NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta) header
NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta) profile picture

Middle East Politics #Die Hard Fan

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2024
Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)Photo by NetaNyahu|🇮🇱 (@EthanNeta)
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Unataka followers na hutaki kujoin CONNECT254 community group?.
80
23
138
5,372
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
20-year-old Thiago Silva moved to FC Porto in 2004. After playing 14 games for Porto B he was loaned to Dynamo Moscow where he was diagnosed with tuberculosis, he was told by doctors that he would never play football. He spent 6 months at the hospital and decided to retire from football but was persuaded to reconsider by his mother.... {thread 🧵}
46
491
24
5,178
2,325,450
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
December 04, 1996, Mwl, J.K Nyerere, aliitupia lawama Serikali ya Zaire (DR Congo) wakati ikiiongozwa na Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga kwamba ndiyo chanzo cha mgogoro ukanda wa maziwa makuu. Mwl, Julius Nyerere aliilaumu serikali ya Zaire (sasa DR Congo) kwa kusababisha mgogoro katika eneo la Maziwa Makuu kwa kutaka kuwafukuza Wanyarwanda ambao wameishi ndani ya eneo hilo kwa karne nyingi. Akizungumza New York, USA mjadala ulioandaliwa na International Peace Academy, alisema kabila la Wanyarwanda, liitwalo 'Banyamulenges', waliishi Mashariki mwa Zaire tangu eneo hilo likiwa sehemu ya Rwanda. "Siku zote wamekuwepo katika eneo hilo kabla ya kugawanywa (na mamlaka ya kikoloni- Ujerumani na Ubelgiji)," Mwl, Nyerere alikuwa akieleza hadhara ya mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wawakilishi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa pamoja na waandishi wa habari. "Hakuna serikali yenye haki ya kuwanyima haki yao ya uraia. Banyamulenge, pamoja na kundi jingine la Wanyarwanda ambao waliajiriwa na Wabelgiji kufanya kazi kwao Zaire miongo mingi kadhaa iliyopita, walikuwa Wazaire." alisema na kufafanua Mwl. Nyerere. "Hawawezi kurudi Rwanda... hawajui mababu zao walitoka wapi, huko Rwanda wanakwenda kuwa wakimbizi tu. Hawana ardhi huko, hao wamezaliwa Zaire." Mwl, J.K. Nyerere alisema na kuongeza: "Zaire ni nchi kubwa, inaweza kuendelea kuwahifadhi kama watu wake." "Ni sawa na mimi ningewafukuza Maasai wanaoishi Tanzania niwaeleze waende Kenya. Huko siyo kwao. Hawana makazi, ndugu au kipande cha ardhi hata kama wanapakana na kufanana tabia na Maasai wa Kenya." Sikiliza, unaweza kupata kitu cha kuanzia katika kuelewa mgogoro wa kivita unaoendelea Mashariki ya DR Congo. Video credits; The Pan African News Agency (PANA).
45
343
11
1,201
110,668
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Don’t forget to retweet that TWEET !! Remember ??
50
349
5
2,233
101,974
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Tanzanian giants Simba SC are through to the quarterfinals with one more game to go. 🇹🇿🦁 The 1-1 draw in Angola today confirms it. With 10 points from 5 games, it’s enough to take them through. Congrats to all Simba fans. Well deserved. 👏 #cafccwithmicky #nguvumoja #totalenergiescafcc
66
191
4
2,963
47,232
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Maswali.
64
16
1
194
11,007
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Hakuna asiekumbuka kilichotokea baada ya Simba kuongezewa dakika 7, mechi dhidi ya Cs Sfaxien. Waarabu baada ya kupigwa kidude kimoko na Kibu Mkandaji, mechi imeisha wakafanya sana vurugu; Mixer kuvunja viti na kutaka kumpasua refa. CAF wakasema aaaah nyie msitutanie? Hamna uhuru kiasi hicho. The good news ni kwamba, waarabu Cs Sfaxien wamepewa adhabu mbili kwa mpigo. Moja; Mechi zao mbili zifuatazo wakiwa nyumbani kwako; Cs Sfaxien vs Simba, na Cs Sfaxien vs Bravos zitachezwa bila mashabiki. Mbili; Adhabu ya kulipa milioni 119 [ USD 50,000]. Kichapo walichezea, na adhabu wamepata, hasira zao wakamalizie uwanjani sasa. Ama namna gani?
152
75
9
1,782
137,871
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Umeelewa?
116
22
8
363
34,141
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Kesho, raia wa Marekani watashiriki katika zoezi rasmi la kupiga kura kumchagua rais wa 47 wa taifa lao. Nimejitahidi kuweka kwa Kiswahili japo kuna technical terms ambazo hazina tafsiri za moja kaa moja kwenye lugha yetu. 1/9 🇺🇸 Uchaguzi wa Rais wa Marekani unafanyaje kazi? Hebu tufafanue hatua kwa hatua kwa urahisi! #UchaguziMarekani Uchaguzi wa rais wa Marekani unafanyika kila miaka minne Jumanne ya kwanza ya Novemba. Wapiga kura kutoka majimbo 50 pamoja na Washington D.C. wanapiga kura zao kuchagua rais, lakini siyo kura ya moja kwa moja.
48
187
8
1,671
260,784
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Genius-level trolling!!
BREAKING: Donald Trump is riding in a garbage truck less than 24 hours after Joe Biden called his supporters “garbage”
17,894
101,354
4,093
822,506
95,727,687
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
EXPOSING the 2024 Ballon d'Or and how it was rigged for Rodri to win [Thread]
948
5,485
431
46,655
5,880,926
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Rodri didn't even win the UEFA Men's Player Of The Year, it was Haaland! How can the supposed Ballon d'Or winner not even be the best European player?!?
39
232
13
4,835
337,938
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
In early November last year, UEFA struck a deal with Amaury Group and France Football to organise the 2024 Ballon d'Or Given UEFA's disputes with Florentino Perez over the issue of the Super League, naturally they are not going to prefer Real Madrid players win any award
33
155
10
2,395
373,354
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
In the penalty shootout against Madrid, Rodri was hiding behind his teammates to avoid taking a penalty. Man City ended up getting knocked out. Would the best footballer in the world really be hiding in such a crucial moment??
15
117
9
2,303
186,127
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Impeached DP Rigathi Gachagua has been diagnosed with Takotsubo cardiomyopathy, also known as 'broken heart' syndrome, a condition that weakens the heart's main pumping chamber, the left ventricle
127
729
97
3,087
178,718
MCHONGO WA PESA Kodi fremu eneo lenye msongamano wa watu kwa Tsh 300,000 kwa miezi mitatu. Nunua mzani na friza jumla Tsh 400,000 vyote. Twende Dodoma ndani kabisa, nunua ng'ombe mkubwa wa kilo 300 kwa Tsh 450,000. Credits: Alex Mandax (Mwandishi) Soma Zaidi:👇👇
256
78
12
1,023
140,663
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
Makete Mjini📍 BEFORE (2019) & AFTER (2024)
165
46
21
1,127
97,922
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
This is Tel-Aviv. Heaven on Earth.💙 Would you ever visit?
830
649
60
5,547
118,477
NetaNyahu|🇮🇱 retweeted
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki. Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
160
160
32
3,318
216,376
Currently connecting 🌎 with all active Reposters 🔄
135
107
179
6,696