Pinned Tweet
📅 #SaveTheDate: March 16 at 9AM ET
📌 #CSW66 side event: "Securing Women’s & Girls’ #LandRights for a Climate Just & Economically Sustainable Future."
🎟️ https://xitter.cf/t.co/MiBeujER9Q
@IFAD @landcoalition @UN_CSW @Landesa_Global @UNEP @UNFCCC @CGIAR @igadsecretariat
@CIFOR
@ICRAF
Taasisi ya mabalozi wa sauti ya wapinga rusha
▪︎ Kuimarika kwa jumuiya za wapinga rushwa
▪︎ Kuongeza udadi ya wanachama
▪︎ Kupata elimu na kutuongezea uwezo
▪︎ Kushiriki marathon na kujijenga kiakili
#SepeshaRushwa
Tumekuwa tukitumia michezo kufikisha taarifa ndani ya jamii ambapo tumeshafanya mashindano ya #SepeshaRushwa mkoa wa Dodoma na tunatarajia mikoa mingine
@ACVTanzania
Kampeni ya badili tabia #SepeshaRushwa ilizunduliwa mwaka 2022 katika mikoa 3 ambayo ni Dar es salaam, Dodoma na Arusha
@ACVTanzania
Mdhahalo wa kitaifa "Jukumu la vijana katika kuzia rushwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa"
Suma Oscar Lungu kutoka taasisi ya mabalozi wa kupinga rushwa
#SepeshaRushwa
Maandamano ya amani ya badili tabia #SepeshaRushwa yataongozwa na jeshi la Polisi
Wazungumzaji wakuu katika mdahalo wa maadhimisho ya miaka miwili ya #SepeshaRushwa
@ACVTanzania
Leo katika maadhimisho ya miaka miwili ya #SepeshaRushwa Baadhi ya Shughuli za kilele cha maadhimisho ni;
1. Maandamano ya amani jijini Dar es salaam
2. Ripoti ya miaka 2
3. Mdahalo
4. Kutoa vyeti kwa mabalozi wetu
#SepeshaRushwa
Mafanikio mengine ya @TAMWA_
Ushirikiano na mashirika mengine katika kuimarisha nguvu za utetezi na kupambania haki za kibinadamu
Mashirika hayo @tgnptz @WiLDAFTz @humanrightstz @WLACTanzania @TawlaTZ na mengine mengi
Mafanikio ya @TAMWA_
Kuwajengea uwezo wanahabari
▪︎ Mafunzo ya kuelisha jamii kuachana na masuala ya Ukatili wa Kijinsia
▪︎ Kuhamasisha kuweka sera ya jinsia ndani ya vyombo vya habari
#Miaka36Tamwa #WanawakeNiViongozi
"Katika Kilele cha #Miaka36Tamwa @Tamwa_ inatarajia kutoa tuzo kwa mwanahabari aliyefanya vizuri katika masuala ya afya ya uzazi na tutatoa zawadi maalum kwa kutambua na kuthamini mchango wa waasisi wa Tamwa 13" Rose Reuben
Maono ya @TAMWA_ ni "Kuwa na jamii ya kitanzania iliyo na amani na inayo heshimu haki za binadamu kuwa mtazamo wa kijinsia"
#Miaka36Tamwa
Umul kheir Kassim atakuwepo kesho kutwa katika miaka 36 ya @TAMWA_
#Miaka36TAMWA #TAMWAat36 #TwendePamojaTAMWA #ZuiaUkatili #VunjaUkimya #WanawakeNiViongozi
Zimebaki siku 2 tukutane pale JNICC #TAMWAat36 #TwendePamojaTAMWA #ZuiaUkatili #VunjaUkimya #WanawakeNiViongozi
Ungana na ROSE KALEMERA Muasisi #TAMWA kufahamu mambo matatu ambayo @TAMWA_ tufanikiwa kwa muda mfupi ndani ya Maadhimisho ya #Miaka36TAMWA.
#TwendePamojaTAMWA #ZuiaUkatili #VunjaUkimya #WanawakeNiViongozi
@WomenFund_TZ @femnetvoice
Ni siku 4 pekee zimebaki kufikia maadhimisho ya #Miaka36TAMWA yatakayofanyika pale JNICC. #TAMWAat36 #TwendePamojaTAMWA #ZuiaUkatili #VunjaUkimya #WanawakeNiViongozi
@WomenFund_TZ @NMBTanzania
Furaha ya Muasisi wa @TAMWA_ PILI MTAMBALIKE kuelekea kilele cha #Miaka36TAMWA Nikuona waandishi hasa vijana wanaendeleza mapambano ya kupigania haki za wanawake na watoto.
#TAMWAat36 #TwendePamojaTAMWA #ZuiaUkatili #VunjaUkimya #WanawakeNiViongozi

























