Pinned Tweet
Taasisi yoyote ya umma inaweza kufa kifo cha asili wakati wowote ule bila kujali ukongwe wake ikiwa tu itajitenga na misingi ambayo kupitia hiyo taasisi ilipata kuanzishwa.
Without winning public confidence we are the living dead.
Happy New Year CDM Family ❤
Nicholous Mvanda retweeted
Tume imekaa kimya vifo vya mamia ya watanzania, haijasema kuhusu fidia za wahanga na ndugu
(reparation)kuwafuta machozi. Watu wamekosa biashara na mawasiliano kwa kukosa Internet, wamekosa uhuru wa kwenda wapendako.
Uhalali wa kufungwa kwa Lissu wanautolea maelezo kurasa 12
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) imesema hatua kuu za kisheria katika kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, zilifuata taratibu za sheria, huku ikisisitiza kuwa kutoridhishwa na hukumu kunapaswa kushughulikiwa kupitia njia za kisheria, ikiwemo kukata rufaa.
Mwenyekiti wa CHRAGG, Dunford George Mpelumbe, amesema Tume hiyo haijatoa uamuzi wa kuunga mkono wala kupinga hukumu iliyotolewa dhidi ya Lissu, akieleza kuwa mamlaka ya kutathmini usahihi wa hukumu na ushahidi uliotumika yako chini ya Mahakama.
Katika taarifa ya msimamo iliyotolewa Novemba 13, 2026, Mpelumbe amesema tathmini ya Tume ilijikita katika masuala ya haki za binadamu na utawala bora yaliyohusiana na mwenendo wa kesi hiyo, badala ya kuingilia kazi za Mahakama.
"Tume haiungi mkono wala kupinga hukumu au adhabu iliyotolewa dhidi ya Ndugu Tundu Antiphas Lissu," amesema Mpelumbe katika taarifa hiyo, akibainisha kuwa masuala ya tafsiri ya sheria na usahihi wa hukumu yanapaswa kushughulikiwa kupitia taratibu za kimahakama.
Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, ilimuachia huru Lissu katika shtaka la uhaini Novemba 6, 2026, lakini ikamkuta na hatia ya kosa la uchochezi na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela.
CHRAGG imesema uchunguzi wake wa nyaraka za kesi umeonesha kuwa hatua kuu za kimahakama, kuanzia kukamatwa kwa Lissu, kufikishwa mahakamani, taratibu za awali za kesi hadi usikilizwaji wake, zilifanyika kwa kuzingatia mfumo wa sheria za mwenendo wa makosa ya jinai.
Tume hiyo imeeleza kuwa Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 na kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku iliyofuata.
Upande wa mashtaka ulifunga ushahidi wake Agosti 17, 2026, baada ya kuita mashahidi 17 kati ya 30 waliokuwa wameorodheshwa. Agosti 21, Mahakama iliamua kuwa Lissu alikuwa na kesi ya kujibu na kumtaka kuwasilisha utetezi wake, uliokamilika Septemba 18 mwaka huo.
Hata hivyo, Mpelumbe amesisitiza kuwa kufuatwa kwa taratibu za mwenendo wa kesi pekee hakutoshi kuthibitisha kuwa wajibu wote wa kulinda haki za binadamu umetimizwa.
Nicholous Mvanda retweeted
DPP Mwakitalu na mahakama ya Tanzania chini ya Jaji mkuu Masaju.
Mnafuta mfumo wa vyama vingi vya kisiasa Tanzania, kwa kutumia ofisi ya DPP na mahakama za Tanzania.
Mnawafungulia wapinzani wa kweli wa ccm na Samia, kesi za uongo za Ugaidi na uhaini na kuwafunga kwa hila.
Ni wajibu wetu Watanzania kukataa kurudishwa kwenye mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa ccm.
Kikubwa zaidi historia itakuandika Mwakitalu na Masaju mnavyopaswa kuandikwa.
Nicholous Mvanda retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Nicholous Mvanda retweeted
Bila kuathiri maazimio ya Kamati Kuu yatakayotolewa na Viongozi Wakuu wa Chama napenda kuwahakikishia Watanzania wote kuwa CHADEMA ni imara sana leo. Ni chama kilichojitoa kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa Mamumiani wa CCM.
Nicholous Mvanda retweeted
Tundu Lissu: One of Tanzania’s most formidable and influential opposition politicians, whose outspoken politics have made him a major challenge to the country’s ruling establishment.
Nicholous Mvanda retweeted
Katibu mkuu CHADEMA Mh John John Mnyika na mgeni rasmi wa mkutano mkuu Jimbo la kibaha mjini akiwasili kwenye kikao hiko.
Nicholous Mvanda retweeted
Makamu Mwenyekiti wa chama Bara akizungumza katika Kongamano la wasomi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, lililoandaliwa na Chaso, ambapo amejadili masuala mbalimbali yanayohusu demokrasia, utawala bora na nafasi ya vijana wasomi katika maendeleo ya taifa.
Nicholous Mvanda retweeted
May 16,2026 @ChademaTZ2 ilizindua operation #katibampya, & #FreeTundulisu mjini katoro Mkoani Geita, Makamu mwenyekiti wa chama mh. @HecheJohn na Makam zanzibar walianza kwa uzinduzi wa vizimba vya chama ndani ya katoro, Vizimba vimevunjwa na wasio julikana wameondoka na bendera!
Nicholous Mvanda retweeted
Usiku huu RCO Mwanza amedhibitisha @AdvocateSailenc Mwenyekiti CHASO Mwanza anashikiliwa Mwanza central Police station na anatuhumiwa kwa kuhamasisha maandamano ya July 7, kesho ahsubuhi Mawakili wetu watafika kutoa msaada wa kisheria. BAVICHA tutaongea kwa hatua zitakazofuata.
Nicholous Mvanda retweeted
Chama kikuu cha Siasa Tanzania kikizungumza na Wananchi wa Karatu leo..
Asanteni Karatu #FreeTunduLissu
Endelea kuchangia chama kupitia 0744446969 Chadema HQ
Nicholous Mvanda retweeted
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. @jjmnyika, akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa Kivinje leo, tarehe 03 Juni 2026.
Nicholous Mvanda retweeted
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn Kilwa Kivinje leo tarehe 2 Juni 2026.
Nicholous Mvanda retweeted
Mkutano wa hadhara, Kilwa Kivinje, Mkoa wa Lindi, Juni 03, 2026. Atakuwepo Mhe. @AdvMahinyila, Mwenyekiti Bavicha Taifa.
Nicholous Mvanda retweeted
Mkutano wa hadhara, Kilwa Kivinje, Mkoa wa Lindi, Juni 03, 2026. Mgeni rasmi Mhe. @HecheJohn
Nicholous Mvanda retweeted
Makamu Mwenyekiti Bawacha Taifa na Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Mbeya Mhe.Elizabeth Mwakimomo atakuwepo katika Kongamano Kubwa la Wanawake Mkoa wa Mbeya
#FreeLissu
#KatibaMpya
















































