Pinned Tweet
🚨BREAKING NEWS 🚨
Rais Samia: Sasa ni wakati wa maridhiano
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya mazugumzo na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, huku akisema ni wakati mwingine wa kuendeleza mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia.
Kiwango Updates retweeted

taasisi za kiraia na sekta binafsi kwa kuunda Tume ya Maridhiano na upatanishi, itakayoratibu maandalizi ya mchakato wa marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania,” imeeleza.
1
66
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨
Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza Taasisi ya kuzui na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Jeshi la polisi, Kuchunguza matumizi ya fedha za mradi wa kuboresha miundo mbinu ya Manispaa ya Lindi,

baada ya taarifa kuonesha kuwa mkandarasi amelipwa shilingi bilioni 4.22, lakini utekelezaji umefikia 24% pekee huku 80% ya muda wa mkataba ukiwa umetumika.
Akitoa maagizo hayo Mkoani Lindi, Makamu wa Rais ametaka kufahamishwa namna malipo yalivyofanyika,
1
222
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨
RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA UTURUKI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam,

Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), pamoja na mikutano ya pembezoni ya Ngazi za Juu kuhusu masuala ya Nishati Safi ya Kupikia. Aidha, tarehe 12 Novemba, 2026,
1
23
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨
RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️

RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷
Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026.
⤵️

Viongozi na wadau watajadili ufadhili wa tabianchi, nishati safi, uhifadhi wa misitu na ustahimilivu dhidi ya ukame na mafuriko.
Tanzania itakuwa na tukio maalumu Novemba 11 kuhusu mpito wa nishati safi shuleni na vituo vya afya, likitajwa kumshirikisha Rais Samia.
⤵️
1
34