Ndyo maana siku hizi niliamua kupuuza huu mtandao. Umekuwa wa kishenzi sana.
Sema vijana walivyo kuwa wa ovyo, unaweza kuta uyo aliyefichwa ni Auntie Juma.
This Post is from a suspended account. Learn more
1
2,470
Sema nmegundua kuna Ugonjwa wa vibamia linaandama hili taifa. Lile shimo la kawaida sana. Mbona wote mmepitia kwenye mashime makubwa zaid ya hilo.
"Miaka 5 amekopa 60trilion alafu hazijulikani zimefanya nini" John Heche.
Hili swali linafikirisha sana.
Sia Da Vinci💎 retweeted
Nimeona mijadala kadhaa kuhusu Mafuta na some questions like “reserve ya miezi mitatu…ilosemwa iko wapi ?” Kesho yetu ya mafuta ikoje etc. na infact kama watu wetu wangepata Taarifa kwa wakati haya maswali yangesha-jijibu kwa wakati. Walk with me.
1. Tanzania kama nchi nyingi Duniani, tangu 2012 huwa inaagiza mafuta yake kupitia mfumo wa pamoja (Bulk Procurement System) na tuna mfumo unaitwa BPS na sie kama Nchi tulienda mbele zaidi kwa kuwa na Wakala kabisa wa Serikali wa haya manunuzi anaitwa Petroleum Bulk Procurement Agency, PBPA.
2. Kwa kawaida PBPA hufanya analyis ya uhitaji wa mafuta kwa “kota” au monthly na kisha kutangaza tender ya uigizaji wa mafuta kwa kampuni za kuleta mafuta kwa kutumia value ya soko. Hizi kampuni kitaalamu huitwa Oil Marketing Companies (OMCs) ambapo kila kampuni huwa inashindana kwa uwazi na kwa prediction ya 3 months.
Zipo kanuni kadhaa huwa zinawabana hawa OMCs ikiwemo Regulation 5(2) (a) ya Kanunia inaitwa “Petroleum (Bulk Procurement) Regulations,2017 GN No. 198 pamoja na ingine inaitwa “The Petroleum(Bulk Procurement) (Amendment) Regulation 2024” ambazo huwa zinatoa ulazima wa hizi OMCs kutoa pre condition analysis ya miezi mitatu ya uhitaji wa mafuta na Market value ya mafuta kwa wakati husika…
Sasa basi;
3. Manunuzi yoyote ambayo yako verified na PBPA katika hatua za kimanunuzi huwa yanaenda straight kwa EWURA kama regulator kwamba ni “stock” bila kujali tayari yapo kwemye reserves zetu au vipi. Na hapa ndo yule DG wa EWURA alisema “Mafuta yapoo…”
Ila kunae jambo fulani hapa niskiize vizuri .
i) Baada ya vita ya Iran vs USA/IDF ilibidi kwa dharura PBPA waitishe tender ya dharura na kwa kwaida hizi OMCs kila mmoja huleta kitu huitwa Pricing Chart/Landed Cost Model ambayo ni kama vile BOQ kwmaba jamani eeh..duniani huko price ya mafuta ni kiasi hiki etc. na katika wakati huu tulipata up to 300-350 USD per Metric Unit ambayo Serikali ilishtuka.
ii) Baada ya pale ilibidi itoke muongozo wa Kiserikali (Circular/Decree) kuielekeza Kampuni ya Serikali ya Petrol TPDC kuangalia soko mbadala na ilipata pungufu ya up to 100 usd per Metric value ya best OMCs na pale pale wakapewa tender ya ku procure 3 months concession ya mafuta ili by next 3 months kama Nchi tuwe salama.
Iko hivi;
Kuhusu Mafuta, while we don’t really know lini soko litakua stable ila;
Itaendelea….
Licha ya maagizo ya Trump ya kuweka kizuizi cha majini kwenye bandari za Irani na kuzuia meli kuingia / kutoka bandari za Irani, meli za mafuta bado zinapakia mafuta nchini Irani na zinaondoka kwenye vituo hivi, bila usumbufu mpaka dakika hii.
2
17
2,222
Sitaki Papa ambaye anadhani ni sawa kwa Iran kuwa na Silaha ya Nyuklia. Sitaki Papa ambaye anadhani ni vibaya kwamba marekan kuishambulia Venezuela." TRUMP.
Trump anasema Ikulu ya Marekani ndiyo 'Bouncer' wa Vatican. Papa Leo asingekuwa hapo bila Washington? 🤨 Kumbe White house inacontrol mpaka madhabahu ya kikatoriki! Je, huu ndyo ukweli ndani ya Kanisa au ni kujimwambafai kwa 'Superpower'?
Mitandao inekuwa sehemu pekee ambapo unaweza kupokea darasa la jinsi ya kuish kwenye ndoa kutoka kwa mtu ambaye hata mahusiano yake marefu hayajawahi kuzidi data bundle la buku. Mwalimu mwenyewe ni "CEO of My Mom’s House aka mtoto wa single Mom.." 😭💀
2
13
1,610
Mnaosema USA wameshinda vita kwani malengo ya vita yalikuwa ni nini na yamefikiwa kwa asilimia ngapi?
Sia Da Vinci💎 retweeted
Kwanini ziwa Tanganyika lisibadilishwe jina na kuitwa Ziwa Tanzania mana hakuna nchi inaitwa Tanganyika hivi sasa.
98% wapondea hiki kikao cha wanaume si wanaume. Hata kama ni jinsia ya kiume sio wanaume ni wavulana.
















