Maisha huwatunuku fungu jema wale wenye kujifunza, kuelewa na kufaulu mtihani wa rizki, subra na wakati.

Dar es salaam
Joined January 2020
Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam,Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in Education) ambao ameusomea kwa takribani Miaka 7. Mzee huyu anatupa funzo kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya Jua.
89
371
26
3,464
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
فقط في الظلام تعلم من نجومك Kwenye giza pekee ndiyo utazitambua nyota zako.
1
16
73
2,366
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inautangazia Umma kuwa Ripoti ya Takwimu za Sekta ya Mawasiliano kwa kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2024/2025 (Julai - Septemba) imetoka. Ripoti hii inapatikana kwenye tovuti ya TCRA kupitia tcra.go.tz
1
6
1
6
1,789
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Shukrani kwa watu wote wanaotusemea mema katika mazungumzo ambayo hatupo. Baraka za Mungu zisiwapungukie 🙏🏽
6
46
3
160
7,993
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Nimekuwa naulizwa kuhusu shinikizo la damu , Leo tupate elimu kwenye makala niliyofanya siku ya Kimataifa ya SHINIKIZO LA DAMU. Katika kujua ukubwa wa hili tatizo , katika kila wanawake watano, Mwanamke mmoja ana shinikizo la damu. Na kila kina baba wanne mmoja ana tatizo la shinikizo la damu. Na kiujumla tunapenda kila mwananchi ajue namba zake 5 i) Ajue namba za presha yake zipo ngapi ? ii) Ajue uzito wake upo ngapi kwa kutumia Body Mass index (BMI)? iii) Ajue kama ana kisukari au la? iv) Ajue saizi ya kiuno chake? v) Na mafuta (Cholesterol)?
67
1
138
7,806
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Usianzishe vita ambayo Mungu jakwambia pigana ~Mwl Mwakasege
1
22
1
97
2,599
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Chimbuko la yote mema ni familia zetu ambazo zinaishi kwenye mitaa na vijiji kila kona ya Tanzania. Ili tustawi kama jamii mahitaji yetu muhimu yanahitaji kupatikana kwenye ngazi ya mitaa na vijiji tutokayo kabla ya popote pale! Kwa kutambua hili, nakuhimiza Mtanzania mwenzangu ushiriki kikamilifu katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la Mkaazi ili uweze kuchagua viongozi wa serekali za mitaa, vijiji na vitongoji katika chaguzi zijazo. Hii ni hatua ya kwanza na ya msingi katika kuhakikisha unashiriki katika maendeleo ya mtaa wako na Kijiji chako ila pia ni chaguzi ambazo zinatupa msingi wa demokrasia yetu. Ushiriki wako ni muhimu sana
8
20
1
166
8,712
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
There’s two types of support that may look the same but don’t have the same intentions: 1. Those that see your potential and support you knowing how much it would mean for you. 2. ⁠Those that see your potential and support you knowing how much it would mean for them.
6
31
3
81
4,625
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
" Big winners at the VIP reception included Tanzania, which claimed double honours for 'Africa's Leading Destination' and 'Africa's Leading Tourist Board! Its iconic Serengeti National Park was named 'Africa's Leading National Park', with Mount Kilimanjaro taking the title of 'Africa's Leading Tourist Attraction" @WTravelAwards
8
61
5
140
7,480
October 21, 1999 - State Funeral of President Julius Nyerere, attended by Dr. Salim and Mrs. Amne Salim. October 20, 2024 - Four year anniversary since the passing of Mrs. Salim. 🤲🤲🤲
2
25
141
8,391
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Smart people talk less, but say more.
2
14
84
14,460
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
What an incredible event we had yesterday! Many thanks to Prof. @IssaShivji, @bmachumu, and everyone who joined us in-person and online to discuss the newly released book "Edward Moringe Sokoine: Maisha na Uongozi Wake". Key lessons from the late Sokoine, as articulated by Prof. Shivji: ➡️ The importance of integrity in leadership ➡️ The value of deliberate actions to advance inclusive development in rural Tanzania Missed the session? Watch it here: youtube.com/watch?v=069eHprh… #UONGOZILibrary #Sokoine #MaishaYaSokoine #UongoziWaSokoine
3
17
1
69
4,312
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Ukimpata mtu unayemwamini; mtu wa kukuruhusu umfungulie moyo wako; mtu mwenye uwezo wa kukusikiliza kwa umakini; mtu anayejitahidi kukuelewa bila kukulaumu; utakuwa umetibiwa karibu ya nusu ya magonjwa. Magonjwa yetu mengi ni kilio cha kukosa mtu wa kutusilikiza na kutuelewa.
10
54
9
194
8,500
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Young people invest in the 4Cs.. You need to be able to think CRITICALLY. Work in a COLLABORATIVE environment. COMMUNICATE effectively... Find solutions CREATIVELY.. In the age of AI and other digital disruptions. The soft skills to us are the hard skills for machines to master... Build those skills...
6
33
69
3,064
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
"Sote katika nyakati fulani fulani katika maisha yetu hata tuwe imara kiasi gani tunaweza kuyumbishwa na majaribu na mitihani. Hakikisha una mtu anayejua kulirejesha dishi lako katika masafa yake ama sivyo utachanganya chaneli. Maisha haya kila mtu na 'mrekebisha dishi' wake."
31
104
374
16,945
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Yessss Ji!!! 🇰🇷😍
683
3,620
491
49,890
1,694,699
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Contributions in the academic space!
6
14
3
91
5,477
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Accept that not all people will LIKE YOU and find peace knowing that not all people are LIKE YOU.
3
31
1
128
5,122
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Kukua katika Bwana ni mchakato ~Mwl Mwakasege.
1
39
145
2,835
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Mungu amekuacha unaishi mpaka saivi si kwa sababu wewe ni msafi, kuna kusudi Mungu ndani yako. ~Mwl Mwakasege
5
52
224
3,741
C L E M E N T 🦁🏷️ retweeted
Almighty. Keep our hopes alive as many feel broken and in need of comfort. It may be hard for some to focus on blessings when times are tough. When days look dark & stress runs high, guide us to the path of light. Aameen.
308
3,174
57
12,694
334,150