George GTB (@the_funkmaster_) header
George GTB (@the_funkmaster_) profile picture

Civil Engineer, Entrepreneur, Artist, Rec producer

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2016
Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)Photo by George GTB (@the_funkmaster_)
Tundu Lissu; Kuna majaji wa mahakama hii na mahakama ya rufani wamejifunza mengi kutoka kwangu. Na kusema hivi sio kujitapa bali ni kusema tu nafahamu sheria nyingi zinazohusiana na uchaguzi. Nje ya ujuzi wa sheria kutokana na kuwa wakili, kuanzia mwaka 2021 mpaka wakati nakamatwa mwaka jana, nimefanya utafiti mkubwa sana kuhusu mfumo wetu wa uchaguzi, sio tu sheria bali mfumo mzima. Tangu enzi za ukoloni mpaka leo hii. Nisingekuwa napotezewa muda gereza la Ukonga, ningeshaandika kitabu kuhusu mfumo wa uchaguzi wa nchi hii na mauchafu yake yote.
12
166
940
25,772
Kwamujibu wa katiba yetu ya @ChademaTZ2 kwasasa @HecheJohn ndio kiongozi mkuu wa chama, kosa kubwa analofanya hajui kwamba kesi ya kisiasa huwa inaisha kisiasa,alikaa ndani week moja akaanza kulia anaumwa. Mwenyekiti @TunduALissu amesema jana jela sio pazuri. Heche ni dhaifu sana
5
17
26
32
24,526
George GTB retweeted
Msichotaka kujua na lazima mjue ni kwamba MARIDHIANO kati ya VYAMA VYA SIASA sio shida ya mwananchi! Mnatakiwa mfanye MARIDHIANO na wananchi! Tunataka nini?! Mmezoea kukaa wenyewe kwa wenyewe mkidhani kila mwananchi anawakilishwa na chama cha siasa! Haya endeleeni muone! #MaKaNTa
2
3
41
Hivi @VodacomTanzania leo mna shida gani mbona mpesa haifanyi kazi
1
1
51
MMEJIONA SASA KUWA HAMUELEWEKI MNATAKA NINI EEE!!? YANI NI HAMJUI MNACHOKITAKA!! Wapo waliotekwa wakarudi wakiwa hai, wakachagua kukaa kimya, mkawakebehi/mkawadhihaki/mkawa-bully/mkavuka na mipaka mkawatusi kwa kuwaambia walibakwa wakarekodiwa ndomana hawaongei tape zitavujishwa!! That’s Nonsense Mkawa mnawa-harass mkitaka waongee, waseme sababu, wataje wahusika. Hata tulipojaribu kutumia ART (music) ku-address hizo issues na sababu na wahusika, bado mkasema hamna kitu hapa, anaficha ficha huyu kawa muoga. Hata baada ya kutekwa ilipotoka Zimbabwe mkasema huyu sio tuliyemzoea, humu kaongea kwa upole sana, anatakiwa AWACHANE/AWANYEE!! Leo ametokea mwanangu Edgar @Sativa255 Amepitia tena makubwa zaidi, akaamua kufanya yale yale mliyokuwa mkiwataka wengine wayafanye….. Akaamua kutokukaa kimya akafunguka, akawataja wahusika kwa majina, akawaonyesha na picha, akaanza kukipaka kama mlivyokuwa mnataka. Akatoa na wimbo akakipaka kama mlivyotaka, kila Tweet zake 10, basi 8 anakiwasha na ushahidi anawapa, kama mnavyotaka!! Mbaya zaidi shauri lake halisikilizwi wala kufanyiwa kazi. LEO MNAPIGA U-TURN MNAMGEUKA TENA YEYE NA KUMWAMBIA AACHE,ASIWE AGGRESSIVE,ASIENDELEE KUONGEA,AKAE KIMYA. Tena wengine mnamkebehi mnamuona hayuko sawa tukio lilimuathiri!! That’s Nonsense SASA NYIE NDIO HAMKO SAWA KICHWANI!! MNAZINGUA SANA RAIA, HAMJUI MNACHOKITAKA. AM SORRY TO SAY THIS, BUT KUNA WATU KAMA MANYUMBU TU….flag FATA UPEPO. Haya mambo ni rahisi kuya-judge kwenye keyboard tu, lakini tema mate chini usiombee uya-experience. Jaribio la kuporwa uhai, then urudi hai na uone aliyetaka kukupora uhai yuko salama na anatamba…NYIE ACHENI KABISA NYIE!! Oi @Sativa255 Endelea kuishi chafu yangu ukishukuru/ukisifu na kuutukuza utukufu wa Mungu🙏 Salimia familia maskani…. Be Safe AllDay Homeboy!!
281
613
30
3,350
402,555
Mimi nipate la SIMBA arafu WIFE yeye apate la YANGA this time kila mtu ATAMBE kivyake vyake SIMBA na YANGA ni zetu wote UBAYA UBAYA
22
112
4,664
#Jasusi ameunganisha clips tatu za hotuba ya Mheshimiwa @freemanmbowetz hapo jana. Mpende au mchukie lakini Mheshimiwa Mbowe ni mzalendo ambaye amewapigania Watanzania kwa nguvu zake zote, ila tu Watanzania wenyewe wengi wao ndo watu wa ovyo tena wasio na shukrani. Historia itamuenzi Mheshimiwa Mbowe ambaye pia ameumizwa mno na wadhalimu wakati wa harakati zake za kuwapigania Watanzania. Jasusi atashukuru uki-comment kwa emoji 👏 na kum-tag Mheshimiwa Mbowe. Ni kidogo tunachoweza kumpa kama asante zetu kwake. .l instagram.com/reel/C_AUU_Sii…
94
96
4
485
30,789
George GTB retweeted
kitu kinaniumiza viongozi wenye nafasi za juu kudili na mambo ya chini for publicity,mnahangaika na madanguro ambayo ni tabia za watu wachache(ambayo ni nyege tu hata nyie mnashiriki ya kishua kwa siri)badala ya vikubwa kama ukosefu wa bima ya afya,ajira..Sisi kweli wajinga
162
284
17
2,488
105,448
Huyu naye anazungumza Nini hapa?
Eti wanaona aibu/wanashangaa ndege kuvutwa na kamba ziwa Victoria!!? Khaa sasa si ndio njia ya dharura ya kuokoa? Wananchi ndio Nchi, wamefanya jambo jema kuwajibika (Concerned Citizens), sio kila kitu Serikali ifanye. Kuna watu wameumbwa kulalamika daima. Tuwahurumie tu.
1
Why African nations' debts are different from that of USA.
430
5,153
584
9,428
I love this! So much proud of you girls
Replying to @FIFAWWC
Live it up, @Tanfootball! 💃 See ya in the quarter-finals! 🎉 #U17WWC | #KickOffTheDream
2
Fascinating scenes from the Young Africans Sports Club [Yanga SC] Parade in the streets of Dar Es Salaam after Winning Ligi Kuu, Tanzanian Premier League. 🇹🇿 📷 @YangaEnglish
109
746
75
4,507
Hadi sasa YANGA imeshindikana kufungwa na timu yoyote kwenye ligi kuu, labda sasa waamue tufungwe na mahakama tu. KILELENI.
18
13
1
249
Bakari Nondo Mwamnyetoooo Zabibu tamuuuuu jamani Yanga Sc 3-1 Dodoma Jiji Fc #VPL 🏆 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko – at Arusha, Tanzania
14
29
10
306
Check out this GotInstrumentals beat mixtape. Dope beats from me and many other producers🔥🔥
Here is the new volume of our legendary mixtape series!! GOT INSTRUMENTALS 78 now available🔥 Congrats to all the producers who won the contest🤜🤛 @jerseydrummer05 @ODB_34 @aycbeat @realapk8 The others producerz of the tape are tagged in the pic if u wanna contact them🔌🔌🔌
2
Pacha ya Jiwe 😂😂😂
77
60
21
443
THE BEATMAKERS CONTEST IS OVER CONGRATS TO THE WINNERS! @1YR804 @BillionsMcvay @2faceskrew @MusicSevenseven @samflo210 @GC54Prod @thealexerrday @Moa_Instrumntls @KBeatmaker @the_funkmaster_ @caporamzz @jerseydrummer05 @velvetkrowbeats @odb_34 @aycbeat @He2nonchalant @realapk8
5
7
6
15
Asanteni sana #Tanzania 🇹🇿. #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #TunduLissu2020 #NguvuYaUmma #Niyeye2020 – at Dar es Salaam, Tanzania
11
132
3
944
Kuelekea siku ya #Uchaguzi2020 natoa wito kwa #Watanzania wote, wa dini zote na madhehebu yote, tuungane kwenye sala 🙏🏾, dua 🤲🏽 na maombi ili tuwe na Uchaguzi Huru na wa Haki, kwa manufaa ya taifa letu 🇹🇿. #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020 – at Dar es Salaam, Tanzania
158
501
35
3,014