Iam Babbur. retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Iam Babbur. retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!
Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.
Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.
Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).
Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.
Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee.
Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.
Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.
Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!
BAK MWABUKUSI
Iam Babbur. retweeted
All people of goodwill and supporters of democracy across the world are relieved to see the trumped up treason charges against Comrade Tundu Lissu collapse, following his acquittal today.
These charges should never have been brought in the first place. Lissu’s only crime was to call for basic reforms to the electoral architecture in Tanzania to guarantee a fair process. He has lost over two years of his life in custody as he fought off the charges.
We encourage Ndugu Lissu, the CHADEMA Party and all our Tanzanian brothers to take heart and remain strong in their pursuit of justice and freedom, in the knowledge that all forces of regression are usually ultimately defeated.
Iam Babbur. retweeted
“If you believe there is treason here, do not fear to pronounce it. If the evidence does not fit, do not hesitate to acquit. There is no smaller offense within treason.”
Lissu alikuwa mbele ya muda
Iam Babbur. retweeted
Issue 3, kudhihirisha nia kwa kutamka na kusambaza maneno hayo, imekufa pia.
Lakini Mahakama inataka kuanza kujadili 'minor offenses.'
Kutoka wapi? Kwa charge ipi? How?
Issues for determination zimekufa, tupeni mtu wetu msitupotezee muda hapa!!
Iam Babbur. retweeted
Hivi Jamii ina expect mwanaume a react namna gani pale Mwanamke anapomfuata kazini kwake kumfanyia fujo?
Iam Babbur. retweeted
Hivi mkiwa mnadate na mtu mnatakiwa kuongea nini kwenye simu zaidi ya dakika 20 kama hamna mada ya muhimu ya kujadili lakini?Maana nachoka kabisa kila muda naambiwa eti niambie naishia kusema nipo tu yaan sina content 😆😆
Iam Babbur. retweeted
Inaumiza na kukwaza sana😌
Unapojiona unapambana kwa jasho lako lote kuukimbia umaskini, lakini wenyewe umekung’ang’ania.
Unapofika mahali nguvu zako zinapokwisha, badala ya kukubali hali au kutafuta mbinu mpya, unajikuta unaanza kuwaita wenzako au hata wale waliopaswa kukuhurumia kuwa ni "MASKINI".
Ile ni denial🚶♀️
Kwa mazingira yalivyokuwa humu leo hapa lazima umetukanwa 😂😂
Inaumiza na kukwaza sana😌
Unapojiona unapambana kwa jasho lako lote kuukimbia umaskini, lakini wenyewe umekung’ang’ania.
Unapofika mahali nguvu zako zinapokwisha, badala ya kukubali hali au kutafuta mbinu mpya, unajikuta unaanza kuwaita wenzako au hata wale waliopaswa kukuhurumia kuwa ni "MASKINI".
Ile ni denial🚶♀️




















