NetaNyahu|馃嚠馃嚤 (@EthanNeta) header
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 (@EthanNeta) profile picture

Middle East Politics #Die Hard Fan

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2024
UBAYA UBWELA ! TEAM LA TAIFA
81
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
Unataka followers na hutaki kujoin CONNECT254 community group?.
80
23
138
5,372
Wale Mama na Baba Girls,karibuni tuwahudumie kwa kumpendezesha Mwanao!
113
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
20-year-old Thiago Silva moved to FC Porto in 2004. After playing 14 games for Porto B he was loaned to Dynamo Moscow where he was diagnosed with tuberculosis, he was told by doctors that he would never play football. He spent 6 months at the hospital and decided to retire from football but was persuaded to reconsider by his mother.... {thread 馃У}
46
491
24
5,178
2,325,450
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
December 04, 1996, Mwl, J.K Nyerere, aliitupia lawama Serikali ya Zaire (DR Congo) wakati ikiiongozwa na Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga kwamba ndiyo chanzo cha mgogoro ukanda wa maziwa makuu. Mwl, Julius Nyerere aliilaumu serikali ya Zaire (sasa DR Congo) kwa kusababisha mgogoro katika eneo la Maziwa Makuu kwa kutaka kuwafukuza Wanyarwanda ambao wameishi ndani ya eneo hilo kwa karne nyingi. Akizungumza New York, USA mjadala ulioandaliwa na International Peace Academy, alisema kabila la Wanyarwanda, liitwalo 'Banyamulenges', waliishi Mashariki mwa Zaire tangu eneo hilo likiwa sehemu ya Rwanda. "Siku zote wamekuwepo katika eneo hilo kabla ya kugawanywa (na mamlaka ya kikoloni- Ujerumani na Ubelgiji)," Mwl, Nyerere alikuwa akieleza hadhara ya mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wawakilishi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa pamoja na waandishi wa habari. "Hakuna serikali yenye haki ya kuwanyima haki yao ya uraia. Banyamulenge, pamoja na kundi jingine la Wanyarwanda ambao waliajiriwa na Wabelgiji kufanya kazi kwao Zaire miongo mingi kadhaa iliyopita, walikuwa Wazaire." alisema na kufafanua Mwl. Nyerere. "Hawawezi kurudi Rwanda... hawajui mababu zao walitoka wapi, huko Rwanda wanakwenda kuwa wakimbizi tu. Hawana ardhi huko, hao wamezaliwa Zaire." Mwl, J.K. Nyerere alisema na kuongeza: "Zaire ni nchi kubwa, inaweza kuendelea kuwahifadhi kama watu wake." "Ni sawa na mimi ningewafukuza Maasai wanaoishi Tanzania niwaeleze waende Kenya. Huko siyo kwao. Hawana makazi, ndugu au kipande cha ardhi hata kama wanapakana na kufanana tabia na Maasai wa Kenya." Sikiliza, unaweza kupata kitu cha kuanzia katika kuelewa mgogoro wa kivita unaoendelea Mashariki ya DR Congo. Video credits; The Pan African News Agency (PANA).
45
343
11
1,201
110,668
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
Don鈥檛 forget to retweet that TWEET !! Remember ??
50
349
5
2,233
101,974
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
Tanzanian giants Simba SC are through to the quarterfinals with one more game to go. 馃嚬馃嚳馃 The 1-1 draw in Angola today confirms it. With 10 points from 5 games, it鈥檚 enough to take them through. Congrats to all Simba fans. Well deserved. 馃憦 #cafccwithmicky #nguvumoja #totalenergiescafcc
66
191
4
2,963
47,232
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
Maswali.
64
16
1
194
11,007
NetaNyahu|馃嚠馃嚤 retweeted
Hakuna asiekumbuka kilichotokea baada ya Simba kuongezewa dakika 7, mechi dhidi ya Cs Sfaxien. Waarabu baada ya kupigwa kidude kimoko na Kibu Mkandaji, mechi imeisha wakafanya sana vurugu; Mixer kuvunja viti na kutaka kumpasua refa. CAF wakasema aaaah nyie msitutanie? Hamna uhuru kiasi hicho. The good news ni kwamba, waarabu Cs Sfaxien wamepewa adhabu mbili kwa mpigo. Moja; Mechi zao mbili zifuatazo wakiwa nyumbani kwako; Cs Sfaxien vs Simba, na Cs Sfaxien vs Bravos zitachezwa bila mashabiki. Mbili; Adhabu ya kulipa milioni 119 [ USD 50,000]. Kichapo walichezea, na adhabu wamepata, hasira zao wakamalizie uwanjani sasa. Ama namna gani?
152
75
9
1,782
137,871