Pinned Tweet
Stefan bajcetic autoclassing one of the greatest midfielder in the world. I swear this kid is more complete than gavi and Pedri
Bro!
Fanya chochote halali unachoweza kufikia $1,000 kwa mwezi.
Ukifika kwenye kiwango hicho, unaacha kuishi kwa ajili ya ku-survive na unaanza kujenga maisha unayoyataka.
Kwa $1,000 kwa mwezi, kila kitu kinabadilika.




