Mhubiri asema
"Ujapokuwa unaona maskini kuonewa, na hukumu na haki kuondolewa kwa jeuri katika jimbo,usilistaajabie jambo hilo; kwa sababu aliye juu kuliko walio juu huangalia, tena wako walio juu kupita hao. Lakini, pamoja na hayo, manufaa ya nchi kwa kila njia ni..."
4
238
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Ready to kickstart your week with some #MondayMotivation?
We spoke with Mary Otacho, our HR Business Partner for Projects, about how she brings her A-game to work and inspires others to do the same.
Her insights are not to be missed.
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Siasa za Kiinimacho na Fikra za Walalahoi.
Kitendo tu cha Makamu wa Rais kufikia hatua hii kinatosha kabisa kukupa picha halisi ya uozo tulionao.
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Kesi ilipangwa kuanza SAA MBILI KAMILI. Kesi tayari IMEITWA, jamaa HAWAPO. Mahakama inaendelea KUWASUBIRI.ππ
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Thamani ya maisha yako haipimwi kwa maua yatakayowekwa kaburini, bali kwa hisia za watu utakapoondoka, ikiwa watalia kwa maumivu au kushangilia kwa furaha. Upendo, unyenyekevu na huruma ktk maisha ni msingi bora ktk maisha. Hapa Duniani hakuna makazi ya mtu yoyote, ni mbwembwe tu bila ufahamu sahihi. Kugundua hill sio elimu bali ni neema.
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
kwa nini sheria zinafanya kazi punde tu baada ya mwananchi kuonekana anahujumu miundombinu ya umma, lakini sheria hizo hizo hazifanyi kazi pale mabilioni ya fedha yanaporipotiwa βkupoteaβ serikalini?
π₯: @adaboe_12:
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Give your knots to Mary Our Mother, who never refuses to come to the aid of her children in need. ποΈ
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
"Nimewahi kwenda Nairobi nikapata kukutana na mmoja wa madaktari waliokuwa wanamtibu Mhe. @TunduALissu aliwahi kuniambia Lissu alifika Nairobi akiwa ameishiwa damu kabisa akawa anaishi kwa kutegemea puvu la damu." Mhe. Dickson Matata, Mwenyekiti Kanda ya Magharibi.
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Kumbuka; "Una mamlaka juu ya akili yako, si matukio ya nje."
Marcus Aurelius
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
"Hii kauli ya Chacha ni kauli nzuri sana kwa nchi yetu, ni kauli ambayo itatupelekea kubadilisha nchii hii mara moja ikae kwenye mstari unaotakiwa, sisi Chadema hatutaki vyombo vya dola vya Chadema, tunahitaji vyombo vya dola vinavyolinda watanzania wote."
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
Unasababishia mamilioni ya watu mateso huku ukitamba halafu mwisho utumbo wako unabebwa kwenye sandarusi.
Asili ina namna nzuri sana ya kupambana na ego.
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
"Sio kifo au maumivu yanayopaswa kuogopwa, bali ni hofu ya maumivu au kifo."
Epictetus
Dr.Eli Isaac (MHAINI) πΉπΏ retweeted
A man who fears being misunderstood will always shrink to fit someone elseβs comfort.




















