
2
1
103
Maji yameloana💦
10
Kwahiyo?
Scott Colom seneta mpya wa jimbo la Mississippi, ana historia na Tanzania. Kwanza akiwa Chuo huko USA alifanya Internship kwenye mahakama ya Kimataifa iliyopo Arusha hapa Tanzania. Pia baba yake amewekeza Tanzania kwenye Utalii, real estate nk, pia hoteli za Nashera ni zake.
16
🤔
Bosi wa TAKOKURUH akiwa kama wa SEMBE.....CAG atapumzika
18
Kuna watu wako obsessed sana na baadhi ya vitu/watu
28
Kuna vitu naona wanafanya wanawake siku hizi kwenye hizo sherehe zao wakimaliza kufanya hayo na watu wakazoea sijui watafanya nini cha zaidi🤔
12
Bruno ako frustrated sana
28
Tunajua moyo wa mtu una chamber 4(2 Atria + 2 Ventricles) kumbe kuna watu mna chamber 5(Uvungu wa moyo) 😂
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Arsenal wakishinda naumia sana😒 leo hata appetite sina kabisa💔
36
Huyu Suzuki ni kipa no wonder Casillas alimuona
58
Just watched The Odyssey niangalie na The heart of the beast kisha Your mother X3 nione na huko kuna nini?
65
Nilikuwa naangalia "Apollo has fallen" kuna kauli nilikutana nayo "You can't kill a man twice"
30
Mtu anakuuliza inaonekana una hasira ukamjibu sio kuonekana nina hasira
25
Ukweli siku zote haufichwi hata utumie nguvu na gharama kiasi gani na bahati mbaya zaidi huwa na tabia ya kujitetea wenyewe hata kama itachukuwa muda.
42
No wonder watu wanawatukana alafu wanakimbilia sheria ya mtandao kuna vitu vinatia hasira usipohimili mihemuko lazima yakushuke tu🤮. Blood basket🚮
13