Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa 30+, ninaishi mchikichini au karume, asubuhi mihogo nanunulia kariakoo, mchana maharage na unga nanunua kariakoo,
Kinachoniuma nina maisha magumu sana,
Alafu kuna watu wanatokea kigoma, Moshi,wanakuja kariakoo bila mitaji na wanatoboa,
Kwanini mm