My Name (@Kilain7) profile picture

peace

Miami, FL
Joined October 2019
Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)Photo by My Name (@Kilain7)
BIG YES 👍🏾 Hawa ndio viongozi wa Dini Tunao Wahitaji! 🔥🔥🙌🏾
21
152
1
534
8,304
My Name retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii, Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
25
173
5
795
31,097
Samia anacheza na akili zetu.Utapeli wa kisiasa na uongouongo zama hizi ushaisha.
1
36
126
5,889
1
109
390
10,031
Kuna muda natamani kuandika WOSIA lakini kuna sauti inaniambia NITAISHI nitaiona Tanzania Mpya. Kuna muda Naogopa, lakini kuna sauti inaniambia NILIKUFA KATAVI kwasasa hakuna mtu wa KUNIUA. Sauti inayosema na mm kwenye hizi nyakati naamini ni MUNGU wangu wa KATAVI @Sativa255
1
27
143
4,891
HEBU MSIKILIZE MASUOD KIPANYA😭🙌🏾
5
45
1
230
14,505
Watu wa CCM tukisema tuungane kumtoa Samia na kundi lake mnatuona wachochezi haya sikia hii. Yaani kumbe hata Ndejembi kapewa cheo lakini yipo chini ya Ulinzi kama vile ilivyokuwa kwa Nhimbi. Yaani imefikawanaotaka vyeo lazima eahini watoe. Tusikubali wahuni
4
21
1
161
11,675
My Name retweeted
House Negro (ccm) wanafurahia mabaki ya majambazi wanaoteketeza Nchi.
14
161
6
652
14,877
HAWA WAHUNI WANALIPWA NA KUWEZESHWA KUFANYA UCHAFU HUU! Kwa nini tunaendelea kuzunguka bila kuchukua hatua ya msingi? Kwa nini tusianzishe Tume Huru ya Uchunguzi au kuruhusu Wachunguzi Huru kuchunguza ukweli wa mambo? Wanaogopa nini? Kuna kitu gani wanachohofia kisichojulikana? Kama kweli hatuna kosa la kuficha, kwa nini tukimbilie MARIDHIANO yasiyo na UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI? Ukweli haupaswi kuogopwa, na uwajibikaji haupaswi kukwepwa. Mimi si mgeni katika nchi hii. Ninafahamu kinachoendelea. Ninafahamu kwamba kuna watu wanaolipwa kwa kazi maalumu ya kutuchafua, kuwaharibia wengine majina na hata kuwezeshwa kutafuta roho zetu. Haya si mambo yanayopaswa kupuuzwa wala kufunikwa kwa kauli za maridhiano. Tunachodai ni rahisi TUME HURU, YA KUAMINIKA NA ISIYO NA UPENDELEO.Tume itakayochunguza, kubaini ukweli na kuweka msingi wa haki na uwajibikaji. Hakuna maridhiano ya kweli bila ukweli. Hakuna amani ya kudumu bila haki. Na hakuna taifa linaloweza kupona kwa kuficha maovu na kukwepa uwajibikaji. ENGLISH VERSION THESE RUFFIANS ARE BEING PAID AND FACILITATED TO CARRY OUT THIS DIRTY WORK!** Why do we keep going round in circles instead of taking the most fundamental step? Why don't we establish an Independent Commission of Inquiry or allow independent investigators to investigate and establish the truth? What are they afraid of? What is it that they do not want uncovered? If we genuinely have nothing to hide, why should we rush into RECONCILIATION without TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY? Truth should never be feared, and accountability should never be evaded. I am no stranger to this country. I know what is happening. I am aware that there are individuals allegedly being paid to smear our names, damage the reputations of others, and even facilitate efforts to threaten our lives. These are serious matters that must not be ignored, trivialised or concealed behind the rhetoric of reconciliation. Our demand is simple AN INDEPENDENT, CREDIBLE AND IMPARTIAL COMMISSION OF INQUIRY.  A commission mandated to investigate, establish the truth and lay the foundation for justice and accountability. There can be no genuine reconciliation without truth. There can be no lasting peace without justice. And no nation can heal by concealing wrongdoing and evading accountability. TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY WILL HEAL THE NATION. BAK MWABUKUSI
39
121
4
397
23,646
Kama wewe ulipigwa risasi Oktoba 29, 2025 bado unajeraha na unahitaji kutibiwa please! please!.. usiende kutibiwa kwenye Hospital yoyote ya Serikali maana Nduli Idd Amin Mama ameanza kuuwa mashahidi.💔
14
161
2
1,187
32,276
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
25
191
7
773
39,320
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete…… Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
28
241
6
1,203
53,817
Yaaaaa Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Eliminen el contenido pornográfico en X Y estas son las verdades: ↓
1,961
2,214
72
12,566
15,786,682
Tutashinda!
11
138
3
790
17,414
My Name retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
38
680
4
2,860
89,336
THE BLEEDING HASN’T STOPPED… Matunda ya Serikali Haramu bado yanaendelea kushamiri, inflicting pain on the unhealed wounds. A deffered dream, and a robbed future! Rest In Peace Angel! 💔🕊️
6
83
580
8,906
Niliwaambia nitawapa PLAN B ya wauwaji…….. Kesho saa 2 kamili asubuhi muda wa TZ video itakuwa
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
8
88
568
44,924
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hizi…… Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hizi…..
17
194
4
870
30,608
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿 Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka. Januari 2026: 💵 $1 = TSh 2,470 💰 Milioni 24 = $9,717 Novemba 2026: 💵 $1 = TSh 2,654 💰 Milioni 24 = $9,043 Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)! Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua. Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇 - 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE - 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali - 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD - 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS - 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
59
317
16
1,555
51,610
🇹🇿💔🥲
1
69
3
343
3,321