Don’t take it serious ✍️😂

Joined April 2023
Kuna hii una gombana na mamtu harafu wewe ndio umezingu akikuita hili neno (vipi bro ) Aaaa !! mwanangu jua umezingua kinoma😂💔
1
13
Mkiona vitu Mimi hutext nikikuwa in love hamwezi niheshimu Tena😂🫣
13
Bro,Ulichukua uamzi gani pale besti ako mliekua mna heshimiana vizuri ukaja ukampimisha imani kidogo harafu akaka kunyima?? elewa swali jibu swali 😂😂
15
Nime mwambia na mpenda kaniambia Shukrani!! 😂😳 Kwani ninyi huwa mnasemaje mbaka mna ambiwa nakupenda pia 🙌😁
19
Siku HiziExtra Boyfriend Ndio Mnaita Bestie😂💔
14
*~_Happy Nyerere Day Wajukuuu zako tuna yaishi mema yako 😁_~*
2
5
82
Bro to bro fanya yote ila usijaribu kuingua kwenye 🔞za mwana mke alie jitengenezea life la kishua mwenyewe ni hivyo tuu 😂🤌
1
1
3
53
Binti,Mungu ana kupea husband matilio kanyoka hana kipengele kabisa hakupi stress yeyote katulia 😎 Unakuja kupewa beki tatu msumbufu kama kifungashio!! asubuhi asubuhi utasikia dada me!! nataka kwenda nyumbani bibi ana umwaa sana apo una katoto mwaka moja 😂😂
1
1
41
Muogope Sana Mwanamke Anayekaa Mbele Kwenye Bajaji😂😂
20
Kuambia wengine wa-move on ni rahisi ngoja sasa ifike zamu yako😂😂💔
22
Ukiambiwa"Nakupenda" na mtu unaye Mpenda kuna kale ka feeling flani unaweza meza ata shoka😂❤️🫶
28
Muombe mpenzi wako screenshot ya conversation yenu ya mwezi uliopita.😂👆
15
Tusha mpata 😂
Hali ya hewa ya leo inataka jirani mwenye siri tu😋😋
23
Hii hari ya hewa ya dar inaruhu kabisaa 🌧️🌧️??
18
Kwani washing machine ni bei gani sahivi Haya majeans yata nitia ulemavu wa mikono 😂
21
mwanamke akikwambia "unaonekana umechangamka" anakua amemaanisha nini🤔
23
Usimchunguze sana unayempenda UTAJUTA💔🙌🏿
22
Mwalimu anatunga maswali kwa AI na mwanafunzi ana ya solve kwa kutumia AI Kwa kifupi game ni ngumu…!!!
2
38
Umerudi na masimango shemeji
Nawakumbusha jamani umemtumia au umetumiwa matities na Huyo muharifu wako 🤭hata kama zimelala wee mtumie Tities are medicine 💊
1
91