Pinned Tweet
"Ni Rahisi Sana, Ongea Na Mungu, Mkumbushe Mungu Kuwa Wewe Ni Zao Lake Si Zao La Shetani, Hupaswi Kuteseka, Hupaswi Kuhangaika, Naye Atakuona Na Kushusha Mizigo Uliyoibeba Kichwani Kwako, Nawe Utapumzika Na Kuwa Huru Daima"
Jifunze kubalance MATARAJIO yako juu ya kitu chochote kwaajili ya usalama wa Afya yako ya mwili na akili- Tee
Good Morning Family.
100
BADDEST parrty of the year, revealing the location just 24 hours before, pioneering next level cocktails and flavors and now we’re taking the hype to new heights with #SmirnoffAirlines Keep following @smirnofftz #Noknownaddress #NoKnownAddress #WeDoWe #Smirnofftz #IYKYK
52
⚠️Waheshimu Watu Wote Lakini Uwe Na Mipaka Usizoee Kila Mtu, Wengine Ni Waovu Ukiwazoea Watakubadilisha Na Kukupoteza.📌
86
A dream doesn't become reality through magic;It takes sweat,determination and hardwork... #latehours #hardworkpays #nitalalauzeeni #dellmatBoss
1
56
Kuwatetea waTz ni zaidi ya kazi imagine mtu mpaka apate kampeni ya nyumba ni choo ndo ajenge choo unadhani mchezo😂
1
79
⚠️Usiogope kudharaulika katika Maisha, Harakati za kutimiza Malengo Yako hakuna Azijuaye zaidi Yako wewe.📌
Mungu akisema ndiyo, hakuna awezaye kupinga. Leo umeamka salama kwakua Mungu ametaka, usiache kumshukuru Mungu kabla ya kuanza kazi zako.
Good morning my lovely family
1
57
Si Kila Anayetabasamu hana matatizo.Wengine wanayo ila hawaoni sababu ya kukunja sura ili Kila MTU afahamu matatizo yao. Kunawatu ukiwaonyesha una matatizo wanakuongezea matatizo.Huna haja ya kumwonyesha Kila MTU anayekuzunguka kuwa una matatizo...
⚠️Baadhi ya watu wanangoja kuona ukishindwa, wengine wanangoja kuona ukikata tamaa.Waache wasubiri milele.🙏
2
85
"Mlio wa injini, vumbi linapaa, na kasi isiyo na kifani! 🏁🔥 Naivasha itawaka moto kuanzia 20 - 23 Machi 2025! Nani atatwaa taji mwaka huu? bit.ly/41LqGJV 🇰🇪🚗💨 #WRC #MagicalKenya #TwendeKwaJirani #SafariRallyKenya2025 @MagicalKenya





