Chiguma retweeted
Replying to @NchimbiRas @ExMayorUbungo
Unakalili hvi unajua pole pole amekaa kiboya kule
Chiguma retweeted
Nyumbu walilalamika baadhi ya wanyama kupelekwa Mbugani ya Burigi-CHATO lakini wakapongeza kitendo cha kifedhuri cha kuuza wanyama nje ya nchi! 😂😂😂 Bibi is something.
Chiguma retweeted
●FAM katoka mahabusu hatua ya kwanza ikulu kumpongeza aliyedai kamuundia kesi.
●Vijana waliopiga kelele jamhuri ikamuachia kwa Nole anasema hawana busara wanawaza kuingia barabarani
●Siku hizi kageuka mwenezi kutwa kumsifia mwenyekiti wa CCM
Chiguma retweeted
#Tanzania's ban on live animal exports is back after one day of outrage - Thank you, Pindi Chana, Minister of Natural Resources🙏!
#WildlifeTrade #ExoticPetTrade #conservation
euronews.com/green/2022/06/0…
Chiguma retweeted
I sought a nominee for the Supreme Court with exceptional credentials, unimpeachable character, and an unwavering dedication to the rule of law. Meet my nominee, Judge Ketanji Brown Jackson.
Chiguma retweeted
MAONI HURU
👉Mnakumbuka mlivyo furahia hukumu ya kesi ya Sabaya na kusifia kuwa mahakama imetenda haki?
👉Namna mlivyomwaga sifa siku ile na leo tunaomba iwe hivyo.
👉Mawakili upande wa serikali wameupiga mwingi.
NB
KITENDAWILI DALILI YA MVUA?
SPACE LEO SANGAPI ?
Chiguma retweeted
Magufuli alikuwa na ndoto kubwa sana, acha apumzike kwa amani tu. Mama yetu anaendeleza yale yaliyoachwa pia. Sasa Tz kama ulaya, Kazi iendelee
Chiguma retweeted
Hoja yangu hapa ni kwanini wakati baba zao wanafanya mambo wanayoyapigania sasa kwanini walikaa kimya mana wote walikuwepo au ilikuwa haki kwa baba zao kudhulumu haki za watu ?
Chiguma retweeted
WhatsApp backups may get limited storage on Google Drive in future
gadgets.ndtv.com/apps/news/w…
Chiguma retweeted
Replying to @Eric__Bernard
Ronaldo vs Chelsea 😂
AGE
Ronaldo 36
Chelsea 115
GOALS
Ronaldo 789
Chelsea 1,654
MAJOR TROPHIES
Ronaldo 34
Chelsea 28
UCL
Ronaldo 5
Chelsea 2
CLUB WORLD CUP
Ronaldo 4
Chelsea 0
Ballon D'or
Ronaldo= 5
Chelsea= glory be to God 😭😂😂😂
Small club indeed
Chiguma retweeted
Replying to @KenRoth @TghatMedia
For tribal reasons, I can understand why you would write this, but I am a 🇬🇧mil veteran married> an Ethiopian, who was nearly caught up in the Bishoftu massacre (2016), under the TPLF. While you enjoy your cappachino in the🇺🇲,the hope of 🇪🇹youth is>Abi hrw.org/report/2017/09/20/fu…
Chiguma retweeted
Miaka 6 ya JPM wala hatukuwahi kupata shida ya Maji wala umeme! Kwanini kafariki ndio shida ndio ianze? Jibu rahisi ni kwamba JPM alijua kila engo yenu wapigaji akadhibiti ndio maana upo radhi umchafue kwa kuwa tu mlibanwa miaka 6 na mnataka mtuaminishe kuwa jpm mbaya! Ila hamwez
Chiguma retweeted
Replying to @Salym
Kikeke sisi ni Man United....Sisi Ni Wananchi...Sisi Tuna watu....Sisi Tuna Ronaldo Cristiano CR7......Acha tu websaiti ikrash tu
Chiguma retweeted
Shukran sana @ElimikaWikiendi kwa fursa ya kuwasilisha, kujifunza na wengine🔑Shukran kwa waloshiriki wote na wote walochukuwa muda like, kushare na wengine🙏
Karibuni kwa walokosa session summary kwenye hii thread kuhusu namna ya kuwa mzungumzaji mzuri mbele ya Umma/Hadhara✍️
Karibuni Jamvini @ElimikaWikiendi
Kuboresha na kuwa mzungumzaji mzuri mbele ya Umma/Hadhara ni vyema kujiandaa, kuwa thabithi, fanya mazoezi na utendaji. (planning, preparation, consistency, practise & performance. #ElimikaWikiendi #PublicSpeaking
Chiguma retweeted
11.) BAADA YA UWASILISHAJI
Omba mrejesho wa kirafiki kutoka kwa hadhira kwa ajili ya kuboresha, aidha kwa barua pepe au dodoso fupi.
Tenga muda wa kujielimisha/ kujifunza kutoka kwa wabobezi kuboresha zaidi.
Fanya mazoezi kila mara kuboresha lugha yako. #ElimikaWikiendi
Chiguma retweeted
8.) VIDOKEZO MUHIMU
Kwa kudumisha ushiriki mzuri kwa hadhira muda wote, vidokezo vinaweza kuwa muongozo mzuri wa kukusaidia kuelezea mada kwa ufasaha bila kutoka nje ya mada husika. #ElimikaWikiendi #PublicSpeaking
Chiguma retweeted
Suffering from back pain?
You're not alone. In fact, studies show that back pain is the single leading cause of disability. It is one of the most common reasons for doctor visits and work absences.
buff.ly/3qtHimh




























