Pinned Tweet
MUNGU
Katuumba kwa udongo
katutofautishia visogo
Katujazia na ubongo
Tuweze kabili michongo
Namsifu sio kitoto
Nakolezea na hustle
Sina woga ata kidogo
God got my back bro
1
@WSA_Tanzania
#poetrycommunity
Hivi Duli aliposema anapenya kote kote kama bombadia aliifananisha na toyo au ni kweli inapenya!!!?
10
"He who opens and no one shuts; and shuts and no one opens" had declered: "See, I have set before you an open door,and no one can shut it" Revelation 3:7-8. .
1
17
Kuna namna nimemsikia Warioba akiongelea hii extension.
youtu.be/bWtyw4-FrjM?si=85f0…
37
Arpayan Lesirit retweeted
AMUA INALETA USASA | MO PLUS NA STOPPA WAELEZEA MAISHA YA X PLASTAZ youtu.be/Ny4Rjw_rvIo?si=F7B2… via @YouTube
#AMUA inaleta USASA 🔥🔥
@Paxkweli @Jerruman @FridaAmani @ArushaAllday @HipHopDNA_TZ @A2HHTheGame
Arpayan Lesirit retweeted
Replying to @RealLoisMo @Jerruman
Singeli imezaliwa kutoka kwenye utamaduni wa mswahili na Ina misingi yake, that's why waimba singeli almost wote tabia zao zinafanana sababu Kuna utamaduni ambao unawaunganisha! Kusema hip hop ni utamaduni ila singeli sio utamaduni ni upotoshaji!
Wazee wa singeli wangezingatia misingi wangekua real Hip Hop. Wengi wapo real, wana punches na rap nzuri kuliko wengi wanaojiita hiphop.
Arpayan Lesirit retweeted
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Ndugu Juma Hokororo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na Wakala wa Misitu Tanzania wamepanda miti ya Matunda na dawa pamoja na kutoa zawadi mbalimbali za sikukuu Eneo la Mang'ola Karatu.
Moshi hadi pangani nikisikiliza
Salama ya Vitali Maembe youtu.be/ae3SGCIlCqg?si=X5K4… na bado aiboi








