Sameer retweeted
"Do you know why we Recite the ATTA'HIYYAAT, in every Salah?
Attahiyyaat is a very important 'Dua' we repeat it in our daily prayers.
When I came to know the background, it actually melted my heart.
Attahiyat is actually a part of a conversation between Our Creator Allah SWT and our beloved Prophet Muhammad (pbuh) during his journey of Al Isra Wal Miraj.
When Prophet Muhammad (pbuh) met Allah SWT, he didn't say 'Assalam aleikum'.
What is someone going to say when he meets Allah SWT ?
We can't wish HIM peace because ALL sources of peace are through HIM.
So Prophet Muhammad (pbuh) said:
"Attahiyyaatu Lillahi Was Salawatu Wattayyibatu"
(All compliments, all prayer and worship are for Allah)
Allah replied:
"Assalamu Alaika Ayyuhannabiyyu 'Warahmatullahi Wabarka'tuhu"
(Peace be upon you, Oh Prophet and Allah's Mercy and Blessings).
To this, Prophet Muhammad (pbuh) replied:
"Assalamu Alaina Wa'ala'Ibadillahis Saa'liheen"
(Peace be on us and on all good slaves of Allah)
Note*
Prophet Muhammad (pbuh) included "us" in his reply...
(and on all good slaves of Allah)
And listening to this conversation between Allah and His Messenger (pbuh), the Angels said:
"Ash'had'u'un La ilahaillallahu Wa Ash'hadu Anna Muhammadun Abd'uhu Wa Rasooluh"
(I bear witness that no one is worthy of worship except Allah and I bear witness that Muhammad is His slave and Messenger).
Subhan Allah!
I now know the background of this conversation and its importance in our daily prayers and how the Salat was prescribed to us.
Now that you too know, what do you think you should do with it. Imagine if your friends read and know what you know just because of you !!!
سبحان الله"
Sameer retweeted
DISCLAIMER: This video is shared strictly for humanitarian,charitable and medical fundraising purposes to help a child in need of urgent medical care. It is not intended to exploit,harm or violate the dignity or privacy of the child. All support and donations are intended for the child's medical needs. Thank you for your compassion.
Anaitwa Rachel anael tito,mama wa watoto watatu-AMEKIMBIWA NA MUME KWA SABABU MTOTO ANA CHANGAMOTO HII. Huyu mtoto anachangamoto nyingi alizaliwa nazo kama ambavyo mama yake anaelezea(inaumiza na imenifanya nitoe machozi). mtoto huyu alizaliwa na
1.kichwa kikubwa
2.mgongo wazi
3.shida ya moyo
4.shida ya figo
5.amepooza kuaniza kiuoni kwenda miguuni
Huyu mtoto kashafanyiwa operesheni 8,ndio nane. kwa sasa anatakiwa akafanyiwe operesheni ya 9 ambayo ni ya MOYO. Gharama za matibabu hayo ni 7,000,000 (milioni saba).
Mama huyu hana uwezo wa kumudu gharama hizi peke yake. Anahangaika kulea watoto wake kulipa kodi ya nyumba na kugharamia mahitaji ya mtoto anayehitaji uangalizi wa karibu kila siku. Leo tunaomba tushirikiane kumsaidia. Kila mchango una thamani, hata kama ni mdogo.
NAMNA YA KUTOA MSAADA
Vodacom M-Pesa: 0750876263
Jina: Rachel anael Tito
Tafadhali changia kwa moyo wako na usisahau kusambaza ujumbe huu. Huenda kushiriki kwako kukawa sababu ya mtoto huyu kupata msaada anaouhitaji.
Mungu awabariki wote watakaoguswa na kuunga mkono ombi hili. ❤️🙏
#doktamathew #love #highlights #family
Sameer retweeted
إعادة نشر .. صرخة إنسانية لكل قلب حي طفلة بريئة بتستنجد بيكوا بعد ربنا !! اعملوا ريتويت فضلاً RT الدال على الخير كفاعله
الطفلة "جنات يتيمة بتمر بظروف صحية صعبة وقاسية، وجع الأطفال بيقطع القلب،
بقالها يومين علي الوضع ده ومين أحق منا إننا نكون سند ليها ونمسح دمعتها عندها استسقاء محتاجة عملية تركيب صمام علي المخ بتكلفة 40000 جنيه ساهموا باللي ربنا يقدركم عليه.
وعمليتين كمان باقي منهم 20 ألف جنيه
المرض ما بيستناش، وكل مشاركة أو تبرع -مهما كان صغير في نظرك- هو أمل جديد بيرجع لها ولأهلها. ماتخليش المنشور يوقف عندك، يمكن كلمة منك أو "ريتويت" توصل لفاعل خير يفرج كربها كله.
«من فرج عن مؤمن كربة من كرب الدنيا فرج الله عنه كربة من كرب يوم القيامة»
01068837579
انستاباي ومحفظة وفيه حساب بنكي
(ما نقص مال من صدقه)
تجوز زكاة المال
Sameer retweeted
Sahihi Bukhari:481
Amepokea Abu Musa(Allah amridhie)
Mtume ﷺ amesema:
“Muumini kwa muumini mwenzake ni kama matofali ya ukuta, kila moja likiliimarisha jingine.”
Wakati akisema hivyo, Mtume ﷺ aliunganisha vidole vya mikono yake kwa kuviingiza baina ya vidole vya mkono mwingine.
Sameer retweeted
[Elimu Ya Dini Ni Lazima Kusoma]
Anasema Shaykh 'Abdul'Azizi bin 'Abdillah bin Baaz رحمه الله:
"Elimu Ziko Za Aina Mbili,
1. Elimu Ya Dini
2. Elimu Ya Kidunia,
Na Elimu Ya Dini Ni Wajibu Kwa Kila Aliyekalifishwa Na Sheria Kuwa Ni Mwenye Kujifunza Yale Aliyomuwajibishia Allahﷻ, Na Yale Ambayo Allah Kamuharamishia, Na Yale Ambayo Haifai Yeye Kuwa Mjinga Kwayo Kama Ambavyo Wamelisema Hilo Wanachuoni,
Jambo La Wajibu Kwa Kila Aliyetenzwa Nguvu Na Sheria Katika Wanawake Na Wanaume Ajifunze Yale Ambayo Allah Kamuwajibishia Na Awe Ni Mwenye Kutafta Ufahamu Katika Dini Yake, Ayafahamu Yale Ambayo Allah Kumuwajibishia Katika Swala Na Mengineyo, Mpka Ayafahamu Yale Ambayo Kamuharamishia Allah Katika Ushirkina Na Mengineyo, Na Mpka Amwabudu Mola Wake Kwa Uoni [Elimu]
[فتاوى نور على الدرب (٢٥/٩)]
Sameer retweeted
Assalaamu alaykum. Natumaini mpo salama. Ndugu zangu leo nimekwama kidogo. Kama unaweza nisaidia hela ya bando kiasi chochote, naomba nitumie kwenye Vodacom. 0750909038.
Jina: Juma Yahaya Mohamed
Sameer retweeted
Allahumma salli ‘ala Muhammadin wa ‘ala ali Muhammad, kama sallayta ‘ala Ibrahima wa ‘ala ali Ibrahim, innaka Hamidun Majeed.
Allahumma barik ‘ala Muhammadin wa ‘ala ali Muhammad, kama barakta ‘ala Ibrahima wa ‘ala ali Ibrahim, innaka Hamidun Majeed.
Sameer retweeted
USHAHIDI KWAMNA #ALLAH YUKO JUU MBINGUNI JUU YA VITU VYOTE📚💦
Allaah (Ta´ala) amesema:
1_A
أَأَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يَخْسِفَ بِكُمُ الْأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ أَمْ أَمِنتُم مَّن فِي السَّمَاءِ أَن يُرْسِلَ عَلَيْكُمْ حَاصِبًا ۖ فَسَتَعْلَمُونَ كَيْفَ نَذِيرِ
”Je, mnadhani mko katika amani na Aliyeko #mbinguni kwamba hatokudidimizeni ardhini, tahamaki hiyo inatikisika? Au mnadhani mko katika amani na Aliyeko mbinguni kwamba hatokutumieni kimbunga [cha mawe], basi mtajua vipi [makali] maonyo Yangu.”?
(67:16-18)
2_B
وَهُوَ الْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِ
“Naye ni Mwenye kudhibiti hali ya kuwa juu ya waja Wake.”
( 06:18 )
3_C
الرَّحْمَـٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ
”Mwingi wa Rahmah amelingana juu ya ´Arshi.”
(20:05)
4_D
إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ
“Kwake linapanda neno zuri na tendo zuri hulitukuza.”
(35:10)
5_E
هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۚ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا ۖ وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ
“Yeye Ndiye aliyeumba mbingu na ardhi katika siku sita kisha akalingana juu ya ‘Arshi. Anajua yale yanayoingia ardhini na yale yatokayo humo na yale yanayoteremka kutoka mbinguni na yale yanayopanda humo"
(57:4)
Dalili ya kwamba Allaah Yuko juu ya viumbe Vyake ZIKO NYINGI MNO
يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ
“Ee ‘Iysaa, hakika Mimi ni Mwenye kukuchukua na Mwenye kukupandisha #Kwangu.”(03:55)
🫴_NENO kupandisha kwangu ina maana yuko juu
بَل رَّفَعَهُ اللَّـهُ إِلَيْهِ
”Bali Allaah Alimnyanyua Kwake.”(04:158)
🫴_alimnyanyua kwake....ni ishara ya wazo yuko juu
إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ
“Linapanda neno zuri (dhikru-Allaah), na kitendo chema (cha ikhlaasw) Hukipa hadhi (Hukitakabali).” (35:10)
🫴_kupanda kwa vitendo vyema kwenda kwake...ina ishara yuko juu
يَا هَامَانُ ابْنِ لِي صَرْحًا لَّعَلِّي أَبْلُغُ الْأَسْبَابَأَسْبَابَ السَّمَاوَاتِ فَأَطَّلِعَ إِلَىٰ إِلَـٰهِ مُوسَىٰ وَإِنِّي لَأَظُنُّهُ كَاذِبًا
“Ee Haamaan! Nijengee mnara mkubwa ili nifikie njia. Njia za mbinguni ili nimchungulie Ilaah (Anayestahiki kuabudiwa kwa haki) wa Muwsaa, kwani hakika mimi namdhania ni muongo.” (40:36-)
🫴_hii ina maanisha musa alimwambia firauni kwamba Allah yuko juu...ndio maana akamkejeli musa kumwambia ngoja nipande nikamuone huyo mungu wako mbinguni
AMA AYA ZINAZOSEMA ALLAH YUKO PAMOJA NA VIUMBE WAKE MAANA YAKE SI KWAMBA YUKO PAMOJA NAO KWA DHATI YAKE
BALI NI YEYE ELIMU YAKE IKO POPOTE IMEVIZUNGUKA VITU VYOTE KWA KUSIKIA KWAKE NA KUVIONA KWAKE
Dalili ya Allaah kuwa pamoja na viumbe Vyake kwa Ujuzi Wake
هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۚ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا ۖ وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ ۚ وَاللَّـهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ
”Yeye Ndiye Aliyeumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha Istawaa juu ya ‘Arsh (Yuko juu kwa namna inayolingana
na Utukufu Wake Yeye Mwenyewe Allaah), Anajua yanayoingia ardhini, na yatokayo humo, na yanayoteremka kutoka mbinguni, na yanayopanda humo, Naye Yu Pamoja nanyi (kwa ujuzi Wake) popote mlipo. Na Allaah kwa myatendayo ni Baswiyr
(Mwenye kuyaona).” (57:04)
مَا يَكُونُ مِن نَّجْوَىٰ ثَلَاثَةٍ إِلَّا هُوَ رَابِعُهُمْ وَلَا خَمْسَةٍ إِلَّا هُوَ سَادِسُهُمْ وَلَا أَدْنَىٰ مِن ذَٰلِكَ وَلَا أَكْثَرَ إِلَّا هُوَ مَعَهُمْ أَيْنَ مَا كَانُوا ۖ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا عَمِلُوا يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ
”Hauwi mnong’ono wa (watu) watatu isipokuwa Yeye ni wa nne wao (kwa ujuzi Wake), na wala (hauwi mnong’ono wa) watano isipokuwa Yeye ni wa sita wao (kwa ujuzi Wake), na wala (hauwi mnong’ono wa) chini (kuliko) ya hivyo, na wala (wa) wengi zaidi isipokuwa Yeye Yu pamoja nao (kwa ujuzi Wake) popote watakapokuwa..." 👇
Sameer retweeted
آثار استفاده از فسفر سفید بر بدن کودکان فلسطینی دیده میشود!
فسفر سفید هنگام سوختن میتواند به پوست بچسبد و سوختگیهای عمیق ایجاد کند و دود آن نیز به چشمها و دستگاه تنفسی آسیب میزند.
کودکان، قربانیانی هستند که آثار این جنگ را با بدن و زندگی خود تحمل میکنند.
#غزة
Sameer retweeted
168. Ni yepi yanayomlazimu mwanamke ambaye amefiwa na mume wake?
Swali 168:
Dada anauliza ni yepi yanayomlazimu mwanamke ambaye amefiwa na mume wake[1]?
Jibu:
Imepokelewa katika Hadiyth mambo ambayo anatakiwa kujiepusha nayo anayekaa eda. Kuna mambo matano yanayotakikana kwake:
1 – Kulazimiana na nyumba ambayo amekufa ndani yake mume wake ilihali anaishi ndani yake. Atatakiwa kubaki hapo mpaka pale itakapomalizika eda. Eda yake ni miezi minne na siku kumi. Isipokuwa akiwa ni mjamzito. Atatoka katika eda yake kwa kule kujifungua ujauzito wake. Allaah (Subhaanah) amesema:
وَأُولَاتُ الْأَحْمَالِ أَجَلُهُنَّ أَن يَضَعْنَ حَمْلَهُنَّ
“Na wenye mimba muda wao [wa eda] watakapozaa mimba zao.”[2]
Asitoke ndani yake isipokuwa kwa mahitaji au dharurah kama vile kwenda hospitali wakati anapoumwa, kununua anachohitaji sokoni kama mfano wa chakula na vyenginevyo akiwa hana awezaye kumsimamia mambo hayo.
Vivyo hivyo kama nyumba itabomoka basi atatakiwa kutoka ndani yake na kwenda katika nyumba nyingine. Sababu nyingine kama hana ambaye anaweza kumliwaza na anachelea juu ya nafsi yake, basi katika hali hiyo hapana vibaya kwa yeye wakati wa haja.
2 – Haifai kwake kuvaa mavazi ya mapambo; si ya manjano, ya kijani wala nyingine. Avae mavazi yasiyokuwa ya mapambo. Ni mamoja ni meusi, ya kijani au mengine. Muhimu vazi lisiwe la mapambo. Hivi ndivo alivyoamrisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
3 – Ajiepushe na mapambo katika dhahabu, fedha, almasi, lulu na mfano wake. Ni mamoja iwe shanga, bangili, pete na mfano wake mpaka eda imalizike.
4 – Ajiepushe na manukato. Asijitie manukato si kwa uvumba wala manukato sampuli nyingine. Isipokuwa katika hali ya kutwahirika kutokamana na hedhi peke yake. Hapo hakuna neno kujitia manukato kidogo.
5 – Ajiepushe na wanja. Haifai kwake kujitia wanja wala kitu chenye maana ya wanja katika vinavyoupamba uso. Tunakusudia urembo maalum ambao pengine akawafitinisha watu kwao. Kuhusu kujipamba kwa kawaida kwa maji na sabuni hapana vibaya.
Lakini wanja unaopamba macho mawili na vyenginevyo vinavyofanana na wanja katika vitu ambavyo vinafanywa na wanawake usoni. Haya asiyafanye.
Mambo haya matano anatakiwa kuyahifadhi yule ambaye amefiwa na mume wake.
Kuhusu yale yanayodhaniwa na baadhi ya wasiokuwa na elimu na na wakazua ya kwamba eti asimzungumzishe yeyote, eti asizungumze na simu, eri asioge wiki nzima isipokuwa mara moja, eti atembee miguu peku, eti asitoke kwenye nuru ya mwezi na mfano wa mambo ya ukhurafi kama haya hayana msingi wowote.
Bali inafaa kwake kutembea nyumbani kwake akiwa miguu peku na akiwa na viatu, akidhi mahitaji yake nyumbani, apike chakula chake na chakula cha wageni wake, atembee chini ya kivuli cha mwezi kwenye paa na kwenye bustani ya nyumbani, aoge pale anapotaka, amzungumze amtakaye maneno yasiyokuwa na mashaka, apeane mikono na wanawake na vivyo hivyo Mahaarim zake. Kuhusu wasiokuwa Mahaarim zake haifai.
Inafaa kuondoa mtandio juu ya kichwa chake akiwa mbele ya Mahram zake. Asitumie hina, zafarani wala manukato katika nguo wala kahawa. Kwa sababu zafarani ni aina moja wapo ya manukato. Vilevile haijuzu kwake kuchumbiwa. Lakini hapana vibaya kufanyiwa ishara. Kuhusu kumuwekea wazi kwamba anataka kuchumbiwa haifai.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (22/188-190).
[2] 65:04
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 124-126
Imechapishwa: 31/01/2022
firqatunnajia.com/168-ni-yep…
Sameer retweeted
UKIWEZA KUTUSHIKA MKONO HATA KWA CEMENT MFUKO MMOJA BASI FANYA HIVYO MAANA TUNAJENGA MSIKITI HUU KWA KUPITISHA BAKULI KWA WAUMINI WENZETU
TANGULIZA KHERI UTAIKUTA KWA الله
No ya kutumia mchango wako ni hii
0712474747
Tutahakikisha hata kama tunatuma sh 1000 inajenga msikiti
Sameer retweeted
Dubai kwa sasa kama Europe kuna Kazi za masaa ili mradi uwe na visa ya kuishi hapa namaanisha Emirates ID kuna kazi unalipwa kwa masaa unayofanya hata Attendance yako una sign tu kwenye simu na unalipwa mwisho wa mwezi hata mwajiri unaweza usimuone na LEGIT
Maisha kokote 💯
Replying to @Mudimabiriani
Bro Mudi samahani niko out of topic hivi Kwa kijana anataka kuanza kujitafuta abroad Kwa kuanzia kati ya hapo middle East na Europe labda wapi ni rahisi na potential zaidi kuanzia ?
Sameer retweeted
Kazi nisaidie bila kunilipa chochote nifanye kwa LOVE bado pia nijibu maswali ya kidwanzi 📌
Oya Sixbert Mmanda sina muda huo wa kujibu maswali ya kimaandazi na design ya KIPERA Maziwa 👊🏿💯
TUISHI HUMO
Sameer retweeted
Tsh 1,156,094,750/=
Bei ya kutupa iko Kwenye OFFER📌
ROLEX Yellow Gold
Dial Color(S) :Pavé diamond
Movement Type :Automatic
Case Material(S) :Yellow Gold
Case Size (Mm) :40
☎️WhatsApp +255719068333
Mudi in Dubai 🇦🇪
Businessbay/DubaiMall
#MuuzasaaOG
#mudiindubai #موزاسا
Sameer retweeted
Miaka 20-35 kama umemaliza kusoma na hakuna jipya kizimkazi Bongo unahitajika uchimbe FASTA upande ndege uwe abroad upate exposure ya maisha maana maisha ni FASTER unahitajika kuwa QUICKER
Utaepuka kukaa maskani na kukosa la
kufanya AKILI inahitajika ichangamke na ifunguke FASTA

























