Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula) profile picture
Mtwara, Tanzania
Joined September 2017
Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)Photo by Mdumula🇹🇿 (@warrenmdumula)
Mdumula🇹🇿 retweeted
Meta is now paying $5,000/month for just 2-3 hours of daily internet use. You can also make, If you have: 1. Internet 2. Mobile 3. Time I've prepared a FREE guide on how to get started: To receive it:- 1. Like & Retweet 2. Reply with "Send" (Make sure you're following me so I can DM you).
2,791
1,324
31
2,227
539,486
Mdumula🇹🇿 retweeted
OFFICIAL: 2022/23 NBC Premier League Team of the Season: Yanga — 4 players. Simba — 6 players. Singida Big Stars — 1 player. #AfricanFootball #TFFAwards2023
28
48
6
1,032
34,446
Mdumula🇹🇿 retweeted
Watu wanaodhaniwa kuwa ni wabaya sana wengi wao walikuwa wema sana, walijali sana, walipenda sana na wakathamini sana ila bahati mbaya upendo wao ukabatizwa jina la shobo. Wakachagua kuacha shobo na kuishi maisha yao, wakapewa jina jipya kuwa wana roho mbaya.
14
34
2
312
11,487
15 Unspoken rules that every man must follow:
6
143
5
935
370,480
Mdumula🇹🇿 retweeted
Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2005, Inafunguliwa chapuchapu kampuni moja.   Tarehe 29 September 2005 kampuni hii inapewa namba 54040 na msajili wa makampuni BRELA   Kampuni hii inaingiziwa pesa kiasi cha Tshs Bilioni 40 kutoka Benki kuu ya Tanzania.   Sie tukiwa tumelala usingizi!
58
168
3
906
244,272
JE, IJUMAA KUU HUWABUDIWA SANAMU!? Wakatoliki tunafanana na watu wanaofunguliwa kesi moja yenye vipengele vingi ili mshtakiwa akipangua hiki abaki na kingine na kingine mpaka akutwe na kosa la kuwekwa ndani. Katika suala la sanamu kuna mashtaka mawili,
56
108
1
960
70,957
KUFUNGA KULA KUNAVYOPONYA MAGONJWA SUGU 🚫 Wakristo na Waislam wote wanafunga kwa sasa. Hapa sipo kiimani, nipo kiafya zaidi. Hizi hapa FAIDA za kufunga zikiwemo KUKUPONYA na kujenga mwili himilivu. RETWEET Wengi Wajifunze…🙏 🧵...
19
122
7
314
56,525
Mdumula🇹🇿 retweeted
"Simba sio underdog kwenye hii Michuano ,Binafsi namwona ni dark horse ambaye ana nafasi ya kufanya kitu , Mamelodi ni Timu kubwa na nzuri ila haimaanishi uitoe Simba kuwa haiwezi kufanya kitu !" "Simba aaichukuliwe poa kabisa , Simba asiomekane hana mwendo kabisa !
35
17
1,133
46,914
Mdumula🇹🇿 retweeted
Hata wajinga wakibishana na waerevu wanawaona waerevu ndo wajinga. Ni mtu wa tatu ndo anayejua mjinga nani.
62
89
5
2,254
62,237
🚨Mazda CX 5 A best option kwa Gari za Juu.. . Kama unapenda gari za juu na unapenda utofauti basi Mazda CX5 is the best.. . Ndani ya dakika moja nitakujuza kwanini hii ni best option kwa gari kama kina Harrier.. . Kaa vizuri andaa juice na kitumbua chako gonga RT tuanza safari..
51
199
11
528
Huyu Baleke ni Rashford mtupuuuuu
13
15
1
506
9,403
Mdumula🇹🇿 retweeted
Mistari 10 Ya Hekima Kutoka Kwa Mfalme Suleiman mwana wa Daudi📖 Thread -🧵👇
58
370
11
1,312
142,016
Mdumula🇹🇿 retweeted
Nimefanya kazi benki miaka kadhaa ya nyuma na moja ya kosa kubwa nimekua nikiliona kwa wafanyabiashara wengi wadogo wadogo ni uelewa mdogo juu ya maswala ya Kibenki na mikopo kwa ujumla mwisho wa siku biashara ina kutwa na mawili kati ya haya 🗞
97
359
12
1,821
287,013
Mdumula🇹🇿 retweeted
20 Unspoken Rules For Men: 1. Never shake a hand sitting down. 2. Protect who is behind you, and respect who is beside you.
86
1,900
46
8,263
1,419,316
Mdumula🇹🇿 retweeted
Mechi kubwa kuliko zote Weekend hii kwenye Soka la Afrika ni hii ya Simba dhidi ya Raja Casablanca. Macho na Masikio ya vyombo vya habari vya Afrika vipo Uwanja wa Makapa hapa Tanzania. Kila la heri Simba, kila la heri Tanzania.
23
22
918
17,303
179
153
6
2,281
80,738
Mdumula🇹🇿 retweeted
IFFHS has released the list of the best clubs in Africa between 1 February 2022 to 31 January 2023. 🔴🌍 Swahili: Majitu katika soka la Afrika. Arabic: عمالقة كرة القدم الأفريقية. French: Géants du football africain. If your club is here, let me know. #AfricanFootball
145
50
21
789
265,178
Kwanini Usinywe JUISI YA MATUNDA ya Kutengeneza Mtaani au Nyumbani 😎 Utakuwa umewahi kusikia, SUKARI ni adui namba 1 wa afya. Si ndio 🙅‍♂️ Sasa, nimekuelezea kwa lugha nyepesi kabisa. Kwanini juisi ya kutengeneza pia sio nzuri kwa afya yako. 🧵📢 RETWEET Wajifunze wengi 🙏
76
202
7
790
135,886
🍻Ndio Ilikua Ijumaa.. . Siku ambayo vijana wengi wala bata wanaikubali sana.. . Sababu ni siku weekend inaanza, wanaachana na kazi then wanapumzika.. . Ijumaa hii Agnes alikua bado yuko ofisini anamalizia vimeo vyake.. . Wenzake walikua washatoka wanaelekea Kidimbwi kula bata..
26
99
6
406
325,494