Matt- Stock Options Trader (@MarketMovesMatz) header
Matt- Stock Options Trader (@MarketMovesMatz) profile picture

Teaching people how to trade options Daily fire content making trading simple 9$40k-$200k in 3 months Trade with me 7 Days Free

Corolado,USA
Joined July 2020
Surat Al an'am 17 "Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uweza wa kila kitu"
1
5
Afande Mabeyo hata angepewa ndege ni sawa ni mtu na nusu nyie UFIPA kama mnavimba na mpasuke
Sasa kwa nini tunawalipa mishahara mikubwa na pension ? Tuna viongozi zaidi ya 50 tunahudumia magari yao wakiwa wamestaff na wengine wanafanya ukada bado awajachoka ukada awatumikii umma
Ni jambo jema sana kujipa moyo
This quoted post is unavailable.
1
Ukiona pesa zako zote unaweza kuzibeba na kutembea nazo jua una ela ndogo sana ongeza juhudi
2
Kesho ni Idd ya kuchinja tunoe meno jamani
Tutafute dawa umasikini nao ni ugonjwa
Kura za 2025 zitajilinda zenyewe mana zitakuwa nyingi sana
This quoted post is unavailable.
Uwe unakubali kila ukitongozwa uone kama kuna mtu ana test mitambo
Kutongozwa mara kwa mara hakumaanishi kuwa wewe ni mzuri sana... Wengine wanatest mitambo tuu
Shirika la Afya duniani linasemaje kuhusu coronavirus mbona kimya sana ?
Nawakumbusha tu jamani tusisahau kuwaombea wazazi wetu na Rais wetu
7
Coastal wametukosea sana leo
Coastal Union wanakosa penati ya pili❌
1
Hawa Costal hawana lolote wanatulaza na viatu
Watu wanaopendwa mala nyingi hawajiamini
Unacho kiona kwa mchepuko wenzio wanakiona kwa mkeo
1
3
Huwezi kuona fursa kama uwezo wa kufikiri mambo ya msingi pia huna
This post is from a suspended account. Learn more
Makolo FC bado wanataka kujua Manara anacheza namba ngapi? anyway tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama
1
3