INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Unabahatika kupata kazi yenye mshahara mzuri Marekani🇺🇲
Demu wako wa kiTZ🇹🇿 anakwambia usiende, ukienda utaharibu mahusiano yenu.
Embu jibu kama Muungwa aliyestaarabika.
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Kabla ya kutomba Malaya unakuwa huwazi chochote ila baada ya kufanya icho kitendo unaanza kupatana na hisia mseto
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
DADA mkubwa una plan ya kubeba mimba ni muhimu kuanza kutumia FOLIC ACID miezi 3 kabla ya mimba ni MUHIMU ZAIDI✅
Ikitokea kipindi cha mimba zikakuchefua unakuwa tayari zile za nyuma zimesaidia sana!
USHAURI: TUMIA WAKATI WOTE WA kabla/MIMBA/baada❗️
-HAMPENDI UKWELI NYIE😂🫵🏿
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Tatizo la Yanga si kukosa wachezaji, ni matumizi ya wachezaji na maamuzi ya benchi la ufundi!Huwezi kucheza Derby dhidi ya Simba kwa majaribio halafu ukitegemea mashabiki wawe na uvumilivu. Gusa Achia ndio mpra wetu kama huna majibu ya kiufundi achia wengine wafanye kazi. Yanga ni timu kubwa, hatuwezi kuishi kwa maumivu kila siku! 😭💔💚💛
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Huwezi amini Mkulima Wine haijachakachuliwa ni pure 100%
Tena ile sweet red ni tamu ajabu hadi mtoto anaweza gida ukashangaa anarembua tu🙌🏾
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Dalili nyepesi sana za kujua hakupendi kabisa unajipendekeza tu.
1.Yupo bize 24hrs
2.Mkali mkali ajabu
3.Anakuomba hela kupitiliza
4.Ukimpigia simu anaongea kwa kufoka foka balaa.
5.Ukitishia kumuacha hajali😂
6.Kwake kila siku hana😁🫵🏾
Hizi ni dalili kuu usaliti huwa ni dalili ya mwisho sana kuigundua🫵🏾
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
#TajiriLaKihaya
Mpenzi wako ana AKILI TIMAMU au na yeye Kapost Miss Grand???
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
BABA anatamani kukupigia simu kukwambia changamoto za nyumbani lakini ana hofu atakutia tu unyonge maana huna msaada.
MAMA anatamani kuchangia mjadala na wenzie kuhusu mafanikio ya watoto wao ila moyo unakuwa mpweke.
Tuna madeni mengi ila hili ndio DENI KUBWA, Tulilipe Kesho💪
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
#TajiriLaKihaya
Hizi Tweets huwa wanaandika ile Gender Nyingine…
Tumefikaje huku kama Taifa??
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Hivi kwanini jeans mda ukitaka kufua unaliona safi, lakini ukitaka kuvaa linakua chafu tena🙌
Unaweza kuwa na akili sana.
Unaweza kuwa na degree.
Unaweza kuwa na idea nzuri.
Unaweza kuwa na potential kubwa.
Lakini dunia inalipia output.
Unajua kufanya nini?
Umefanya nini?
Umetatua tatizo gani?
Umeleta matokeo gani?
Usitumie miaka mingi ukijielezea potential yako.
Ionyeshe kwa kazi.
#ElimikaWikiendi
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
MATENDO YA UCHUNGU (Ijumaa)
1. Yesu anatokwa jasho la damu kwa ajili yetu
2. Yesu anapigwa mijeledi kwa ajili yetu
3. Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu
4. Yesu anachukua msalaba kwa ajili yetu
5. Yesu anakufa msalabani Kwa ajili yetu
Moyo Mtakatifu wa Yesu, utuhurumie🙏
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Dini ni IMANI unayokuwa nayo na siyo jengo
Dini haiponyi ila IMANI yako
Kwenye Biblia Takatifu agano jipya neno "IMANI YAKO IMEKUPONYA" limerudiwa mara 12
Tunasali kwasababu ya IMANI tuliyonayo
Faith Cures✊OKTOBA ni mwezi wa Rozari takatifu, Sali Kwa IMANI weka NIA utapona🙏
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
Baba zetu walikuwa wanalipa zao ada freshh ila mambo ya upo shule gani na level gani sio shida zao kbsa vichwa vina mambo mengi ,Mungu azidi kuwaweka wazazi wetu bila kujitoa kwao sidhani kama tungekuwa hapa tulipo❤️
Imagine, MUNGU anawachoma moto watu na mali zao kwenye miji ya sodoma na gomora kwa sababu ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Kosa lilelile nchi za ulaya wanakuja kulirudia miaka ya 1980s na leo ni dunia nzima tunafanya hivyo!
Je? Tumejipangaje na hasira ya Mungu?
Good morning everyone 🖐 😊
INCHARGE MANYOTA‼️ retweeted
96 Days Until January 1st 2027
If you continue to wait for the right time, you'll waste your entire life and nothing will happen....























