Joh (@Cancer_992) header
Joh (@Cancer_992) profile picture

โ†ช๏ธNo body can make you feel inferior without your consent โ†ช๏ธFear of losing is worse than losing.

black hole
Joined July 2019
Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)Photo by Joh (@Cancer_992)
๐Ÿ‘‰ Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza rasmi kuwa limeharibu mfumo wa kisasa wa rada wa tahadhari ya mapema wa Marekani uliopo nchini Bahrain, katika operesheni maalum ya kijeshi iliyolenga miundombinu nyeti ya ulinzi katika ukanda wa Ghuba. ๐Ÿ‘‰ Hatua hiyo kali ya kijeshi imetajwa na maofisa wa Tehran kuwa ni jibu la moja kwa moja na la kulipiza kisasi kufuatia shambulio la awali lililoripotiwa kulenga kituo muhimu cha mawasiliano kilichopo kusini mwa ardhi ya Iran. ๐Ÿ‘‰ Mfumo huo wa rada uliolengwa nchini Bahrain ni kiungo muhimu cha kijasusi katika mtandao wa ulinzi wa anga wa Marekani, ukiwa na jukumu la kubaini mapema makombora ya masafa marefu na ndege zisizo na rubani kabla hazijafika kwenye malengo yake. ๐Ÿ‘‰ Kuangamizwa kwa kifaa hicho kunatishia kuunda pengo kubwa la kiusalama na kiintelijensia, ikizingatiwa kuwa Bahrain ndipo yalipo makao makuu ya Kikosi cha Tano cha Wanamaji wa Marekani (U.S. Fifth Fleet) kinachosimamia usalama wa bahari katika eneo hilo. ๐Ÿ‘‰ Kupitia operesheni hii, Iran inalenga kudhihirisha uwezo wake wa kufikia maeneo nyeti ya kijeshi na kutuma onyo kali la kimkakati kwamba haitavumilia uchokozi wowote dhidi ya miundombinu yake ya kitaifaโœ๏ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ญ
1
5
449
KABLA HUJAWA MFIA DINI WA IMANI ZA KIGENI, FIKIRI ILI USIJE UKAGEUZWA MBUZI WA KAFARAโœ๏ธ ๐Ÿ‘‰ Mungu hana dini, bali dini ni mfumo wa utumwa wa kifikra. ๐Ÿ‘‰ Nchini China kuna watu zaidi ya bilioni 1.5, lakini Waislamu ni asilimia 2% tu na Wakristo ni asilimia 1% tu. ๐Ÿ‘‰ Zaidi ya asilimia 30 ya Wachina hawana dini yoyote, idadi ambayo ni kubwa kuliko waumini wa dini hizo mbili kwa pamoja. ๐Ÿ‘‰ Pamoja na kutokuwa na dini hizo, China imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo na ustaarabu. ๐Ÿ‘‰ Kwa upande mwingine, Afrika tuna idadi ya watu bilioni 1.5, lakini Uislamu na Ukristo vimetawala maisha yetu yote. ๐Ÿ‘‰ Matokeo yake, huku Afrika makanisa na misikiti vimekuwa vingi kuliko viwanda vya uzalishaji. ๐Ÿ‘‰ Nchini India nako wapo watu bilioni 1.5, lakini Uislamu na Ukristo vipo kwa asilimia ndogo huku wengi wakishikilia imani zao za asili. ๐Ÿ‘‰ Mungu hana dini, lakini sisi tunabaguana na kutengana kwa sababu ya mapokeo ya kidini. ๐Ÿ‘‰ Ukimuuliza Muislamu dini ya Mungu ni ipi atakuambia ni Uislamu na Mkristo atakuambia ni Ukristo, vivyo hivyo kwa madhehebu mengine. ๐Ÿ‘‰ Kama Afrika tungetawaliwa na Wachina au Wahindi, leo hii tungekuwa wafuasi watiifu wa Ubudha au Uhindu. ๐Ÿ‘‰ Siri kubwa ya mafanikio ya China na India ni kutoruhusu imani hizi za kigeni zishike hatamu na kutawala akili za watu wao. ๐Ÿ‘‰ Leo tunaaminishwa kuwa Israel ni taifa teule la Mungu, ilhali mauaji ya watu wasio na hatia yanaendelea huko kila kukicha. ๐Ÿ‘‰ Mababu zetu waliishi miaka mingi yenye neema na baraka tele kabla ya ujio wa Uislamu na Ukristo. ๐Ÿ‘‰ Waarabu na Wazungu walipotuvamia, walitutawala, wakatufanya bidhaa za kuuzwa na kutulazimisha tuache njia zetu za asili za kumwabudu Mungu. ๐Ÿ‘‰ Haingii akilini kuamini kwamba watu waliotutesa na kutuuza kama wanyama walikuwa na upendo wa kutupeleka peponi. ๐Ÿ‘‰ Lengo kuu la dini lilikuwa ni kutugawa ili kututawala kirahisi, Dini ni utumwa usioacha makovu mwilini bali unafunga akili. ๐Ÿ‘‰ Ukihoji mafundisho haya kwa kina unaambiwa unamkufuru Mungu, mbinu inayotumika kukufanya ubaki kifungoni milele. ๐Ÿ‘‰ Dini ya kweli ni matendo yako mema kwa binadamu wenzako na viumbe wengine, hiyo ndiyo ibada na pepo ya kweli. ๐Ÿ‘‰ Ustaarabu hauletwi na wingi wa nyumba za ibada, China wana maendeleo makubwa kuliko Afrika iliyogubikwa na dini kwa asilimia kubwa. ๐Ÿ‘‰ Dini imekuwa biashara kama biashara nyingine na usipokuwa makini unageuzwa mtaji wa kuwanufaisha wengine. ๐Ÿ‘‰ Tumeshuhudia majanga ya imani potofu kama mchungaji Mackenzie wa Kenya aliyesababisha vifo vya watu 191 kwa kuwalazimisha kufunga hadi kufa, na Joseph Kibwetere wa Uganda aliyewateketeza waumini 300 kwa moto baada ya utabiri wake wa mwisho wa dunia kufeli. ๐Ÿ‘‰ Tunakesha tukifunga na kuomba miujiza ya utajiri makanisani na misikitini, huku wageni wakichimba madini yetu na kuchukua rasilimali zetu mchana kweupe. ๐Ÿ‘‰ Tumefundishwa kusamehe na kuvumilia umasikini hapa duniani tukiahidiwa makasri ya dhahabu mbinguni, ilhali waliotuletea imani hizi wanajenga pepo yao hapa hapa duniani. ๐Ÿ‘‰ Inasikitisha kuona Mwafrika anamchukia na kumwaga damu ya ndugu yake wa damu kwa sababu tu ya kutetea mapokeo ya mgeni asiyemtambua. ๐Ÿ‘‰ Badala ya kutumia akili zetu kugundua teknolojia na tiba, tumebaki kusubiri maji ya upako na visomo vituponye magonjwa yanayotokana na ujinga wetu wenyewe. ๐Ÿ‘‰ Historia itatuhukumu vikali kwa kuruhusu minyororo ya kifikra irithi nafasi ya minyororo ya chuma iliyowafunga babu zetu. ๐Ÿ‘‰ Viwanja vya maombi vimegeuka kuwa masoko ya biashara na minada ya miujiza, ambapo manabii kama "Mwamposa" wanajilimbikizia utajiri mkubwa kwa kuuza mafuta ya upako na maji ya baraka kwa wananchi wanaoteseka na lindi la umaskini. ๐Ÿ‘‰"Mwamposa" na wafanyabiashara wenzake wa dini wanatumia umaskini na tamaa za miujiza za wananchi kujinufaisha na kujilimbikizia maliโœ๏ธ By @nguchiro47 โœ๏ธ
19
20
5
29
5,078
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu. Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya. Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu. Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis). Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma). Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani. _____ Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
34
274
20
645
76,236
Barabara ya kutoka Babati kwenda Singida ni mbaya sana, mbaya kweli kweli! Naomba mnielewe, wajameni!!! Mbaya sana , mbaya sana!!! Mbaya sana.
34
83
8
951
32,720
Repost from Samson Charles ______ Kuna mwanafunzi amegongwa na gari maeneo ya Mikocheni kituo cha Clouds. Jina lake ni Esther Nassake kulingana na taarifa za daftari lake. Hata hivyo hajaandika jina la shule. Gari iliyomgonga haikusimama, lakini bodaboda wameikimbiza sina hakika kama wameipata. Mwanafunzi amejeruhiwa vibaya na amepoteza fahamu. Amechukuliwa na wasamaria wema kakimbizwa hospitali ya Lugalo. Tafadhali sambaza taarifa hii ili kupata msaada wa ndugu zake maana yeye hajitambui.!
5
45
85
7,032
Mpanzuuuuuuuuuuuuuu ooooohhhhh What a Comeback Hiii ni upekeee wa Kipekeee kwenye Derby ya Leo Simba Vs Yanga wow ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
5
41
444
17,088
Kuamka Asubuhi ni Zawadi Tosha kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Good Morning.!๐Ÿ™๐Ÿ™Œ๐Ÿป
7
8
19
409
Kuna haja ya kupata list ya majina ya wote waliouwawa tarehe 29 na kufanya namna ya kuifanya hii tarehe kama siku ya mashujaa na kufanya maombolezo kila mwaka..Hili tukio sio la kulisahau na kuliipotezea kirahisi
134
596
33
3,210
189,316
Kenya mashabiki wanajitokeza kwa wingi sana kuishangilia Harambee Stars, mechi na Morocco hadi wamevunja mageti kutokana na wingi. Tujiulize kwa nini mzuka unaoonekana kwa mapacha wa Kariakoo tumeshindwa kuuhamishia kwa Taifa Stars. Hatujachelewa kukopi notisi za Ahmed Ally, Haji Manara na Ali Kamwe kujaza kwa Mkapa #AFCON2024
265
34
16
985
57,728
Too much confusion around Clement Mzize. Yanga must issue a clear statement. ๐Ÿšจ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Itโ€™s crucial they explain why Esperanceโ€™s offer was rejected, especially since theyโ€™ve already accepted Uum Salalโ€™s bid, which remains valid. Accepting two offers for the same player might be possible, but itโ€™s neither right, professional, nor diplomatic. The club must also clarify the situation regarding Mzizeโ€™s manager, who claims sheโ€™s the one who took care of the player. Yanga should come clean on why they donโ€™t want to work with her. Football must always be about spreading love and peace. #Transfers #AfricanFootball
108
23
14
905
71,465
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz pamoja na viongozi mbalimbali katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024. #MguuKwaMguu2025 โ€“ at Dar es Salaam, Tanzania
3
5
28
1,279
MWANZA - DAR ๐Ÿ“ KONGOWE 1. ALLY'S EBF 2259๐Ÿ”ฅ 2. ALLY'S DXS 2303 3.HAPPY Nation EBS 2304 4.KATARAMA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ญEBR 2306
Chungwa likiingia Giza tu linageuka ndege
6
1
27
2,258
Ubunifu wa Ukraine: Watengeneza "shushpanzersโ€, kutokana na uhaba wa armored personnel carriers na infantry fighting vehicles.
6
8
132
5,405
Replying to @SecBlinken
What's about Julian Assange? What's about Palestians sufferings are not considered as abuses to Human rights? When a friend of yours, abuse Human rights like the issue of Kashogi, the definition of Human rights doesn't apply there! God save the world from United States of America
2
2
42
820
Replying to @SecBlinken
Mr. Sec,this what we call double standard in regards to Human rights!Can you tell us what is happening in Afghanistan by your counterpart Taliban to Afghan women is Human rights? Have you ever sanctioned them? It seems that the term "Human rights" doesn't apply to your friends
1
3
7
541
Mnipe tofauti ya caution na precaution
28
8
137
24,079
Person Of the Year. PUTIN or ZELENSKY??? Retweet For Putin or Like For Zelenskyy.
28
313
3
200
nilivowapost wale Anteater wanyama ambao wapo kule South America watu wengi wakawa wanasema hata huku Tanzania wapo ila sio kweli hawapo huku kabisa ila sasa huku Tz sisi tunae huyu hapa anaitwa Aadvark au kiswahili Muhanga Huyu Muhanga yupo maeneo mengi sana Tz
3
3
15