Pinned Tweet
Replying to @McinikaWaLamar
>Hakikisha una Pasport, nyumbani hapatoshi.
>Popote ulipo hakikisha unasaport HAKI na ukweli.
>Sema ukweli
>Zingatia muda (appointment)
>Kuwa simple, simplicity is key
2
2
253
My Name retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii,
Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
My Name retweeted
Kuna muda natamani kuandika WOSIA lakini kuna sauti inaniambia NITAISHI nitaiona Tanzania Mpya. Kuna muda Naogopa, lakini kuna sauti inaniambia NILIKUFA KATAVI kwasasa hakuna mtu wa KUNIUA. Sauti inayosema na mm kwenye hizi nyakati naamini ni MUNGU wangu wa KATAVI @Sativa255
My Name retweeted
Watu wa CCM tukisema tuungane kumtoa Samia na kundi lake mnatuona wachochezi haya sikia hii. Yaani kumbe hata Ndejembi kapewa cheo lakini yipo chini ya Ulinzi kama vile ilivyokuwa kwa Nhimbi. Yaani imefikawanaotaka vyeo lazima eahini watoe. Tusikubali wahuni
My Name retweeted
HAWA WAHUNI WANALIPWA NA KUWEZESHWA KUFANYA UCHAFU HUU!
Kwa nini tunaendelea kuzunguka bila kuchukua hatua ya msingi? Kwa nini tusianzishe Tume Huru ya Uchunguzi au kuruhusu Wachunguzi Huru kuchunguza ukweli wa mambo? Wanaogopa nini? Kuna kitu gani wanachohofia kisichojulikana?
Kama kweli hatuna kosa la kuficha, kwa nini tukimbilie MARIDHIANO yasiyo na UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI? Ukweli haupaswi kuogopwa, na uwajibikaji haupaswi kukwepwa.
Mimi si mgeni katika nchi hii. Ninafahamu kinachoendelea. Ninafahamu kwamba kuna watu wanaolipwa kwa kazi maalumu ya kutuchafua, kuwaharibia wengine majina na hata kuwezeshwa kutafuta roho zetu. Haya si mambo yanayopaswa kupuuzwa wala kufunikwa kwa kauli za maridhiano.
Tunachodai ni rahisi TUME HURU, YA KUAMINIKA NA ISIYO NA UPENDELEO.Tume itakayochunguza, kubaini ukweli na kuweka msingi wa haki na uwajibikaji.
Hakuna maridhiano ya kweli bila ukweli. Hakuna amani ya kudumu bila haki. Na hakuna taifa linaloweza kupona kwa kuficha maovu na kukwepa uwajibikaji.
ENGLISH VERSION
THESE RUFFIANS ARE BEING PAID AND FACILITATED TO CARRY OUT THIS DIRTY WORK!**
Why do we keep going round in circles instead of taking the most fundamental step? Why don't we establish an Independent Commission of Inquiry or allow independent investigators to investigate and establish the truth? What are they afraid of? What is it that they do not want uncovered?
If we genuinely have nothing to hide, why should we rush into RECONCILIATION without TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY? Truth should never be feared, and accountability should never be evaded.
I am no stranger to this country. I know what is happening. I am aware that there are individuals allegedly being paid to smear our names, damage the reputations of others, and even facilitate efforts to threaten our lives. These are serious matters that must not be ignored, trivialised or concealed behind the rhetoric of reconciliation.
Our demand is simple AN INDEPENDENT, CREDIBLE AND IMPARTIAL COMMISSION OF INQUIRY. A commission mandated to investigate, establish the truth and lay the foundation for justice and accountability.
There can be no genuine reconciliation without truth. There can be no lasting peace without justice. And no nation can heal by concealing wrongdoing and evading accountability.
TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY WILL HEAL THE NATION.
BAK MWABUKUSI
My Name retweeted
Kama wewe ulipigwa risasi Oktoba 29, 2025 bado unajeraha na unahitaji kutibiwa please! please!.. usiende kutibiwa kwenye Hospital yoyote ya Serikali maana Nduli Idd Amin Mama ameanza kuuwa mashahidi.💔
My Name retweeted
Hakuna wa kuja kutuokoa
Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote!
Si Marekani, EU, nchi yoyote
Si UN, ICC ama shirika yoyote
You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma
Ndo ukweli mchungu
#TutaelewanaTu
My Name retweeted
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete……
Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
My Name retweeted
Yaaaaa
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Eliminen el contenido pornográfico en X
Y estas son las verdades: ↓
My Name retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
My Name retweeted
THE BLEEDING HASN’T STOPPED…
Matunda ya Serikali Haramu bado yanaendelea kushamiri, inflicting pain on the unhealed wounds.
A deffered dream, and a robbed future!
Rest In Peace Angel! 💔🕊️
My Name retweeted
Niliwaambia nitawapa PLAN B ya wauwaji……..
Kesho saa 2 kamili asubuhi muda wa TZ video itakuwa
My Name retweeted
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hizi……
Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hizi…..
My Name retweeted
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
💵 $1 = TSh 2,470
💰 Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
💵 $1 = TSh 2,654
💰 Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇
- 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE
- 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.



















