Adam's suleiman (@AdmireAs) header
Adam's suleiman (@AdmireAs) profile picture

Muslim

Arusha, Tanzania
Joined April 2013
Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)Photo by Adam's suleiman (@AdmireAs)
Enyi mlio amini! Bila shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi za shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa. ( Quran 5:90 )
3
58
213
17,049
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima. Wala hamuhimizani kulisha masikini. Na mnakula urithi ulaji wa pupa. Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi. ( Surat Al-Fajr 17-20 )
1
8
167
Usiwadhanie kabisa wale wanao furahia kwa waliyo yafanya, na wakapenda kusifiwa kwa wasiyo yatenda, usiwadhanie watasalimika na adhabu. Yao wao ni adhabu chungu. ( Quran 3:188 )
1
10
213
Hakika wanafiki watakuwa katika tabaka ya chini motoni, wala hawatapata yeyote wa kuwanusuru. ( Quran 4:145 ) Hakika wema watakuwa katika neema. ( Quran 82:13 )
1
5
156
Usihuzunike. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi. ( At-Tawba #40 )
1
5
147
Ama mimi nimeamrishwa nimuambudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu, na ni vyake tu vitu vyote. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu, wenye kunyenyekea. .... Qari; Amir Husawi. ( Surat An-Naml 91-92 )
2
3
277
لن تترك الصلاة بعد هذا الفيديو بإذن الله!. الشيخ.د/عبدالرازق البدر-حفظه الله-:
11
763
5
2,523
98,164
Adam's suleiman retweeted
You’ll never regret taking this advice 🤍
3
280
4
1,336
25,479
Adam's suleiman retweeted
As we start a new week, let’s not forget the reality of this life. Nothing is permanent, this world is temporary, and our ultimate destination is the Hereafter. 🙏
31
1,141
28
4,880
76,011
Na mwenye kumfanya Sheitani kuwa mlinzi wake badala ya #Allah, basi huyo amepata khasara ya dhahiri. ( Quran 4:119 )
1
4
9
282
Na laiti wangeli ridhia kile alicho wapa #Allah na #Mtume wake, na wakasema #Allah anatutosheleza, #Allah atatupa katika fadhila zake- ( At-Tawba #59 )
1
8
178
Tunajilinda kwa #Allah kutokana na kudhulumu na kudhulumiwa, ufakiri na ukafiri. Tunajilinda pia kutokana na madeni makubwa na madogo, na matendo ya watu wa ( Kaumu Lut'i ) ushoga!
8
259
Tujikumbushe Pambano hili Kali
14
158
8
691
65,950
Mola wangu ameharamisha mambo machafu ya dhahiri na siri, na dhambi au uasi bila Haki. ( Quran 7:33 )
3
6
218
Pamesemwa; #Internet haiharibu jamii, bali ni kuwa jamii imeharibika na umedhihiri uhalisia wake kwenye #Internet.
6
145
Adam's suleiman retweeted
Pamesemwa; 98% ya furaha ya NDOA iko katika kupuuzia mambo. Na huo ndio ukamilifu wa NDOA. #Huba
2
4
19
280
Pamesemwa; Usiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie istahzaa, kwani haujui itakuwa hali yako kesho. Basi kuwa makini leo! Usiwe katika watukanaji, kesho ukawa miongomi mwa waliopewa mtihani. #Ulimi
1
3
171
Adam's suleiman retweeted
Replying to @AdmireAs
Aaamyna yaa Rabbil Alaa-Miiyna
1
1
26
#Wanadamu Je! Hawamtazami ngamia alivyo umbwa? Na mbingu ilivyo inuliwa? Na ardhi ilivyo tandazwa? Basi kumbusha! Hakika wewe ni mkumbushaji. ( Surat Al-Ghaashiyah 17-19 )
1
11
233
Na tulimpa #Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru #Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi #Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 ) Na hakika tukishukuru zitadumu neema. #Alhamdulillah
2
10
225
Amesema Hassan Al Basriy ( Allah marahamu ) Kuna mtu kama chakula! Haiwezekani kumkosa. Na kuna mwingine kama dawa, haitajiki ila baada ya muda. Na kuna mwingine kama #maradhi, ahitajiki, hatakikani kamwe. Tumuombe #Allah asijalie kwetu kuwa katika watu wasio hitajika ktk jamii.
1
1
6
167