Mr Satoshi (@BenFx8) header
Mr Satoshi (@BenFx8) profile picture
Joined March 2021
Noted. As the internet is becoming more widespread today, commercial organization data and personal data are at risk of being exploited. Therefore, there is high demand in the field of cybersecurity.
1
1
3
48
Ukipiga magoti nakuomba mvua, ujue unaomba pia matope! Namaanisha unapo kuwa na rafiki mzuri ujiandae kupokea pia upande wa pili wa mabaya yake.
18
96
2,095
Wengi waliotaka kueleweka kwakila mtu walishafariki kama unataka ufanikiwe katika mambo yako yote kataa kueleweka na kila mtu wengine acha wakuone umepotea njia ,wengine waache wakuone mlevi au malaya, siku ukifanikiwa ambao hawakuelewi leo watakuja kukupongezaπŸ™Œ
3
11
1
65
2,701
Mwaka 1996 kampuni ya @CRDBBankPlc walianza kunyanyua mtaji wa bank kupitia wadau wao. xitter.cf/i/spaces/1PlJQpLnbenGE
6
9
1,485
Unaona umri umeenda sana hujaingia kwenye ndoa ,uko kwenye ndoa hupati watoto, ndoa na Ndoa haina Amani, umemaliza chuo hupati kazi,una madeni mengi hujui lini utatoka.Kwa Mungu hakuna mlima mrefu,hakuna bonde lefu,hakuna usiku mrefu,muamini yeye,mtazame yeye,mwangalie yeye✍️
2
12
119
3,069
Hata hilo unaloliona kama mlima litapita na utabaki ukijiuliza ulivukaje. Nakuombea na ninakuona ukivuka kwa Jina la YesuπŸ™
7
29
1
264
7,689
Jifunze kutenga muda wa kumshukuru Mungu,Tenga sadaka ya shukrani kila mara umwambie Mungu Asante maana Kuna watu wengi sana walitamani kuwa hapo ulipo na hawajui lini watakuwa hapoπŸ˜“
7
15
90
3,563
Maisha yana β€œPanda-Shuka” nyingi sana. Kuna siku Utapanda na Kuna siku nyingine Utashuka,Muhimu usipoteze Focus. Simamia unachokiamini,Songa mbele.
12
43
2,271
Unapenda cybersecurity? Kama jibu ni ndiyo kuna link hapo chini inakuhusu kupata resource zote unazotaka @abuu_msagule -LINUX -COMPTIA ZOTE (network, security, A) -Hacking course Zote A-Z - REVERSE ENGINEERING - Na vinavyohusu security mega.nz/folder/QtUBkSyI#pWhN…
1
4
8
1,195
Resources- YouTube (FREE) *Ethical Hacking in 15 Hours- The Cyber Mentor *Beginner to Advanced Bug Bounty- PHD Security *Wireshark Master Class- Chris Greer *The 50 Most Popular Linux & Terminal Commands (Full Course of Beginners) - FreeCodeCamp 5/9
1
8
42
4,512
Mr Satoshi retweeted
Hizi ni baadhi ya skills:- 1. Graphics Design 2. Content Creation 3. Deal Closing 4. Website design 5. Digital Marketing 6. Tease and Ads Creations WACHA KUZUNGUKA NA BAHASHA, JITAFUTE MUDA HAUKUSUBIRI!!
4
22
1
69
2,963
Watu hawataacha kufatilia maisha yako ukikonda watahoji ukinenepa watahoji unanenepea nini ukizipata watahoji ukiishiwa watasema walijua lazima zitaisha wanandamu wako hivyo acha wahoji ila wasikutoe kwenye reli ya mafanikio yako✊
7
30
2
198
7,546
KOBE BRYANT’S 10 RULES 1. Get better every single day 2. Prove them wrong 3. Work on your weaknesses 4. Execute what you practiced 5. Learn from greatness 6. Learn from wins and losses 7. Practice mindfulness 8. Be ambitious 9. Believe in your team 10. Learn storytelling
75
1,195
57
5,405
1,031,520
Karibu ujiunge nasi ifikapo saa3 kamili usiku tujifunze kwa pamoja kutoka kwa @ThisIsMagnetics pamoja na @LeyAllyie @MouSaliim kwenye @theriseupshow kupitia twitter space na boresha.live ya @BoreshaRadio
1
6
1
40
3,412
πŸ¦…UMEFUNGA KWA BAHATI MBAYA DOCUMENT BILA KU SAVE KWENYE microsft word ! 🧡🧡🧡 Mfano una type kitu kwenye Microsoft word na kwa bahati mbaya computer ikazima au ukaifunga (close) hio document kwa bahati mbaya na hujuweka autosave ,usipanic relax kwanza afu πŸ‘‡
20
196
3
281
58,205
Mr Satoshi retweeted
Hivi unaielewa hii Chat GPT? Na inatusaidiaje katika maisha yetu ya kila siku? Please retweet Thread🧡
9
23
94
12,967
Mr Satoshi retweeted
β€’ Unatumia computer ya aina gani? β€’ Umewahi kukutana na Changamoto gani wakati wa matumizi yako ya computer? β€’ Kwa sasa una Changamoto gani kwenye utumiaji wa computer Comment utajibiwa
61
25
2
109
26,935
How to create digital signature?
96
3,384
81
17,500
1,430,474
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT. Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku. Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu. Shuka na huu UZI 🧡
88
523
27
870
145,686