Rais wa Palestine kazuiliwa
Putin kazuiliwa
Halaf hii comment naona imefanya Sativa aniblock 🤣🤣🤣
Nishakula tofali tayari
Replying to @ChugiSuleiman @Sativa255
Huu ni mkutano, hujamuona hata rais wa Iran na waziri wake wamefika marekan
1
638
Kwenye mambo ya Sheria Hakuna Roho mbaya aisee... Kwa namna hiyo kusingekuwa na Jela,
Mtu akiua, Akiiba au Akibaka hamumfanyii roho mbaya, mnamsamehe tu maisha yanaenda
605
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
Maswali (5) ya kipekee ya kuuliza wakati wa usaili wa kazi:
1. Mnaweza kunieleza zaidi kuhusu majukumu ya kila siku nitakayoshughulika nayo?
- Swali hili litaonyesha shauku ya kujua kuhusu aina ya majukumu utakayoshughulika nayo na kile ambacho kampuni inatarajia kutoka kwako.
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
𝗧𝗥𝗘𝗕𝗟𝗘 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘🏆🏆🏆
𝗠𝗔𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 wa kihistoria kesho tarehe 13.06.2023 tutakuwa na 𝗣𝗔𝗥𝗔𝗗𝗘 ya kusherekea ubingwa na mafanikio yetu msimu huu na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kuanzia saa 03:00 Asubuhi, Karume - Msimbazi na kumalizia Makao Mkuu ya Young Africans SC Jangwani.
#KlabuYaTaifa
#WananchiParade
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
Waombaji wote wa ajira tunawakumbusha kuwa mwisho wa kuomba ajira za Elimu na Afya ni tarehe 25.04.2023. Kwa kutuma maombi ingia kwenye mfumo ajira.tamisemi.go.tz
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
Gonga Retweet 🔁 za kumwaga kama unashabikia @yangasc1935 🔰.
#TwendeTukampigeMtani #SimbaVsYanga #NBCPremierLeague #KariakooDerby
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
Tucheze mchezo, weka picha au video nzuri ya kuchekesha tufurahi kidogo👇
Eng. Suleiman Chugi✋🔧 retweeted
Tukisema UFIPA ni matapeli muwe mnaelewa!.. Chiba anapanuapanua tu mdomo haeleweki kuhusu ruzuku! Nyie mlisema uchaguzi ukikuwa haramu au mmesahau!?
Lakini kweli misimamo ya vyama vya siasa siyo sheria za dini ndiyo maana Lowassa alikuwa mgombea wenu japo mlisema ni fisadi zaidi ya miaka 10
Kwa kifupi Chiba umepoteza kabisa muelekeo na huwezi kuwa mwanasiasa wa kuaminika tena 🤣🤣
xitter.cf/chiefodemba/stat…























