Bernard K. Membe (@BenMembe) header
Bernard K. Membe (@BenMembe) profile picture

Former Foreign Affair Minister of Tanzania from 2007 to 2015. Private Citizen

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2017
Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)Photo by Bernard K. Membe (@BenMembe)
Shukran kwa kunielimisha!
Replying to @BenMembe
Ongea vyote, Fisiolojia waachie wenyewe. Mtu akiwa kwenye panic na phobia (sympathetic) adrenaline zinapanda.@fmashili
10
3
93
Nakushukuru kwa kunielimisha!
Replying to @BenMembe
Ongea vyote, Fisiolojia waachie wenyewe. Mtu akiwa kwenye panic na phobia (sympathetic) adrenaline zinapanda.@fmashili
9
3
240
Mhe Rais, choonde mpe Mhe. Francis Ndulane second chance ya kuapa. Alikuogopa na adrenalin yake ikashuka na ikamchanganya. Mwite, kunywa nae chai, kisha ongozana nae kwenye meza ya kiapo.Ataapa vizuri! Unapomwadhibu, unaiweka afya yake katika hali mbaya sana.Forgive & save him.
129
87
26
1,183
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi wa madudu kama huu. Sana sana nitamwandikia kumwomba ajiuzuru ili uchaguzi urudiwe.
640
490
96
5,198
Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli.Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi wangu" yanawatia hatiani.
656
162
89
2,218
It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
242
303
30
5,361
Mimi ndiyo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT- Wazalendo. Mimi ndiye niliyekabidhiwa Ilani ya Chama hicho kuinadi kote nchini kwenye uchaguzi huu. Taarifa zinazosambaa kuwa tayari tumejiunga na Chadema katika ngazi ya Urais siyo za kweli.
825
243
123
4,102
Nafurahi kuufahamisha umma wa Tanzania kuwa hatimaye Msaidizi wangu Jerome Luanda ameachiliwa na Polisi leo saa 10 jioni baada ya kujiridhisha kuwa hausiki na tuhuma ya money laundering wala kosa jingine lolote. Asante Wakili Peter Kibatala kwa kufuatilia swala hili hadi mwisho.
189
254
26
4,721
Watanzania wenzangu! Taarifa kuwa kuna msaidizi wangu mwingine ametekwa au kushikiliwa na Polisi si za kweli hata kidogo! Sina msaidizi mwingine, wala ndugu, wala jamaa au rafiki anayeshikiliwa na Polisi mbali ya Jerome Luanda. Puuzeni taarifa hiyo!
204
168
17
3,929
Msaidizi wangu Jerome tunaambiwa anakabiliwa na tuhuma ya money laundering. Ni maajabu ya maajabu! Uliona wapi Mtu anakamatwa Airport bila hata senti moja mfukoni mwake na bila kuwa na hela yoyote kwenye bag yake anakamatwa na kutuhumiwa kwa kosa la Money Laundering! Tanzania!
346
279
47
4,088
Afande kama taarifa hii ni ya kweli: 1. Yupo kituo gani cha Polisi na kwa tuhuma zipi ili sisi wanafamilia na wanasheria wetu tuende tukamwone? 2. Mbona amekaa Polisi zaidi ya masaa 24 muda ambao kisheria alitakiwa awe amehojiwa na kupelekwa mahakamani au kuachiwa huru?
195
172
15
2,849
Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui masaa matatu wamwachie akiwa mzima na salama.
323
311
39
5,083
Wana ACT- Wazalendo na Watanzania wenzangu wote! Kesho Jumanne ya tarehe 15 Sept.saa 8.40 mchana, nitatua DSM nikitokea Dubai na nitafanya Press Conference Airport. Afya yangu imeimarika na sasa nipo tayari kwa Kampeni ya Urais inayoanzia Tabora wiki hii hadi October 26.
368
208
42
3,950
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumba-kumba! Watanzania kaeni chonjo!
635
207
82
4,298
Nawaomba Viongozi wote wa Dini wa madhehebu yote popote mlipo, liombeeni taifa na wale mnaoweza kukemea kemeeni kwa nguvu zote mchakato huu wa uchaguzi ambao unahatarisha Usalama na Amani ya nchi yetu. Msingoje kesho!
236
315
27
4,051
NAMSHUKURU MUNGU, NAWASHUKURU VIONGOZI WA ACT-WAZALENDO, TIMU YA USHINDI, NDUGU, MARAFIKI NA WOTE WALIONIDHAMINI! TUTAFIKA!
80
79
6
1,715
Uteuzi wa CCM uliofanywa leo umenifurahisha sana! Nawapongeza wote waliobahatika kuteuliwa, lakini kubwa zaidi nawapa pole wale wote waliokatwa kwa sababu ya kuwa karibu nami. Hiyo ni baraka siyo balaa. Karibuni mjiunge na ACT- Wazalendo haraka ili safari iendelee!
410
292
41
5,641
Ng'ara ACT ng'araa! Tumeona upendo wa dhati wa Wazanzibari Tumeona ujasiri wa Wazanzibari na tutaona ushindi wa sunami October 28. Kimbunga kilichoanza Unguja na Pemba sasa kinakuja Tanzania Bara! Asanteni Wazanzibari kwa kuonyesha njia na Shikamoo Maalim Seif Shariff Hamad!
158
172
15
3,166
Leo saa 6 mchana, nimechukua fomu za Uteuzi za Wagombea wa Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kama walivyosema wagombea waliotangulia, Chama Chetu cha ACT Wazalendo kitafanya kampeni za kistaarabu na tutajikita zaidi katika kuinadi Ilani ya Chama chetu.
210
149
23
2,949