Ben (@Merdson_) profile picture

Extra ordinary Gentleman. Critical Thinker

Tanzania
Joined July 2020
Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)Photo by Ben (@Merdson_)
We nenda kasafishe kiwanja chako
12
26
9
165
32,755
Ben retweeted
A man needs money to become a member of his own family. ~Unknown
8
84
2
339
6,950
Kwa Utulivu wa Akili na Amani ya Moyo Wako Kama Mwanaume—Epuka Sana Kuwa na Mwanamke MMOJA na Ukampenda Sana “Attachment ni SILENCE Killer”
42
107
13
623
30,761
Hii best products niliwahi kupata humu, Mabloo @NyandaAmosi @nickyrabit Mungu azidi kuwatunza Kwaniaba ya wanufaika wenzangu niseme tu mnaruhusiwa kutudai tena hela ✋🏽😀🤚🏽
4
4
8
1,780
Tupo Katika Nchi Ambayo INACHUKIA Mno Watu Wenye AKILI! Ukiwa na AKILI Automatically Viongozi Wanakosa Matumizi na Wewe—na Unageuka Kuwa Threat & Adui! PS: UBINAFSI Ndio Kansa ya Taifa Hili Liliobarikiwa Kila Aina ya Vipawa!
28
133
4
609
14,791
i will never forget anyone’s kindness towards me, no matter how small or insignificant
25
3,418
146
7,464
411,417
Please save some money for January to avoid calling innocent people f*ke friends. ☝️🏧
67
98
7
776
14,738
Money is very important, not because it defines you, but because it empowers you to live on your own terms….
184
1,415
63
5,469
152,768
Why do religion have different Gods but the same Satan?🤔
1,349
4,502
535
43,234
1,848,042
Wazazi wa Tz wanaweza wakakupa ushauri masaa 4 na bado akasema sina mengi ya kusema...!😂
7
27
3
198
4,756
MRADI MPYA WA VIWANJA KISONGO WAYA ♦️ KILA PLOT 2,500,000/= ♦️ MALIPO NI KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI 6 BILA RIBA ♦️ USAFIRI WA KWENDA KUTEMBELEA VIWANJA VYETU NI BURE WASILIANA NASI 0743241854
Tunauza na kukopesha viwanja Arusha maeneo ya... ♦️ kisongo waya..1,600,000/= ♦️ kisongo yakini 4,500,000/= ♦️ Murieti.....3,500,000/= ♦️ Kiseriani. 2,500,000/= ♦️ Kikatiti...1,600,000/= 👉Ukubwa wa viwanja ni kuanzia 15kwa20 na kuendelea kulingana na uhitaji wa mteja.0743241854
1
69
Rate this in a scale of 10
1
1
22
Ukisaidiwa Na Mtu ambaye Bado anajitafuta Huo Siyo Msaada Ni Upendo.. Good Morning X Friends 👋.
45
50
131
4,808
Matajiri Hawajakuzidi Akili—Wamekuzidi SPEED ya Kutafuta TAARIFA!
6
88
2
572
19,879
Kuna namna ukimpenda sana mtu, Kila anayekua ana comment kwenye Picha yake unakua unamkagua vizuri.
14
34
1
218
8,490
Ile umeanza kumpenda Na kukolea penzini vizuri vizuri, Anahama Mkoa.
1
24
180
6,453
Jamii yetu wachawi ni wengi. Tumekuwa na jamii yenye kuombea uanguke na usinyanyuke. Uporomoke na ukongoroke, utatuke na uchakae, na ikiwezekana upatwe na maradhi na kifo. Jamii ni kizazi katili. Hatupendi kuona mafanikio ya mwingine. Roho mbaya. Hii ni kutokana na umaskini.
117
321
13
2,012
78,384
Natoa nafasi kwa admission offices za vyuo vikuu vinavyotoa kozi za afya. Kupitia x space kila chuo kitakua na siku yake, kitapata nafasi ya kuongea na wanafunzi watarajiwa kuhusu kozi wanazotoa na kujibu maswali yao. Hii itasaidia watu kuwa informed na vyuo wanavyotaka kusoma
6
21
1
169
7,651