Adam's suleiman retweeted
لن تترك الصلاة بعد هذا الفيديو بإذن الله!.
الشيخ.د/عبدالرازق البدر-حفظه الله-:
Adam's suleiman retweeted
As we start a new week, let’s not forget the reality of this life. Nothing is permanent, this world is temporary, and our ultimate destination is the Hereafter. 🙏
Adam's suleiman retweeted
Pamesemwa; 98% ya furaha ya NDOA iko katika kupuuzia mambo. Na huo ndio ukamilifu wa NDOA.
#Huba
Adam's suleiman retweeted
Amesema Mtume wa Allah: Mwanadamu anazeeka na matamanio mawili, huzeeka nayo; Kupenda Mali na maisha marefu. ( Sahihi Bukhar #6421 )
Adam's suleiman retweeted
Hapana shaka nyote mtapata misukosuko katika Mali zenu na nafsi zenu. ( Quran 3:186 )
Mola wetu Mlezi, tujalie subra njema.
Adam's suleiman retweeted
Kila mtu akikupa kisogo, mama yako anabaki kuwa mtu wa kukupigia makofi. Mama ni moyo mwingine kwako.
Ee Allah! Wape furaha mbili mama zetu, duniani na katika Pepo yako.
Adam's suleiman retweeted
Lakini nyinyi mnakhiari na maisha ya dunia! Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi. Hakika haya yamo katika vitabu vya mwazo. Vitabu vya Ibrahim na musa. ( Surat Al-A'laa 16-19 )
Rabbi wetu! Tupe mema duniani na Akhera, na utukinge na adhabu ya moto.
Adam's suleiman retweeted
Na mkewe mchukuzi wa kuni.
( Al-Masaad #4 )
#Ummu_Jamil mkewe ( Abu Lahab ) hakuhuifadhi ulimi wake, wote hawa Allah akawangamiza na zisiwafae kitu mali zao. Basi tuzihifadhini ndimi zetu, yatasalimika mambo yetu.
Wafitini hawaingii Peponi.
Adam's suleiman retweeted
Mna nini mbona hamsaidiani?
( Quran 37:25)
Naye Allah ndiye aliye kufanyeni #Makhalifa duniani, na amewanyanyueni baadhi yenu juu ya wengine daraja kubwa kubwa.. ( Quran 6:165 )
Na fanyeni wema. Hakika Allah huwapenda wafanyao wema.
( Quran 2:195 )
Adam's suleiman retweeted
Elimu iendane na matendo, na matendo yaendane na Ikhlasi.
Allah atukinge na unafiki.
Adam's suleiman retweeted
Mambo matatu usiyaone mepesi;
1) Deni,
2) Ugonjwa,
3) Ahadi.
Na mawili usiyapuuze:
1) Umri,
2) Wakati.
Adam's suleiman retweeted
Naiogopeni siku ambayo mtu hatomfaa mtu kwa lolote, wala hayatakubaliwa maombezi, wala hakitapokelewa kikombozi kwake. ( Quran 2:48 )
Rabbi! Na ufanye mzuri mwisho wetu.
Adam's suleiman retweeted
Ee Mola wahifadhi wake zetu, na mabinti zetu, na dada zetu, na wanawake wote waumini kutokana na kila baya na dhara, na uwaongoze wanawake ambao ni MASHARAMUTA na uwarudishe kwenye heshima ya dini yao mrudisho mzuri.
Adam's suleiman retweeted
Pamesemwa; Kipindi cha kwanza kaburini ni chenye kutisha. Mtu anasikia sauti za hatua za wapendwa wake na huku wakimgeukia mbali kwenda zao! Kisha ni ima mfazaiko wa milele au amani ya milele!
Ee Allah tunakuomba amani ya milele kwetu sisi na tuwapendao.


















