WLAC (@WLACTanzania) header
WLAC (@WLACTanzania) profile picture

The Women's Legal Aid Centre stands in solidarity with Tanzanian women & children by providing legal aid services & a wide-ranging mix of public programming.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2013
Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)Photo by WLAC (@WLACTanzania)
Tunathamini mchango wa Wanawake na Wasichana katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu. appy International Women's Day.
1
29
Tunampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Queen Cuthbert Sendiga kwa kusimamia haki ya Mama aliyepokonywa vitu usiku kisa wizi wa mumewe na kuamuru arudishiwe vitu vyake. Haki za Wanawake ni Haki za Binadamu. @queen_sendiga
1
3
314
Siku 16 za uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
1
30
Kuelekea uchaguzi wa Serikali ya Mtaa, tarehe 27 Novemba 2024
2
44
Miaka 35 ya huduma kwa jamii
1
2
203
Miaka 35 ya kutoa huduma kwa jamii
2
20
Ulinzi kwa Watoto, sote tunajukumu la kuwalinda Watoto watimize ndoto zao.
2
3
61
Haki kwa Binti.
1
3
67
Tunashiriki wiki ya sheria wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera. Mwanasheria Felicia Isimula akitoa msaada wa sheria # Msaada wa sheria ni Haki ya Binadamu # Wiki ya sheria 2024 @Sheria_Katiba
56
Tumeshiriki Mkutano wa Kitaifa wa wadau utekelezaji wa uboreshaji wa Usalama wa Milki za Ardhi uliofanyika Dodoma. Kauli Mbiu: Usawa wa Kijinsia katika umiliki wa ardhi kwa ustawi wa Jamii. @wizara_ya_ardhi @ofisi_ya_rais_tamisemi
2
72
Amplifying Women's Voices is a key towards addressing gender equality #16DaysOfActivism #EndViolenceagainstwomen
2
54
WLAC imetoa mafunzo ya sheria ya ndoa na mirathi katika kongamano la wajane lililoandaliwa na kanisa la Elim New Covenant Church Tanzania. "Thamani ya Mwanamke mjane katika ngazi ya jamii na taifa"
1
40
WLAC imeshiriki katika mazungumzo na waandishi wa habari kupitia Mtandao wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) chini ya uratibu wa @wildaf na @maendeleoyajamiitz katika mazungumzo na waandishi wa habari kuhusu siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia.
2
37
WLAC participated on PSEA Network Meeting held on the 31st October 2023 with the Under Secretary-General Saunders. @unwomen @unfpatanzania @wildaftz @sematanzania
1
53
WLAC received Ockenden International award on our dedication and innovation in advancing refugee rights in Tanzania.
1
4
73
WLAC imetoa elimu ya Haki ya Mwanamke kumili, kutumia na kunufaika na Ardhi katika kijiji cha KISHURO kata ya NGENGE-MULEBA @stand4herlandtz #lindaardhiyamwanamke #ardhinimali
1
2
56
Kuandika Wosia ni muhimu kwa sababu hupunguza migogoro miongoni mwa warithi na familia kwa ujumla. #zuiaukatilikwawajanenawatotowakike #tusiwadhulumuwajane
1
1
257
Elimika kisheria kupitia machapisho. Fahamu masuala ya kisheria kupitia vitabu ambavyo vimeandikwa kwa lugha nyepesi na kuweza kuongeza uelewa wa masuala ya Kisheria.
1
39
Sheria ya ardhi imebainisha haki sawa kwa mwanamke na mwanaume kumiliki ardhi. Changamoto inayozikabili jamii nyingi ni mfumo kandamizi unaowanyima fursa wanawake kumiliki na kunufaika na ardhi. Ardhi ni Mali kwa pamoja tujenge jamii inayolinda haki za umiliki wa ardhi.
1
1
63