Rais Magufuli: Sisi sote ni wa kupita hakuna atakayeondoka na kitu, hivyo uzalendo wetu tuutangulize mbele.
> Utaondoka na sanduku moja na shimo ya pende nne. Utaenda kuulizwa kuhusu mambo uliyowafanyia Watanzania
#JFLeo
Namshukuru MUNGU nimeweza kuwasilisha SALAMA HOJA zangu kwenye Kamati ya MAADILI YA BUNGE.Nimetoa sababu 21.Kwa sababu za KIKANUNI sitaziweka HOJA wazi kwa SASA ili kutoa fursa kwa KAMATI kufanya kazi yake VIZURI. Nawashukuru wote kwa ushirikiano. Ni imani yangu HAKI ITATENDEKA.