Katibu wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu Nice Sumari @NiceSumari91109 akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu Nuru Mcharo akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Katibu wa Kamati ya Uratibu ya BAVICHA Mkoa wa Ubungo ndugu Nicholous Mvanda @NicholousMvanda akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Sehemu ya viongozi wa BAVICHA Mkoa wa Ubungo tumewatembelea wakazi wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kwa lengo la kuhamasisha vijana kujiunga na CHADEMA.
Kutoka kushoto @Nuru Mcharo @NiceSumari91109 @NicholousMvanda @Regnald_ulomi
#NoReformsNoElection
Bavicha Ubungo tunawakaribisha vijana kutoka maeneo yote ya nchi katika maandamano siku ya kesho September 23.
WHEN YOUTH UNITED WILL NEVER BE DEFEATED
Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Ubungo ndugu @NicholousMvanda pamoja na Katibu wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu @NiceSumari91109 wakiendelea kuhamasisha vijana ngazi ya matawi kushiriki maandamano ya tarehe 23 Septemba, 2024.
#simamauhesabiwe
Vijana Mkoa wa Ubungo tunaelekea Mbeya
Pamoja na mambo mengine tumesikia taarifa Polisi wamewakamata vijana wenzetu wa Temeke.
Bavicha Ubungo tumechukua jambo hilo kwa uzito,tupo imara tupo sawa tutachukua hatua zozote tutakazoona zinafaa kukabiliana na uhuni wa namna hiyo
Taarifa ya Utambulisho wa Kamati ya Maandalizi ya siku ya vijana Duniani itakayofanyika August 12 Jijini Mbeya.
#UbungoKwenyeRamani
Leo Juni 16 Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa Ubungo @ntele_bh ameongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Mkoa wa Ubungo.Pamoja na mambo mengine amejadili maandalizi na ushiriki wa Bavicha Mkoa wa Ubungo kwenye Siku ya Vijana Duniani itakayofanyika August 12,2024
#UbungoKwenyeRamani
Bavicha Ubungo retweeted
Spare a thought for the families of the co accused. There is a child seeing their father for the first time in 20 months tonight. God is good
Bavicha Ubungo retweeted
Watu 17,478 wameshiriki @MariaSTsehai space maana yake ni kwamba mitandao ni jukwaa kubwa na huru kuweza kuleta mabadiliko.
Hongera shangazi Maria
Bavicha Ubungo retweeted
“Bila kunitaja, Kwa niaba ya wanangorongoro naomba nimlipie mweshimiwa Lissu kwa kuwa amekuwa mzungumaji ya wanangorongoro, na watanzania kwa ujuma. Hivyo basi nitaliapia miaka 8, ambayo ni 960,000. Baadaya wiki tatu kutoka sasa. Mimi sio CHadema. Michango yangu natuma kwako.”
Bavicha Ubungo retweeted
Ladies and Gentlemen, Allow me to introduce our Co- Host of Today's Event, Mr. Amani Gorugwa From Northern Zone
#Corporate
#Class
Lets #JoinTheChain
Bavicha Ubungo retweeted
Asanteni sana Wana wa Shinyanga toka pale Kanda Maalum, Kanda ya @ChademaSerenget
#ShilingiYetuNguvuYetu
#JoinTheChain
Please marafiki na Followers wangu wa nguvu #JoinTheChain #ShilingiYetuNguvuYetu instagram.com/p/CaaG0MPsmrB/…
Please marafiki na Followers wetu wa nguvu #JoinTheChain #ShilingiYetuNguvuYetu
Bavicha Ubungo retweeted
Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
Mahakama Kuu Division ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewakuta washtakiwa @freemanmbowetz na wenzake kuwa na kesi ya kujibu na Mahakama imemfutia mshtakiwa wa kwanza kesi ya 6 iliyokuwa inamkabili yeye mwenye na kubaki na Mashtaka matano. xitter.cf/ChademaTz/status/14946…

























