
Father of Aswfaa and Salwaa @Teacher. Influencer @Arsenal Fan. @Yangasc1935 fan
Southern Tanzania
Joined July 2013
- Tweets1.6K
- Following1.4K
- Followers1.2K
- Likes15.6K
العلماء 259+ retweeted
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania leo tarehe 23 Novemba, 2023 atatangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2023. Matangazo hayo yatarushwa mubashara (live) kupitia YouTube ya NECTA (Necta online) kuanzia saa 5:00 asubuhi.
العلماء 259+ retweeted
Boxers #brands
Bei 1 @ 7,000
(6pcs+ @ 6,000)
0762077008
DELIVERY💯 (not 4free)
KARIBUNI🙏
العلماء 259+ retweeted
الطيور تأكل النمل، وعندما تموت فإن النمل يأكلها. الظروف قد تتغير، فلا تقلل من شأن أحد.
Ndege huwala sisimizi. Na pindi ndege wanapokufa, sisimizi huwala ndege. Vipindi huwa vinabadilika, wala usimdharau yeyote.
العلماء 259+ retweeted
يقاتل الإنسان طوال حياته من أجل الدنيا، وعندما يموت لا تمنحه الدنيا سوى شبر من أرضها يُدفن فيه.
Binadamu maisha yake yote hupambana kwa ajili ya dunia. Lakini pindi anapokufa dunia haimpi chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo huzikwa ndani yake.
العلماء 259+ retweeted
Basi wasome hata Tweet zetu au watumiane Meseji waambiane wanafeli kushukuru 😂😂
العلماء 259+ retweeted
Wajomba leteni handle zenu kwanza tujuliane hali wakati tunaona hii agenda ya madaktari na 200k ikoje
العلماء 259+ retweeted
Tumalizie weekend hii na vibe la kibabe sanaa pale RED STONE na @serengeti_tm Chui hapoi kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
#YourRaceYourPace
#TakeABiteOutOfLife
#PaidPartnershipWithDiageo
#DrinkBetterNotMore
This post is from an account that no longer exists. Learn more
العلماء 259+ retweeted
Njoo tumalizie weekend Jioni hii na vibe la kibabe sanaa hapa RED STONE, Burudani kali na performance kutoka kwa Dogo Janja,Dj Allyb,T Bwoy na wengine wengi, usikoseeeee
#YourRaceYourPace
#TakeABiteOutOfLife
#PaidPartnershipWithDiageo
#DrinkBetterNotMore
This post is from an account that no longer exists. Learn more
العلماء 259+ retweeted
#YourRaceYourPace
#TakeABiteOutOfLife
#PaidPartnershipWithDiageo
#DrinkBetterNotMore – at Ruvuma, Tanzania
This post is from an account that no longer exists. Learn more
العلماء 259+ retweeted
South Africa wana Black Twitter Awards, waandaaji wa TOT Bonanza munaweza weka yenu mukawa munatoa tuzo mara mbili au moja kwa mwaka



















