BlessingChess (@BlessingChess) header
BlessingChess (@BlessingChess) profile picture

Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects |+44 20 8638 6823 | hq@inhb.co.uk |London 🇬🇧

London, England
Joined September 2013
Photo by BlessingChess (@BlessingChess)
Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.
9
16
1,904
BlessingChess retweeted
Kuna Muda Watu Watahisi Kuwa Wewe Hupendi Ushirikiano Kumbe Wewe.. , Hupendi Unafki.
12
38
660
Kuna muda ukifika kila unachotaka kinaanza na milion😀😀😀😀 hapo ndo ujue ushakuwa mtu mzima😀
43
Mwijaku ampigia magoti Diamond Platnumz.
18
4,419
BlessingChess retweeted
Hiyo lini hiyo?
10
36
4
206
5,517
BlessingChess retweeted
Akizungumza na Jambo TV, mwanamuziki Afande Sele amedai waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva wameelekezwa kutomruhusu kushiriki katika maonesho yajayo baada ya kuzungumzia na kuwakumbuka watu waliopoteza maisha katika matukio ya Oktoba 29, 2025. Aidha, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na mmoja wa waratibu wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, Hamisi Taletale (Babu Tale), amejibu madai hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Mwendokasi TV, Novemba 16, 2026 akisema madai hayo hayana ukweli bali ni sehemu ya mabadiliko ya ratiba za Wasanii. Fuatilia Zaidi: jamii.app/BabutaleVsAfandese… #JamiiForums #Uwajibikaji
9
12
2
142
10,985
Even after Zohran Mamdani won the Democratic nomination for NYC Mayor—Chuck Schumer refused to endorse him. Now as Schumer runs for Senate Majority Leader, NYC Mayor Zohran Mamdani refuses to endorse him. Oh how the turn tables, Schumey. How the turn, tables.😅
12
Among the trades was a sale of as much as $1 million on May 18, five days after Secretary of State Marco Rubio reportedly briefed Trump on Jensen Huang’s relationship with a suspected Chinese spy...." cnbc.com/2026/11/16/t...
12
BlessingChess retweeted
Napenda tu kuwakumbusha watanzania kuwa haya matamasha na mpira inatumika kuwatoa kwenye mambo ya msingi ,Afande sele kawakumbuka wenzetu waliotangilia mbele ya haki kaliwa kichwa. kaondolewa kwenye kikundi cha wachawi kwa sababu halogi nayeye.
17
140
3
1,026
38,959
Kuna Muda Watu Watahisi Kuwa Wewe Hupendi Ushirikiano Kumbe Wewe.. , Hupendi Unafki.
12
38
660
BlessingChess retweeted
Replying to @KiwangoUpdates
Hongera sana Mheshimiwa Makamu wa Rais kwa msimamo huu thabiti. Rais Samia hakukosea kukuamini. Miradi ya maendeleo haipaswi kuwa mradi wa watu wachache kujinufaisha. Tunaomba mkandarasi na wote waliohusika wajibu kwa kila senti iliyotumika.
1
174
#TajiriLaKihaya Tulichelewa saana kumpata huyu KIJANA…. NDEJEMBI ndio X-FACTOR🫡
Unaona hapo huyo mkurugenzi hawezi ata kutoa sauti. Mkute sasa wilayani akiwa ana msifia Rais. Uunaweza jiuliza hii cherehani ya maneno imetokea wapi. 😂😂
45
17
4
113
11,012
Replying to @ADIPECOfficial
The capital question is always the same: what is the offtake, who signs it, and how long from application to first revenue. Has Tanzania published an investor pack with those numbers?
1
4
BlessingChess retweeted
Replying to @meamswahili
Injini ilivyo na joto hivyo unaenda kumuweka mtoto aiseee!!!Achana na hayo hapo pia kwa mtoto si salama inaweza ikatokea kalala ukapiga kubwa la ghafla ukamtolea nwenye kioo Hapo ndugu zangu madereva wamekosea
1
1
6
2,379
BlessingChess retweeted
Replying to @meamswahili
Huyu mtoto achunguzwe bi kama hajui anakkokwenda au anakotoka.. Kasema anasoma MANUS_DAY means shule ya Day na sio bording na halafu anasema anaenda Morohoro shule ya baroding.. Huyu Mtoto anaweza akawa anatoroshwa kwenda kufanya kazi bala ya kusoma..
1
16
BlessingChess retweeted
Rest In Peace Brother...... 🕊️💔 (Lucas Massawe Umeenda Brother, Umeenda Mapema Broy, Nimeumia sana) Njia yetu ni Moja, Brother Umetangulia , Daaaah Siamini kabisa, Upumzike kwa Amani Brother, R. I. P Brother.....
Hello everyone, My name is Lucas Massawe from Tanzania 🇹🇿, and I’m incredibly happy to share that I’ve been selected for the most prestigious scholarship in the world – the Chevening Scholarship 2025/26 which is under the Government of United Kingdom(UK) From over 102,000 applications worldwide, only around 1,500 scholars were selected (1.5%) Out of the Tanzanians who were shortlisted for interviews, just 16 of us were chosen. I feel truly humbled to be among them. This September, I’ll be pursuing my Master’s in Global Health at one of the UK’s most beautiful universities, renowned for its top faculty and Career services – the University of Greenwich @UniofGreenwich in London. This journey wasn’t easy. I learned about the Chevening Scholarship in my third year of university and believed I would get it one day. At 25, I achieved it before finishing my pharmacy internship. God has been so good. It took months of preparation, late nights, and moments of doubt, but I stayed positive. I can’t explain how much motivation and support I received from my senior pharmacist brothers, Brother Josephat Hema @HemaJosephat and Brother @HamisiMsagama , who supported my passion from the beginning to the end. I had scheduled calls and Google meetings with them even at midnight. Thank you so much for making this dream possible. After I was shortlisted, my sister Winnie Aranya Itaeli Kweka and brother Ngusa Petrus Kalambo gave me mock interviews and full support. Thank you for helping me prepare and do my best. Thank you to my beautiful sister Maryanne Favour Ong'udi from Kenya, who introduced me to the Kenyan group where I had several mock interviews with the Kenyan community. She personally did a mock interview with me and was able to correct and add more information that greatly impacted my chances. Thank you to Professor Eliangiringa Kaale @eliangiringa1 , Professor Raphael Zozimus Sangeda @rsangeda , and Dr. Dr. Lwidiko Mhamilawa @Lwidiko for their recommendations, which made this life-changing opportunity possible. Thank you, Professor Eliangiringa Kaale, for always supporting me like your son. Thank you to my beautiful sister Priscilla Mawuena Adjeidu , who has been supporting my work, providing opportunities for me, and praying for me every single day. Thank you, brother Farhan Yusuf @faryus88 and brother Erick Gilbert , for advising me wisely in both life and career. You are indeed great people. I am not only happy for myself but also for my friends with whom I prepared together. God has been great because, out of four of us, three people were selected @meselineraphael , me, and Samwel Msuya), and one was placed on the reserve list. A heartfelt thank you to the UK Government through the Foreign, Commonwealth and Development Office, @FCDOGovUK, the British High Commission in Tanzania @UKinTanzania , and the University of Greenwich @UniofGreenwich of for this incredible support. Indeed, I’m grateful for 2025. Thank you, Mama and my father, for your prayers 🕊. I have finally reached another dream. I am very excited to join the Chevening Family and later on the Alumni network with masterminds @tonytogolani @TitoMagoti @MbelwaK @CarolNdosi and others. #ChosenforChevening #IamChevening @CheveningFCDO
79
65
5
540
106,269
mpaka uje ujue pesa na elimu vitu viwili tofauti ushakufa masikini😀
74
BlessingChess retweeted
Part 2: Huyu jamaa alikuwa anadai hela yake hawakumlipa!!
Huyu jamaa ana roho ngumu kama mimi aisee!! Angalia alivyobomoa gari 🙆‍♂️🙆‍♂️😂😂
30
63
3
391
56,748
BlessingChess retweeted
TAARIFA, ALIYEHARIBU MALI ZA MWAJIRI WAKE KIGAMBONI AKAMATWA HUKU ALIYEMSHAMBULIA ASKARI KARIAKOO NAYE AKIKAMATWA
40
14
9
130
20,903
BlessingChess retweeted
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema amepokea vitisho baada ya kutoa maoni yake Bungeni akipinga vitendo vya ushoga na usagaji. Akizungumza leo, Novemba 6, 2026 nje ya viunga vya Bunge jijini Dodoma, Waitara amesema mmoja wa wabunge alimfuata na kumuuliza kwa nini anawashinikiza wabunge wengine kuunga mkono hoja hiyo, akidai baadhi ya ambao hawakusimama walikuwa wanajihusisha na vitendo hivyo. Waitara amesema mtandao wa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo una nguvu na fedha nyingi, lakini amesisitiza kuwa hataogopa wala kurudi nyuma katika msimamo wake huku akitarajia Serikali kuchukua hatua zinazostahili. #KitengeUpdates
25
37
5
606
42,514