Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na usiaminike.
13
Nice Sumari retweeted
"Wanyama hufa Binadamu hufariki ili kujitofautisha na wanyama Binadamu lazima aache Historia ambayo itakumbukwa Ndivyo alivyifanya Mzee wetu Mtei"Amesema Mwenyekiti wa Bavicha Taifa @AdvMahinyila kwenye Ibada ya kumuaga Babu yetu na Muasisi wa CHADEMA Hayati Edwin Mtei.
Muasisi wa Chadema hayati Edwin Mtei. Rest in peace comred 🫡🕊️.
Viongozi wa Bavicha kutoka maeneo mbalimbali wakiwa Msibani kwa Muasisi wa CHADEMA Hayati Edwin Mtei,@JustineOctavian Mwenyekiti Bavicha Mkoa wa Geita,@AminielMbaga Mwenyekiti Mkoa wa Arusha, @SheilaMchamba Mwenyekiti Jimbo la Kigamboni, @NiceSumari91109 katibu Jimbo la Kibamba.
Tunashukuru MUNGU kwa maisha ya Mzee wetu Edwin Mtei na mchango wake kwa chama na kwa Taifa 🕊️🕯️.
4
27
Nice Sumari retweeted
Ukidanganya wakati unaomba msamaha ni DHARAU. Njia Pekee ya kuwasaidia wasanii ambao hawajatambua umuhimu wa kusimama na jamii ni kuendelea kutowapa ushirikiano. Unfollow na tusinunue kazi zao. Hiyo inapaswa kuwa message yetu vijana ambao mwaka 2025 tumeumia vyakutosha. TUONGEZE.
Shida wanabeti awataki kumtafuta adui wakweli wanaangaika na sisi wanapotezauda siku wakijua watakuwa wamesha chelewa. @NdeluleMus62238
Hivi chadema imeikosea nn serikali? Mbona Kila muda wanatekwa wao tu husikii ACT Wala chauma shida nn?@Nice_Gisunte @NiceSumari91109 @lucas_ngoto
2
1
93
Nice Sumari retweeted
Tunamtangaza rasmi Mzee Butiku kuwa kati ya wazee wetu walioharibikia ukubwani.
Sisi hatuna cha kujadiliana na muuwaji aliyedhulumu uhai wa maelfu ya Watanzania.
Amepora utashi wetu. Na bado anatufokea na kutuchamba kama vijakazi wake.
Respectfully, retire, Mzee Butiku.
Almighty God, on this sacred anniversary of my birth, I rise with profound gratitude for Your unwavering sovereignty over my life. Through seasons of obscurity and storms unseen, You have been my shield, my advocate, and my covering. You have orchestrated victories fought .
1
29
Nice Sumari retweeted
Many Tanzanians want an international independent investigation into the killings.
Three weeks after the election, there are many families still searching for their loved ones
Nice Sumari retweeted
BREAKING NEWS.🚨
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anataka kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki unaohusishwa na uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29.
WANANGU KUMEANZA KUCHANGAMKA.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Nice Sumari retweeted
Charles Hangaya, Tundu Lissu’s security guard, was abducted last night from his home in Mbweni, Dar es Salaam. His whereabouts remain unknown. Once again, this proves the regime’s utter failure to protect its citizens—and its choice to rule through fear and intimidation.@amnesty
Nice Sumari retweeted
Ninajulishwa kwamba, Mhe. Kaunya amepigwa Sana na Short za umeme amezeeshwa Pamoja na Zakaria Bubura katibu wa Vijana wilaya ya Bunda na waanambiwa wakubali kuwa wao ndio waliratibu maandamano Bunda
Nice Sumari retweeted
Ninachofahamu hakuna Damu ya Binadamu itaenda Bure. Inaumiza kuona vijana tunapoteza Uhai kama wadudu.
Nice Sumari retweeted
😂😂😂😂✅

































