
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi
Joined April 2014
- Tweets212K
- Following1.9K
- Followers27.9K
- Likes269K
PROFESA Annie Tibaijuka ni Moja ya shule bora kabisa nchi yetu kuwahi kuwa nayo. huyu MUHAYA always linapokuja suala la Taifa amekuwa upande wa watu
Wasomi wazamani kama sie tunamkumbuka kuhusu MWENDOKASI alishauri akaupuzwa leo ni masrepa yanayotembea
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Tundu Lissu gets 4 years
Tanzanian opposition leader acquitted of treason
Lissu convicted of incitement, sentenced to four years
Three-judge panel delivers verdict in Dar es Salaam
Ruling triggers international condemnation
#CitizenFridayNight
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Una mshtaki Lissu kwa uhaini, unashindwa kuthibitisha uhaini. Unabaidli gia angani wakati wa hukumu na kumtia hatiani kwa kitu ambacho hata hujampa haki ya kujitetea.
#FreeTunduLissu
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Karua, Bobi Wine na Maraga wamtetea Lissu baada ya hukumu ya miaka minne
bbc.in/3UIvi3I
Huyo DOGO ni familia sana anajua sana kupambana na anatumia akili kubwa sana kufikisha ujumbe
LEMA anakitu cha kujifunza kwa aina hii ya Ma Gen Z tulio nao
sio anatumia akili zake za ubunge 2010 lu Run kizazi hiki 2026 anakua kama maccm sometimes
Anyway Mhe Lissu ana watu
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Kama wale mashahidi wa Jamhuri walishawishika na kauli za Lissu kuzuia uchaguzi, na Lissu ametiwa hatiani kwa uchochezi kwa upuuzi huo; tuna safari ndefu.
Wale mashahidi walizuia uchaguzi upi?
Walishitakiwa wapi, kama ni kosa?
Like wtf is going on in Judges' minds?
Mambo anayo cover mallard ujue wanaanza kusaka katiba ya CHADEMA waone kama anayo sifa ๐
ila kwa UFUPI Dr NSHALA ameahamaliza mjadala Lissu atabaki kuwa mwenyekiti wetu na term inayokuja akigombea tunampa tena kwa ufupi tupo nae sana tu full stop
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Ndugu @mshambuliaji siku ya kifo chako, Kitaleta uhaba mkubwa sana wa Mbuzi pale Vingunguti, lkn ni siku ambayo kwa hakika TBL watalazimika kutozima mitambo ya kuzalisha bia. Yani Gambe. Maana 99% ya Watanzania watakuwa na furaha kubwa.
Propaganda za CHADEMA kuelekea hukumu ya Lissu zimegonga mwamba. Kuanzia kugoma kula, kuvaa nguo nyeusi hadi taarifa za hukumu ya miaka 5. Usiku huu nimetonywa kuwa kuna mipango ya kutengeneza tukio la kuleta taharuki kesho, tarehe 6. Watanzania tuwe makini. Vyombo vya ulinzi na usalama tuna imani na nyinyi- Mzalendo @alphanga
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Uhaini haujathibitishwa. Mahakama kutaka kujitungia kosa, sijui minor offenses, ni utamaduni ambao haupo dunia nzima.
Mahakama isifanye kazi ya polisi au prosecutors.
Tuheshimiane.
MAHAKAMA za MAAGIZO kutoka juu
POLISI maagizo kutoka juu
BUNGE ndio usiseme yamejaa mang'ombe kule kila kitu mooo.... moooo...๐ฎ
Serikali ndio wamejaa MATEROREST na WATEKAJI
Hakuna mahala popote MWANANCHI atapata nafuu kama MUNGU hatoingilia kati haya maisha yetu๐ญ๐ญ
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
My heart is broken for Tundu Lissu and his entire family. A man who chose democracy, justice, and Tanzania now finds himself unable to give his beloved brother even a final farewell:(
Today, I spoke with members of Tundu Lissuโs immediate family. I honestly cannot begin to imagine what they are going through, the pain they carry, and the strength it takes to hold everything together in circumstances so deeply heartbreaking.
Advocate Alute Mughwai Lissu was a distinguished advocate whose legal career spanned more than four decades. A respected legal professional, mentor, and family patriarch, he leaves behind a legacy of service, wisdom, and dedication. We heard his wise words just over a week agoโฆa legacy NO ONE CAN TAKE AWAY. His burial takes place without his beloved younger brother @TunduALissu . There are no words adequate to describe the pain of such a separationโฆ
To Tundu Lissu and the entire Lissu family, my deepest condolences. May God comfort you, strengthen you, and give you peace in this unimaginable moment.
Rest in eternal peace, Advocate Alute Mughwai Lissu. Your legacy will not be forgotten.
And still, I pray:
One day. One day soon.
A better Tanzania.
A FREE Tundu Lissu.
Respect for humanity.
Respect for human rights.
Respect for the rule of law.
Justice, democracy, dignity, and freedom.
CHANGE IS GONNA COME. ๐น๐ฟ
#FreeTunduLissu #RestInPeaceAluteLissu #JusticeForTanzania #HumanRights #RuleOfLaw #Democracy #Tanzania
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
"Mkamzike Mzee Alute Lissu Mughwai" Mhe. @TunduALissu akitoka mahakamani baada ya kuhukumiwa miaka 4 Jela.
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweeted
Muhimu sana huyu kibaka George Bagyemu akakumbukwa na kuwekwa sehemu yake. Heโs harassing people na amezuia watu wengi sana kuingia Mahakamani. Anasema โwaende nyumbani.โ Who tf does he think he is? Weโll revisit this!!
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. @HecheJohn, akiwasili katika Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kushuhudia usomaji wa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Tundu Lissu. Hata hivyo, baadhi ya watu aliokuwa ameambatana nao walizuiwa kuingia ndani ya mahakama.





















