to be honest CB’s aina ya yoro, huijsen, i love them lakin nahis physically they need to do something especially yoro coz huijsen yupo laliga ligi ambayo haihitaji physicality sana lakin premier yoro has to do something. imagine yoro vs haaland or brobby🙌
Siwezi mkatia tamaa Leny Yoro ni vile hatuwezi fanya Biashara na Manchester ila Yule mtoto unamchukua pale Manchester bonge moja ya beki
1
29
imagine having a talent like Rio Ngumoha in your academy and still allowing him to become someone else's future. Chelsea, sometimes you make supporting this club exhausting. 💔
kila nikisikilizaga RnB za drake naonaga kama she is the only woman drake relate his songs to… kijana n kama kashindwa ku move on kwa jorja
1
70
Kuwa mtulivu na mwenye kujidhibiti, bila kujali kinachotokea au watu wanaokuzunguka.”
Usiruhusu matukio ya nje au tabia za watu wengine zikuondolee amani yako ya ndani. Tulia, fikiria kwa busara na jifunze kujibu badala ya kukurupuka.”
Kijana sijawah kuwa na wasiwasi nae jamie gittens ; explosiveness, speed, quickness,skills, 1vs1. utanielewa akirudi au hata chelsea watamuuza timu itakayompata trust me, he is the guy
21
cristiano delap ronaldo😂imagine hapo kaifunga timu yake ya zamani na kamfunga kocha wake wa zaman alafu ana hit siuuuu😭
1
33

















































