Arpayan Lesirit retweeted
AMUA INALETA USASA | MO PLUS NA STOPPA WAELEZEA MAISHA YA X PLASTAZ youtu.be/Ny4Rjw_rvIo?si=F7B2… via @YouTube
#AMUA inaleta USASA 🔥🔥
@Paxkweli @Jerruman @FridaAmani @ArushaAllday @HipHopDNA_TZ @A2HHTheGame
Arpayan Lesirit retweeted
Replying to @RealLoisMo @Jerruman
Singeli imezaliwa kutoka kwenye utamaduni wa mswahili na Ina misingi yake, that's why waimba singeli almost wote tabia zao zinafanana sababu Kuna utamaduni ambao unawaunganisha! Kusema hip hop ni utamaduni ila singeli sio utamaduni ni upotoshaji!
Arpayan Lesirit retweeted
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Ndugu Juma Hokororo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Wakala wa Misitu Tanzania wamepanda miti ya Matunda na dawa pamoja na kutoa zawadi mbalimbali za sikukuu Eneo la Mang'ola Karatu.
Arpayan Lesirit retweeted
Habari!! Nakuja tena kwenu.
Asanteni sana kwa muitikio wenu mkubwa kuhusu wazo langu la jana la kufanya #Fundraising kwa Msanii Nay wa Mitego.
@naythetrueboy
Naomba tumchangie chochote kile iwe kama ishara ya kum-support, kumfuta jasho, na zaidi kumtia moyo kwa kazi kubwa na ya ujasiri anayoifanya, ya kupaza sauti zetu, kutetea haki zetu, kuongelea changamoto zetu kupitia sanaa na muziki wake!!
Nay anayafanya haya katika
kipindi ambacho wasanii wengi wako kimya kuyasema matatizo yanayoikumba jamii yetu.
Basi tusimvunje moyo, tumuonyeshe kuwa tunatambua mchango wake huu mkubwa, na hii itampa nguvu zaidi aendelee kutusemea wananchi.
Tunashukuru kwa kustream muziki wake kwenye digital platforms, tunashukuru kwa kwenda kwenye show zake, tunatambua hali zenu kiuchumi zilivyo, Lakini kwa kidogo utakachojaaliwa kitume
kwa kijana huyu na Mungu atakubariki sana.
Utaratibu wa kutuma fedha nimekuwekea hapo juu kwenye poster, nambari za simu, majina na akaunti ya bank
(TCB - Tanzania Commercial Bank)
Hakikisha jina linasoma Emanuel Elibariki. na ndio jina halisi la kijana wetu Nay wa Mitego @naythetrueboy na atapokea moja kwa moja ulichomtumia.
Twendeni tukaionyeshe nguvu ya uma ilivyo kubwa.
Na kwa kufanya hivi tutafikisha ujumbe kuwa tumechoka na hatupendi wala hatubariki mabaya na machafu yanayoendelea kwenye ardhi yetu.
Share uwezavyo ujumbe huu ufike mbali!!
Lets go brothers & sisters ♥️🙏
Arpayan Lesirit retweeted
ALERT 🚨 🚨🚨
Anaitwa Jackline ameokotwa Kinyanambo C Mafinga MJINI kwenye pori dogo ameuwawa na Wasiojulikana na kutupwa .
# Justice 4 Jackline
# MASAUNI MUSTRESIGN.
# MASAUNIMUSTGO
Arpayan Lesirit retweeted
Waziri wa Elimu wa Jamhuri ya watu wa Stanza anamtafuta huyu kijana popote alipo.
Asanteni.
Alpha W.
Arpayan Lesirit retweeted
NIDHAMU NA UKAKAMAVU
..
#SautiYaVijana
#MtotoWaMkweziNaMkulima
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani – at Dar es Salaam, Tanzania
Arpayan Lesirit retweeted
Kama huna silaha ya moto, jitahidi kutembea na silaha ya jadi. Panga, jambia au kisu kikubwa. Kwa kuwa wanasema siyo polisi wanateka watu, basi tukubaliane nao ni wahuni na maharamia wanateka watu. Hivyo, tupambane nao kama wahalifu wengine tu. Usikubali kukamatwa na wahuni.
Arpayan Lesirit retweeted
Katika Mazingira ambayo Bunge haliwezi kulinda au kujali Maisha ya Raia! Mahakama isiyoweza kulinda Raia basi ni jukumu la Raia kujilinda!!! Tutajilinda na tutalinda familia zetu, ndugu na marafiki!! Hatuwezi kuruhusu uhai wetu kuchezewa na wajinga!!! #FreeSokanaWenzake
Arpayan Lesirit retweeted
Haki itashinda
#FreeSoka
Arpayan Lesirit retweeted
My favorite pieces today.
1. Hata hafai kutitwa Mama Abdul. Hiyo sifa ineondolewa Kwa ukatili
Kabudi anataka mkono wa amani kwa watu wasiokuwa na paracetamol Kwa miaka 4. Akaambulia patupu
Arpayan Lesirit retweeted
Ebana eeeeh!!! Look Sikito
#LookSikito nimeielewa hii
Arpayan Lesirit retweeted
🚨BRUTAL POLICE ASSAULT‼️🚨
Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe and John Mnyika @jjmnyika were so severely beaten by police that they are now receiving medical treatment
That is why @usembassytz your statement is outrageous!
@USAmbTanzania you were busy calling Sugu “a friend” pay him a visit and let him tell you what “reforms”he saw Sunday night at the hands of the police
@StateDRL @AsstSecStateAF please make sure your staff in #Tanzania give statements that reflect reality and not sound like some authoritarian regime sympathizers!
Thank you!
Arpayan Lesirit retweeted
Kwanza ni JASON sio Janson.. kuweni makini.
Pili, kulikuwa hamna haja ya kudiss the feature. Watu hawafanyi Collabo just because fulani is the trending artist. Jason ana mashabiki wake wanaomsikiliza na pengine baadhi hawakuwa mashabiki wa Diamond; and vice versa is true.
Narudia tena, turudi kwenye kufurahia muziki mzuri. Kwenye collabo it is about chemistry & delivery, sio kuhusu jina wala umaarufu. Je Wamefanya? Wametisha? basi
Na kuna watu wengine wana dreams za kufanya kazi na watu fulani, bila kujalisha kama wanawika sasa au la… Mimi Binafsi nina ndoto za kuimba na Coumba Gawlo, Grace Nakimera, Priddly Ugly, Joss Stone, Enika, Bez, Elzhi na Boj; nina uhakika hata hamuwajui, na hakika i will go for them before I go for your favorite stars kama chance ikitokea.
So bwana Almando, toa maoni kama wimbo mzuri au mbaya, mengine achana nayo. Mtu ana over 30 million spotify listeners unasema hana impact? smh
Arpayan Lesirit retweeted
Ni siku nyingine ya kuendelea kukumbushana kwamba sisi ni familia. 🙏🏿
#WhereIsSativa ?
Arpayan Lesirit retweeted
Katika hatua za sasa, tumeanz na hili la kutoa taarifa polisi za kutoweka(shwa) kwa ndugu yetu @Sativa255 na hatua ambayo itafuata ni kwenda mahakamani kufungua habeas corpus (tukithibitisha kama Edgar Mwakabela, anashikiliwa na polisi). Mawakili wetu wapo tayari #WhereIsSativa
Arpayan Lesirit retweeted
Kachero mmoja (Y) akanikejeli.
Y: ‘una followers wangapi Twitter?’
Mimi: nikastaajabu kiasi, nikasema: ‘kama elfu 60 sitini hivi.’
Y: ‘s wako wapi wakusaidie, si ndio walikupa kichwa?’
Hrs later, Y: ‘shukuru kelele za mtandaoni.’
Spread AWARENESS. Uliza: #WhereIsSativa?






























